Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Ni wabishi Sana.Wewe tunafanana mi natoaga ushindi wa mezani basi wanajionaaa,
humu wengi wanaishi kinadharia halafu wanaume wenye ukoloni huwezi kuta anabishana juu ya uanaume wake,, huku majumbani tu treatment yake tu pasipo kuongea saaana unajua tu hapa natakiwa nibehave hivi kwa huyu mwanaume
Mimi nimeishia kucheka
I'm genius ooohInaonekana una akili sana. I like the way you are. Pls come
Hahaha!! Kwahiyo nyie wengine ni supa sub siyo??Yaani upande wa upinzani wapo wawili tu wanaoweza kubishana.
Huku Kuna Marianah na cariha..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marianah akiwa tu pekeyake Ni shida..Sasa wapo wawili[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Bado wengine hatujaingia..tupo benchi bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaume kujifananisha na suleiman wananichekeshaga kweliUmesoma historia ya Suleiman yote?? Unajua mwishoni ilikuwaje baada ya yeye kufanya yote yale?? Halafu kumbuka Suleiman alitenda hadi dhambi ya kuua na bado Mungu alimbariki kwahiyo utasema kuua siyo dhambi tena kwa sababu Suleiman aliua na Mungu alizidi kumbariki?? Halafu na hili la Suleiman itabidi nilianzishie uzi kuwaelewesha watu ili wale wanaomtumia Suleiman kama mfano waumbuke na wajione walivyo wajinga!!
Kabisa shehe..Daah,huyu mdau amenipa simanzi sana,yaani anaonekana anakubali kuacha asili na kubadilishwa na mazingira.
Sisi ndio tunatakiwa kuyapeleka mazingira na mabadiliko tunavyotaka sisi na inavyotaka asili.
Nimejibu point yako nikakwambia kuna vtu huwezi kujiona bora au kuhukumu nikakupa mfano wa fish. So hzo zote ni perception ya mtu anayoona that's why nikasema kwangu me na ke tofauti ni maumbile tu basi aiseeI'm afraid you got me wrong again. I'm not sold on the notion that men are superior to women a teeny weeny more than you are. However, I vehemently believe that men are more efficient in different aspects of life than women. You seem to have confounded efficiency with superiority.
Nyie wawili wote Ni wabishi aisee.Huyu mdada mbishi kama nini.. Ama haitaki ama hatambui nafasi yake.
Sasa mbona wapo wengi tu lakini hayo maovu ya wanaume wenzenu mnajifanya hamyaoni ila ya wanawake mnayashupalia
Hawa wanaume bana wanaharibu jukwaa na mambo yao ya kale kutwa kutukalia kooni kahLeo umewakalia sawasawa na cariha nae kuna mwingine nimemuona nimesahau ID yake mi kazi yangu kutembeza like tu na kusoma comment kwa comment
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha!! Kwahiyo nyie wengine ni supa sub siyo??
[emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji23][emoji23][emoji23]Eti anatishia, "kuoa wa hivi ataua", wakati siku hizi kuna ndoa za wao kwa wao si aende huko sasa ili asiue akaishia kufungwa
Mkuu kauli kama hii inaweza kukupa sifa hapa jukwaan lakin ukalaaniwa kuanzia we pamoja na uzao wako! tulete sifa za kibinadamu tuache kufuluu!!kuna yule kicheche kwenye maandiko anaitwa Maria , Maria alikua malaya hiv ulishawai kujua jina la bwana yake waliokua wanazini pamoja?
Uonevu wowote Kwa mwanamke kwangu ni marufuku na sisi tunataka kuwa huru sio nyie kujiona mnauhuru Kwa kuhangaika sisi tukitafta wakuturidhisha mtuonee never on earthToa mfano,acha uoga.
Pili,kuwa mama unabaguliwa vipi na unasumbuliwa vipi ? Hujui kama suala la wewe kuwa mama ni jambo ambalo liko nje ya uwezi wetu sisi binadamu ?
Unakuta mtu anasema mfalme Suleiman wakati hata baiskeli hana, nguvu za kiume za kudunduliza, hekima hana
Sasa si umuambie huyo Mungu kuwa sisi ni wabaya. Yeye karidhika na namna tunavyowaongoza ndio maana kaacha tuendelee kuwatawala tutakavyo.
Nyie wanawake sio watu wakutufundisha namna ya kufanya sheria za Mungu.
Wewe utabaki kulalamika. Utapita kama walivyopita wanawake wengine lakini hakuna litakalo badilika.
Tutawaongoza tutakavyo. Tukiamua tuwasikilize tutawasikiliza. Tukiamua kutowasikiliza hatuwasikilizi.
Kwa akili yako ulidhani Hawa alipoambiwa atatawaliwa na mwanaume ulidhani Mungu aliongea porojo.
Huna utakalo badili. Zaidi endelea kupoteza muda wako kubadilisha mambo yaliyoshindikana tokea dunia kuumbwa
Hata mimi sijawataja hao mabilionea kama justification ya gender inequality kwa namna yoyote ile. Hujaelewa kabisa point yanguHyo kuwa mabilionea wawili haina justification ya uonevu au kuonyesha a certain gender is superior ni big no usawa unaangaliwa Kwa equal chance ya kijamii.
Again hujaelewa tena point yangu ililenga nini, inventor wa sanitary pad anaitwa Franklin Benjamin(Mwanaume) alikuja na idea ya ktengeneza pad mwaka 1888 hili kuwasidia wanajeshi wa kike waliokuwa wana bleed kwenye uwanja wa kivita na kuacha alama za damu damu ambazo zilikuwa zinawasaidia maadui kutambua ulekeo wa wanajeshi hao. Kwa baadae ndio ikawa commercialized globally sasa mimi hapa nilikuwa na kucrush uliposema kuwa mwanamke na mwanaume ni sawa tu tofauti yetu ni jinsia, mwanaume ana mchango mkubwa kwenye maisha yako na wala haulingani naye hata kidogoKuhusu pedi inayofonza damu mbona haihitaji akili ya la saba kutengeneza wengi tu wanatengeneza Mimi pia I can tena hizo sio recommended for health purpose bora kitambaa kisafi au kutengeza cotton ambayo hapa Kwa Tanzania haiko Kwa wingi
kwanini hawakwenda shule!? Na kwanini wasiruhusiwe kufanya hayo mengi ikiwa kama hata wao walijua yana umuhimu kwao!? Pamoja na kwamba siku hizi na nyie mko kwenye scientific arena je mchango wenu tunaweza kuulinganisha na wa mwanaume!?.Kuhusu ugunduzi wa mambo mengi nayo hyo hoja haina mashiko maana tangu zamani wanawake hawakuruhusiwa kufanya mengi au kwenda shule so hyo haishangazi au kufanya eti mwanaume ndo wako ahead
Basi tuanze kuwalinganisha nyie na wanaume kwenye hizi zama za ukombozi wenu kama mnavyouita, kwanini leo hii ukienda kwenye chuo chochote Engineering courses utakuta kwa 80% takers wake ni wanaume? Kwanini ukienda vyuoni medical professions wasomaji wake wengi ni wanaume!? Ina maana tuseme kuwa wanawake hawazipendi hizo courses ndio maana wasomaji wake wengi sio wanawake?. Ingekuwa tangu enzi za kale wanawake wanapewa same platform ingekuwa sawa kulinganisha ila mabadiliko ya haki sawa yameanza juzi sio hyo sio hoja ya kujifanya wanaume ni genious hyo to me ni big no kabisa ni sawa na mlemavu kumshindanisha na mtu mzima Kwa mbio.
kwa jinsi ulivyo andika hapa ni kama vile unanijua personally, hivyo hata nikikwambia mambo niliyo achieve na yakaisaidia jamii itakuwa ni kazi bure tu.Pia wewe wasema wanaume superior and blah blah za hapa na pale zaidi ya ubishi wakutokujiamini JF umeachive nini Ku change hata jamii. Maana wanaume positive tumeona impacts zao na wana big brain to understand how about you.
Hata mimi natumia kifaa kama hicho chako ila nimeweza kujibu hoja zako zote kwanini wewe ushindwe?Sijaweza kujibu hoja zako zote vile natumia simu na nimeku quote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaume kujifananisha na suleiman wananichekeshaga kweli
Unakuta mtu anasema mfalme Suleiman wakati hata baiskeli hana, nguvu za kiume za kudunduliza, hekima hana wawe wanajitolea mifano wanayofanania lakini vinginevyo tutawacheka sana tu