Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Ila mkuu wewe ni mbishi mno hapa unaweza kubishana hadi mwakani
 
Ujasiriamali ni ujasiriamali tu as long unapata hela halali no problem bakharesa mwenyewe anauza juice ni bilionea anayeheshimika
Sasa ujasiriamali wa kuuza juice, kupost viatu mitandaoni, kwa hela za kudanga ndo mnajiita wajasiriamali... Mnapoteza muda
 
Zote ni dhambi tu eeh hafu uliondoa kwanza boriti ya jicho lako ndo ukamtoe jicho la mwenzako
 
From beggining hata sikuwa Kwa imani ni nyie mlikimbilia kujifanya wadini ili kujidefend kuliko waliotuletea hizo dini zenyewe, yani nyie mna uchungu kuliko waliotuletea sio. So design mnakwepa uhalisia na sasa waniuliza definition ya ukweli does it mean hujui kweli?
 
Wakurupukaji ni wengi mno
Mtoa mada... Umeonyesha weakness yako kwenye hii hii mada yako kwanza umeanza kwa kujihami. Umemaliza kwa kujihami hii ni ishara tosha kwamba uko weak sana na ulikuwa na hofu kubwa kumuongelea mtawala yani Mimi (Mwanaume) Usijali tumekusamehe usirudie tena najua haya yanatokana na uhuru ulioletwa na utandawazi... By the way usijchokijua ni kuwa hutakaa uje kujua Siri ya Sisi kuwatawala nyie.
Endelea kujipa hope nyuma keyboard...
 
Zote ni dhambi tu eeh hafu uliondoa kwanza boriti ya jicho lako ndo ukamtoe jicho la mwenzako
"Boriti ya jicho"??!!!!!!
Ndio nini hii maanake ebu nifahamishe dada??
Ila kuhusu dhambi nadhani umenielewa ila basi tu we kiumbe mbishi.
 
Yaani nimeshawajua wabishi kama woteee kwa nyuzi mbili tu! Kuna watu wana kipaji jameni!
Ukweli ni kwamba huku kwenye mitandao ndio sehemu ya kutoa ya moyoni ila kwenye uhalisia mwanamke yuko juu Ukute hapo ana bishana ila mwanamke akikohoa tu Zurri anatetemeaka mwili mzima.
 

Inaonekana hata wewe mwenyewe kwa dhati yako hujijui,na kupingana na ukweli ni kupoteza muda.

Unajua kwanini ilikuwepo mipaka ? Na kwanini na wewe unamipaka yako ? Na kwanini na wewe uwekewe mipaka ?

Kupitia mipaka ndio maana leo hii kila jambo limekuwa.

Nyinyi ndio wale tunao waita mmeyafanya matamanio yenu kuwa Miungu yenu.

Na majibu yako yanaonyesha ni namna umekata tamaa katika kujenga hoja.
I'm a woman of principle so hzo definition za furaha ulizo zimention ni according to you not me,
Sijatoa maana ya furaha,bali nimeweka yale ambayo watu wanapata furaha kwayo. Unatakiwa uwe makini katika kusoma maneno.

Sasa hayo ndio yanayowapa raha watu,swali langu wewe unajuaje haki yako ?

Uoga wenu na kukaririshwa mambo ndio manona anapangiwa mtu furaha.

Hakuna zama ambazo zimemuondoa mwanamke katika thamani yake na heshima yale kuliko zama za hizi ziitwazo utandawazi,leo hii mwanamke amekuwa mtumwa wa matamanio ya watu na yake na amekuwa bidhaa,hilo hamlioni bali walio waanzishia wamewatia upofu.

Leo biashara kubwa haziendi bila kudhalilishwa mwanamke na mlivyokuwa mazwa zwa mnapiga vigeregere na kuweka kampeni na kauli mbiu zilizo kufa. Rudini katika asili mpate hadhi zenu.
So na Mimi nasema kuna dini zina ukandamizaji mkubwa though na zenyewe zimeanza kubadili perception towards women's discrimination maana mengi yaliyofanyika ilikuwa zama za mawe sasa hivi ni zama mpya kabisa.
Unaposema kuna dini,bila kuonyesha huo ukandamizaji wewe unabaki kuwa muongo. Weka huo ukandamizaji kisha nikuonyeshe haki iko wapi,kisha uchague kuifata au kuiacha.
Acheni bias zenu za uonevu Mara sijui nini blah blah zimepanda na kushuka Mara nchi what I want ni equal treatment mambo ya ukandamizaji tupa kule kwenye dustbin ya dark ages.
#SayNoToWomenDisriminationandChildren.

Naona na kauli zenu,kwa vikao na kura za veto.
 
Ukweli ni kwamba huku kwenye mitandao ndio sehemu ya kutoa ya moyoni ila kwenye uhalisia mwanamke yuko juu Ukute hapo ana bishana ila mwanamke akikohoa tu Zurri anatetemeaka mwili mzima.
Kutetemeka sio jambo la ajabu,kama nimemkosea lazima nitetemeke tena mimi ambae ni msimazi wake lazima nimchunge,na nimlinde sababu nitakuja kuukizwa kwanini sikumfanyia wema.

Kwani wewe hujui kama mimi natetemeka kwa mke wangu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…