Kwangu Mimi furaha yangu ni muhimu kuliko jambo lolote na sipangiwi kufanya jambo na mtu ili nimfuraishe never, never, na hamna wa Ku ni force ili iweje, furaha yangu na kila kitu I live own my own world na reality na sio ya watu wachache au wanaume walojipangia.
Inaonekana hata wewe mwenyewe kwa dhati yako hujijui,na kupingana na ukweli ni kupoteza muda.
Unajua kwanini ilikuwepo mipaka ? Na kwanini na wewe unamipaka yako ? Na kwanini na wewe uwekewe mipaka ?
Kupitia mipaka ndio maana leo hii kila jambo limekuwa.
Nyinyi ndio wale tunao waita mmeyafanya matamanio yenu kuwa Miungu yenu.
Na majibu yako yanaonyesha ni namna umekata tamaa katika kujenga hoja.
I'm a woman of principle so hzo definition za furaha ulizo zimention ni according to you not me,
Sijatoa maana ya furaha,bali nimeweka yale ambayo watu wanapata furaha kwayo. Unatakiwa uwe makini katika kusoma maneno.
Kwa jamii ya yoyote aliyestaarabika hawezi shabikia uzinzi, ufisadi na ukandamizaji au lolote huyo ni uncivilized pia barbaric,so my friend toka kwenye huo mtazamo wakupangia wengine furaha au kikandamiza wanawake vile umemezeshwa since utoto you have to change kabisa, nakuwa huru while dunia inapambana kuondoa ukandamizaji wewe umekumbatia yani ni mhafidhina you don't want change.
Sasa hayo ndio yanayowapa raha watu,swali langu wewe unajuaje haki yako ?
Uoga wenu na kukaririshwa mambo ndio manona anapangiwa mtu furaha.
Hakuna zama ambazo zimemuondoa mwanamke katika thamani yake na heshima yale kuliko zama za hizi ziitwazo utandawazi,leo hii mwanamke amekuwa mtumwa wa matamanio ya watu na yake na amekuwa bidhaa,hilo hamlioni bali walio waanzishia wamewatia upofu.
Leo biashara kubwa haziendi bila kudhalilishwa mwanamke na mlivyokuwa mazwa zwa mnapiga vigeregere na kuweka kampeni na kauli mbiu zilizo kufa. Rudini katika asili mpate hadhi zenu.
So na Mimi nasema kuna dini zina ukandamizaji mkubwa though na zenyewe zimeanza kubadili perception towards women's discrimination maana mengi yaliyofanyika ilikuwa zama za mawe sasa hivi ni zama mpya kabisa.
Unaposema kuna dini,bila kuonyesha huo ukandamizaji wewe unabaki kuwa muongo. Weka huo ukandamizaji kisha nikuonyeshe haki iko wapi,kisha uchague kuifata au kuiacha.
Acheni bias zenu za uonevu Mara sijui nini blah blah zimepanda na kushuka Mara nchi what I want ni equal treatment mambo ya ukandamizaji tupa kule kwenye dustbin ya dark ages.
#SayNoToWomenDisriminationandChildren.
Naona na kauli zenu,kwa vikao na kura za veto.