Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Wewe sio muelewa siwezi kukaa pamoja nawe tukijadiliana pia huwezi kuelewa nitakacho andika ubishi kwako ni sifa nikuache na wanao kuweza kubishana nawe.
Sasa kusema tu mimi sio muelewa kwa sentences mbili ambazo hazioneshi hata huko kutokuelewa kwangu mimi nitakuelewa nini na nitakuamini vipi!?

Kutokuelewa kwangu kukoje hebu fafanua?

Au mtu muelewa kwako yukoje?

Na vipi labda pengine wewe ndio sio muelewa sababu hata kufafanua tu kutokuelewa kwa huyo mtu unaye mtuhumu kuwa sio muelewa kumekushinda?

Umewahi kujadiliana na mimi sehemu yoyote ukagundua kuwa kwamba siwezi kukuelewa au unajikuta nabii tu?
 
Ni kweli kabisa maandiko yapo wazi katika hayo yote,kizuri ni kwamba unasoma vema biblia!

Umejibu baadhi tu ya hoja nikizokupa,nami nitakupa majibu machache lakini nitarejea hapo juu kukumbusha yale ambayo uliyasahau!

Mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa,ndiyo! Kama baba/kichwa cha familia anapaswa kuwa clear,kama anaweza kuoa mmoja,wawili, watatu ... Kwa nini ajifiche fiche? Anapaswa kufanya maamuzi ya kiume,ni either nabaki na mmoja au naingeza wengine ASIZINI!

Hapo utawatazama mababa wa imani,kuanzia IBRAHIM, na wengine wengi katika maandiko,waliweza kujitwalia wake kwa kadri walivyotaka,kikubwa uwezo wao wa kuwahudumia ujitosheleze

Lakini hakuna mahali mwanamke ameolewa na waume wawili au watatu katika marejeo ya kimaandiko,ukipata popote nitakulipa nusu ya pesa zote nilizo nazo!

Then mwanaume atamwacha baba yake na mama yake,naye ataambatana na mkewe,ni sawa kabisa,hapo mwanaume anapewa majukumu rasmi ya kumuongoza mke,(kwani ukienda mbele zaidi katika maandiko ulitlyoyanukuu,yanamtaja mwanaume kuwa kichwa cha familia) kwa maana hiyo,mke pamoja na kuwa anakuwa mwili mmoja na mumewe lakini mwenye kuongoza na kuendesha mambo ya huo mwili mmoja,amepewa mwanaume ambaye ndiye "kichwa"

Kwa hiyo dhana nzima ya kutenda dhambi haina justification,haijalishi anayeitenda ni mwanamke au mwanaume!
 
Nyinyi mnagoma kutafuta kwa jasho mle na walotoka mbavuni kwenu, mmekomaa tutafute wote halafu kuzaa tuzae peke yetu
Hao wanaume wanaotaka mtafute wote, ndio wanaotuharibia dunia yetu iliyokua tamu sana.....! Lakini chanzo cha tatizo sehemu yoyote ile hutokana na kushindwa kwa mwanaume,
 
Tumewazidi kila kitu hadi dhambi tumewazidi.
 
Hoja za Lizarazu utalinganisha na za cariha!???
Kwa huyu dada ,Lizarazu akajipange upya.
Nioneshe hoja yoyote ya maana aliyoitoa huyo cariha tangu huu mjadala uanze iwe ni kwenye comments alizokuwa anajibu mimi au mtu mwingine yoyote hapa!

Hoja zake zilizopelekea kubishana na mimi ni hizi:

1.Wanawake wa Tanzania sasa hivi wameshika na kuitawala sekta ya ujasiriamali.

2.Mwanamke na mwanaume sasa hivi wote tuko sawa kwenye kila kitu tofauti zetu ni jinsia tu.

Sasa naomba na wewe umsaidie kutetea hizo hoja mbili kwa maelezo yenye mashiko na ushawishi na yaliyoambatana na mifano hai, maana yeye ameshindwa.

This thread alone has bewrayed her chain of argumentation is fvcked up big time, i would rather debate with Marianah.
 
Kwa hiyo huko unapoishi ulivyoona biashara nyingi wanao zi run ni wanawake basi ndio ukahitimisha kwamba Wanawake wamewapiga bao wanaume kwenye ujasiriamali hapa nchini?
Mimi nimeshuhudia Kwa macho na hyo ni report niliyoisoma ngoja nitafte mda Nita screenshot kuweka hapa maana mwanaume inferior ni janga Kwa karne hii
 
Wewe ka mwanaume unashadadia boksa za wanaume wenzako net worth yako shilling ngapi yani mwanaume mzima hujiamini mpaka kushadadia wanawaume wenzako una shida wewe na kina lizararu wapenzi wenu wana shida sana
 
Asante kwa kulijua hili.... Eti wanasema dunia ipo updated [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao wanaume wanaotaka mtafute wote, ndio wanaotuharibia dunia yetu iliyokua tamu sana.....! Lakini chanzo cha tatizo sehemu yoyote ile hutokana na kushindwa kwa mwanaume,
 
Mimi nimeshuhudia Kwa macho na hyo ni report niliyoisoma ngoja nitafte mda Nita screenshot kuweka hapa maana mwanaume inferior ni janga Kwa karne hii
ko wapi fanya kuileta hiyo report tena iwe ni recent published.

Kutaja taja neno"inferior" hata pasipokuwa na ulazima huko ni kujihami na mara nyingi mtu anayejihami hami hata bila uwepo wa maadui ni inferior.
 
Jifunze Ku summarize in short kuliko kuandika bandiko refu huku likiwa halina point why meandering, hyo Franklin I lengo lako lilikuwa uzalilishaji that's why nikasoma between the lines eti jeshini sijui Ku bleed, hapo ulitaka tu kuonyesha discrimination acha kukwepa na nikakupa jibu direct bleeding is normal without hyo kitu usingekuwepo so wanaume wasiojielewa hukimbilia Ku attack kwahyo bleeding, so next time na smart enough.

Niko more knowledge more than you think, eeeh hafu hujui hata maana ya feminist movements na lengo lake wala aina zake wewe umemezeshwa sumu na waliokuzunguka, kwahyo wewe unavo argue na Ku discriminate women here in JF ina wakilisha patriarchy system eeeh.

Mengine staki kujichosha minor issue sana kupoteza mda yani eeeh
 
Usijal Mamii hapa tunachangamsha genge tuu, Ila tunatambua mchango wenu kwenye Jamiii, tunawaheshimu na tunawapenda, Kikubwa n kila mmoja atambue nafas ya mwenzake ndo maisha yataenda.
Mwanaume anayehangaika na wanawake dhaifu na hajiamini au mwatuonea wivu na papuchi zetu
 
Eti anatishia, "kuoa wa hivi ataua", wakati siku hizi kuna ndoa za wao kwa wao si aende huko sasa ili asiue akaishia kufungwa
Wanaume kujifananisha na suleiman wananichekeshaga kweli

Unakuta mtu anasema mfalme Suleiman wakati hata baiskeli hana, nguvu za kiume za kudunduliza, hekima hana wawe wanajitolea mifano wanayofanania lakini vinginevyo tutawacheka sana tu
Hahahaa haki umejua kunifurahisha
 
Hyo report ndefu na ilikuwa huku JF this year, tusiandikie mate na wino ungalipo

Pia siwezi jihami Kwa kitu ninachokiamini
ko wapi fanya kuileta hiyo report tena iwe ni recent published.

Kutaja taja neno"inferior" hata pasipokuwa na ulazima huko ni kujihami na mara nyingi mtu anayejihami hami hata bila uwepo wa maadui ni inferior.
 
Wewe ka mwanaume unashadadia boksa za wanaume wenzako net worth yako shilling ngapi yani mwanaume mzima hujiamini mpaka kushadadia wanawaume wenzako una shida wewe na kina lizararu wapenzi wenu wana shida sana
Hahahahha!! Nimecheka sana!

Kwamba wapenzi wetu wana shida, hapana mimi mpenzi wangu hana shida hata kidogo kwa uamuzi wake wa kuwa na mimi, badala yake anafurahia kuwa na mimi.

Mimi namuhurumia tu huyo kidume uliyenae maana kuishi na mtu kama wewe itabidi awe mwanaume-mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…