I forward hapa.Hyo report ndefu na ilikuwa huku JF this year, tusiandikie mate na wino ungalipo
Pia siwezi jihami Kwa kitu ninachokiamini
Usihame mada basi.Wewe ka mwanaume unashadadia boksa za wanaume wenzako net worth yako shilling ngapi yani mwanaume mzima hujiamini mpaka kushadadia wanawaume wenzako una shida wewe na kina lizararu wapenzi wenu wana shida sana
Are you seeking for sympathy?Ndio wanaume hao loh
Msimamo wangu uko pale pale ukitoa jinsia ya ke na me na sikuhizi wote ni sawa kabisa hamna tofauti, hyo mifano wewe umetumia ya wa nje Mimi nimetolea mifano halisi ya kitanzania na mazingira halisi wewe ume plagiriaze ya huko nje. Mie nasema vitu nilivoviona na Ku experienceNioneshe hoja yoyote ya maana aliyoitoa huyo cariha tangu huu mjadala uanze iwe ni kwenye comments alizokuwa anajibu mimi au mtu mwingine yoyote hapa!
Hoja zake zilizopelekea kubishana na mimi ni hizi:
1.Wanawake wa Tanzania sasa hivi wameshika na kuitawala sekta ya ujasiriamali.
2.Mwanamke na mwanaume sasa hivi wote tuko sawa kwenye kila kitu tofauti zetu ni jinsia tu.
Sasa naomba na wewe umsaidie kutetea hizo hoja mbili kwa maelezo yenye mashiko na ushawishi na yaliyoambatana na mifano hai, maana yeye ameshindwa.
This thread alone has bewrayed her chain of argumentation is fvcked up big time, i would rather debate with Marianah.
Mama mpo sawa na sisi ktk nn tukianzia hapa Tanzania tu??Msimamo wangu uko pale pale ukitoa jinsia ya ke na me na sikuhizi wote ni sawa kabisa hamna tofauti, hyo mifano wewe umetumia ya wa nje Mimi nimetolea mifano halisi ya kitanzania na mazingira halisi wewe ume plagiriaze ya huko nje. Mie nasema vitu nilivoviona na Ku experience
Hahahahha!! Nimecheka sana!
Kwamba wapenzi wetu wana shida, hapana mimi mpenzi wangu hana shida hata kidogo kwa uamuzi wake wa kuwa na mimi, badala yake anafurahia kuwa na mimi.
Mimi namuhurumia tu huyo kidume uliyenae maana kuishi na mtu kama wewe itabidi awe mwanaume-mwanamke.
Ngoja nitafte humuI forward hapa.
Najua kwamba unatetemeka kwa wifi yangu namfahamisha Fragaria afahamu pia
Usihame mada basi.
Umesema kuwa wanawake mmetuzidi kiuchumi nikaleta list ya matajiri duniani hola nimeleta ya matajiri Africa hola mnatuongoza sehem ipi???
Sina dem mama nina mke tayari na ameridhika nami na kila kitu aisee.
Karibu sana,sisi kazi yetu kuwaowa tu.Hakuna tatizo kwenye harusi usinikose.
Yani ni seek sympathy Kwa mwanaume asiyejielewa eeh over my deadbody. Kuna wanaume wakuwanyenyekea sio vibushuti wa JFAre you seeking for sympathy?
Toka lini mtu na kaka yake wa damu wakafunga ndoa,mkeo kwa Kiswahili namuita wifi au nimekoseaHuyo sio wifi yako,ni mke wangu hata wewe unaweza kuwa mke wangu tu. Mke wangu ni mwanamke mwenzako bali ni mke mwenzako kimaana.
Mh asee me ngojea nikafanye majukumu yangu wafatilie upya dada cariha mlazimisha hoja sana.
Nakutakia usiku mwema
Huyu humuwezi..Nioneshe hoja yoyote ya maana aliyoitoa huyo cariha tangu huu mjadala uanze iwe ni kwenye comments alizokuwa anajibu mimi au mtu mwingine yoyote hapa!
Hoja zake zilizopelekea kubishana na mimi ni hizi:
1.Wanawake wa Tanzania sasa hivi wameshika na kuitawala sekta ya ujasiriamali.
2.Mwanamke na mwanaume sasa hivi wote tuko sawa kwenye kila kitu tofauti zetu ni jinsia tu.
Sasa naomba na wewe umsaidie kutetea hizo hoja mbili kwa maelezo yenye mashiko na ushawishi na yaliyoambatana na mifano hai, maana yeye ameshindwa.
This thread alone has bewrayed her chain of argumentation is fvcked up big time, i would rather debate with Marianah.
Dada embu tizama anavyoleta hoja cariha then compare and contrast na za Lizararu the Great zinafanana???
Kwanza cariha ni km mfia jihadi mmbishi yeye ilimradi hoja yake aiweke isomeke tu ht km haina mashiko mmbishi mpk mm tu nimeamua kumuachia ulingo na jamaa wachuani(Lizararu ).
Aliyekwambia anatafuta kuhurumiwa Ni Nani!??Are you seeking for sympathy?
Anasema kwamba zamani tuliwazidi uchumi sababu ya mfumo kandamizi wa kimaisha uliowanyima wao kushiriki kwenye fursa mbali mbali za kiuchumi.Usihame mada basi.
Umesema kuwa wanawake mmetuzidi kiuchumi nikaleta list ya matajiri duniani hola nimeleta ya matajiri Africa hola mnatuongoza sehem ipi???
Sina dem mama nina mke tayari na ameridhika nami na kila kitu aisee.
Kila unalo changia unazidi kukosea,inaonekana hamfundishwi umakini na kuujua ukweli na kujua asili ya jambo.Mimi nachunguza neno maana dini ni mfumo uliowekwa na binadamu, mie naamini neno na nimfuasi wa Kristo ya yeye hakuachi dini yoyote pia siishi chini ya sheria yoyote kandamizi kabisa loh
Huu uongo mwingine,njia aliyoifata Yesu ni ipi ? Na hiyo njia ndio hitwa DINI,naona kila unapogusa huna elimu nako.mie naamini neno na nimfuasi wa Kristo ya yeye hakuachi dini yoyote pia siishi chini ya sheria yoyote kandamizi kabisa loh
Mimi kaka yako wa damu ?Toka lini mtu na kaka yake wa damu wakafunga ndoa,mkeo kwa Kiswahili namuita wifi au nimekosea
π Actually nimewajua wabishi wa Kike na wakiume wenye vipaji vya ubishi...
Wewe unasimamia kwenye dini na ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku...
Ila sijui una ubishi pia ndani yake ππ??