Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Wewe ka mwanaume unashadadia boksa za wanaume wenzako net worth yako shilling ngapi yani mwanaume mzima hujiamini mpaka kushadadia wanawaume wenzako una shida wewe na kina lizararu wapenzi wenu wana shida sana
Usihame mada basi.
Umesema kuwa wanawake mmetuzidi kiuchumi nikaleta list ya matajiri duniani hola nimeleta ya matajiri Africa hola mnatuongoza sehem ipi???
Sina dem mama nina mke tayari na ameridhika nami na kila kitu aisee.
 
Nioneshe hoja yoyote ya maana aliyoitoa huyo cariha tangu huu mjadala uanze iwe ni kwenye comments alizokuwa anajibu mimi au mtu mwingine yoyote hapa!

Hoja zake zilizopelekea kubishana na mimi ni hizi:

1.Wanawake wa Tanzania sasa hivi wameshika na kuitawala sekta ya ujasiriamali.

2.Mwanamke na mwanaume sasa hivi wote tuko sawa kwenye kila kitu tofauti zetu ni jinsia tu.

Sasa naomba na wewe umsaidie kutetea hizo hoja mbili kwa maelezo yenye mashiko na ushawishi na yaliyoambatana na mifano hai, maana yeye ameshindwa.

This thread alone has bewrayed her chain of argumentation is fvcked up big time, i would rather debate with Marianah.
Msimamo wangu uko pale pale ukitoa jinsia ya ke na me na sikuhizi wote ni sawa kabisa hamna tofauti, hyo mifano wewe umetumia ya wa nje Mimi nimetolea mifano halisi ya kitanzania na mazingira halisi wewe ume plagiriaze ya huko nje. Mie nasema vitu nilivoviona na Ku experience
 
Mama mpo sawa na sisi ktk nn tukianzia hapa Tanzania tu??
Kama matajiri wakubwa ni wanaume,kama madaktari bingwa nguli wengi wanaume mathalan Dr.Mwaka wa masuala ya uzazi tulilisikia kile kijanamke chenu Dr.Rahabu sijui kimefia wapi.
Wapi mko sawa na sisi embu tuchambue sekta moja moja???
 
Yani gelofriend wako ana amini kabisa na mwanaume wa karne ya 21 huku unaishi akili ya zama za mawe za kati. Inasikitisha namhurumia mwanamke mwenzangu kalamba garasha.
Mie mwanaume wangu ni rijali mwanaume wa shoka hasa level yake ya maturity ni kubwa sana kiasi hizi mambo za discrimination hana na hajawahi zifikiria. Yani mwanaume wangu ni Kigoma mwisho wa reli I wish wanaume wote wangejielewa ka yeye
Hahahahha!! Nimecheka sana!

Kwamba wapenzi wetu wana shida, hapana mimi mpenzi wangu hana shida hata kidogo kwa uamuzi wake wa kuwa na mimi, badala yake anafurahia kuwa na mimi.

Mimi namuhurumia tu huyo kidume uliyenae maana kuishi na mtu kama wewe itabidi awe mwanaume-mwanamke.
 
Najua kwamba unatetemeka kwa wifi yangu namfahamisha Fragaria afahamu pia

Huyo sio wifi yako,ni mke wangu hata wewe unaweza kuwa mke wangu tu. Mke wangu ni mwanamke mwenzako bali ni mke mwenzako kimaana.
 
Sihami mada Niko palepale wewe achievement yako nini maana mabilionea wengi huwezi kukuta wanadharau wanawake ka nyie. Only wanaume wasio na mbele na nyuma hufanya wanawake punching bag zao za inferiority complex
Usihame mada basi.
Umesema kuwa wanawake mmetuzidi kiuchumi nikaleta list ya matajiri duniani hola nimeleta ya matajiri Africa hola mnatuongoza sehem ipi???
Sina dem mama nina mke tayari na ameridhika nami na kila kitu aisee.
 
Huyo sio wifi yako,ni mke wangu hata wewe unaweza kuwa mke wangu tu. Mke wangu ni mwanamke mwenzako bali ni mke mwenzako kimaana.
Toka lini mtu na kaka yake wa damu wakafunga ndoa,mkeo kwa Kiswahili namuita wifi au nimekosea
 
Nioneshe hoja yoyote ya maana aliyoitoa huyo cariha tangu huu mjadala uanze iwe ni kwenye comments alizokuwa anajibu mimi au mtu mwingine yoyote hapa!

Hoja zake zilizopelekea kubishana na mimi ni hizi:

1.Wanawake wa Tanzania sasa hivi wameshika na kuitawala sekta ya ujasiriamali.

2.Mwanamke na mwanaume sasa hivi wote tuko sawa kwenye kila kitu tofauti zetu ni jinsia tu.

Sasa naomba na wewe umsaidie kutetea hizo hoja mbili kwa maelezo yenye mashiko na ushawishi na yaliyoambatana na mifano hai, maana yeye ameshindwa.

This thread alone has bewrayed her chain of argumentation is fvcked up big time, i would rather debate with Marianah.
Huyu humuwezi..
Kama tangu ameanza hujaona hoja zake Basi huwezi ukaona
 
Kwahyo umekuja na I'd yako hoja ndefu kuliko msaafu halafu pointless.
Dada embu tizama anavyoleta hoja cariha then compare and contrast na za Lizararu the Great zinafanana???
Kwanza cariha ni km mfia jihadi mmbishi yeye ilimradi hoja yake aiweke isomeke tu ht km haina mashiko mmbishi mpk mm tu nimeamua kumuachia ulingo na jamaa wachuani(Lizararu ).
 
Are you seeking for sympathy?
Aliyekwambia anatafuta kuhurumiwa Ni Nani!??
Tunawafahamu nyie kina Lizarazu ..
Mkiishiwa hoja mnamuattack mtu mwenyewe Sasa...
Kama hapo mlianza kumuongelea ooh Mara anapost Instagram oh Mara Nini ..Mambo ambayo yapo nje ya mada kabisa.
 
Usihame mada basi.
Umesema kuwa wanawake mmetuzidi kiuchumi nikaleta list ya matajiri duniani hola nimeleta ya matajiri Africa hola mnatuongoza sehem ipi???
Sina dem mama nina mke tayari na ameridhika nami na kila kitu aisee.
Anasema kwamba zamani tuliwazidi uchumi sababu ya mfumo kandamizi wa kimaisha uliowanyima wao kushiriki kwenye fursa mbali mbali za kiuchumi.

Haya sasa hivi ambapo wote tuna access sawa kwenye hizo fursa za kiuchumi lakini bado wako nyuma ya mwanaume kiuchumi .. Sasa shida ni nini? Kwanini wasiwe sawa kiuchumi na wanaume? wanakwama wapi?

Mwaka jana FORBES walipotoa orodha ya new comers kwa list ya matajiri 1505 duniani, kati ya new comers 340 wanawake walikuwa kama 45 tu hawakufika hata 50.Sasa kama wao kweli ndio wameushika uchumi zama hizi za haki sawa, kwanini si dominate hata kwenye hiyo orodha ya ma new comers!? Maana wangekuwa wao ndio wengi tungeamini kweli wanawake sasa wameamka na wanaume muda wao wa kuwa dominant economically umekwisha.
 
Mimi nachunguza neno maana dini ni mfumo uliowekwa na binadamu, mie naamini neno na nimfuasi wa Kristo ya yeye hakuachi dini yoyote pia siishi chini ya sheria yoyote kandamizi kabisa loh
Kila unalo changia unazidi kukosea,inaonekana hamfundishwi umakini na kuujua ukweli na kujua asili ya jambo.

Dini ni tamko lenye asili ya kiarabu,lenye maana ya njia kilugha na kiistilahi ni mwenendo anaoufata mja kujua lipi baya na lipi zuri,na kumjuza lipi lengo la kuumbwa kwake. Kuna dini za uongo za kuzua ambazo hazina asilina Dini ya Mola aliyoileta kwa waja wake.

Sasa nitakuuliza swali ni dini ipi iliyowekwa na binadamu ? Na ilikuwa lini na ni nani wa kwanza kuiweka hiyo dini ?
mie naamini neno na nimfuasi wa Kristo ya yeye hakuachi dini yoyote pia siishi chini ya sheria yoyote kandamizi kabisa loh
Huu uongo mwingine,njia aliyoifata Yesu ni ipi ? Na hiyo njia ndio hitwa DINI,naona kila unapogusa huna elimu nako.

Usiseme Yesu hakuacha Dini,sema huijui Dini ya Yesu.

Na nani alikwambia Kristo ndio Yesu ?
 
😁 Actually nimewajua wabishi wa Kike na wakiume wenye vipaji vya ubishi...

Wewe unasimamia kwenye dini na ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku...
Ila sijui una ubishi pia ndani yake 😁😁??

Bibie mimi sio mbishi,ila naandika msio penda kuayasikia halafu mnashindwa kuyajengea hoja.

Nipo ....
 
Back
Top Bottom