Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Kwanini huna upande?
Hizi topic huwa hazinibariki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini huna upande?
Hawa kina Lizarazu watakuchelewesha bure..wao huwa wanakesha..Huu Uzi unanifanya nachelewa kulala
Hahaaa my dear I respect you, hii mijadala ni ya wavulana zaidi ila kwenu wenu mko kimya
Afadhali unajua hili.Hizi topic huwa hazinibariki.
Afadhali unajua hili.
Nyingi zimejaa kejeli,ushindani na fitina tu.
Bora ukae zako usikilize nyimbo.
Vipi ule mapango (kanisani)bado unaendelea nao!??au ndio ulishaacha!??
Sawa.Nilienda mara kadhaa, then nikaacha baada ya kuanza mizunguko mikoani. Mpaka nikitulia tena.
Sawa.
Jitahidi kutekeleza ahadi na agano uliloweka.
Usiku mwema.
Ulishaweka...na uliahidi kutekeleza.Hahaha, sijaweka agano bana, bado natafakari.
Kwanini yasingewekwa na wanawake kisha wakajipendelea wao kama ambavyo wanaume wamejipendelea baada ya kuyaweka wao?No haya mambo yaliwekwa na wanaume hayakujiweka wenyewe wala hayakuwekwa na Mungu
SureI think you need to go to bed, it is Monday already.
Niliyo yaandika huyakuti katika kipimo chenu cha IQ,najua nimekuandikia jambo jipya.Large paragraph hayo yote uloandika nayajua na iq ni mojawapo ya kigezo cha kufanyia vilaza popote pale
Rejea pale uliposema kuna dini nyingine inamkandamiza mwanamke ila hutaitaja.Hata sijapoteza kumbukumbu wewe ndo huelewi yani udini uanzishe wewe then now unibadilikie naona wewe ndo una matatizo ya kutokujielewa acha kuhamisha magoal bwana. Nyie mwanaume suruali mlijificha kwenye kichaka cha udini
Hahahahha!! Chiliax girl, why all of these faux pas and gaffes?Lizararu you called my man half man, basi ka ni half man mpe hicho kijambio chako halafu ulete mrejesho hapa ka ni half man, siunajua kashfa wewe, mpe kijambio hicho
Unaweza kutumia ya logic kukosoa haya niliyo yaandika ? Jibu huwezi sababu hujui hata mipaka ya logic,inaonekana unapenda sana kusikia maneno bila kuyaelewa maneno hayo.Hata sijalala lolote please fupisheni comment zenye logic. Sisomi paragraph refu ka za Song of lawino and okol
Ulitoa maana nzuri kiasi ya kufikiri nje ya box,lakini nikakupa mfano uonyeshe namna ya kufikiri nje ya box,ukashindwa nikahitimisha ya kuwa unafahamu maana tu ila uhalisia hauko nao.Hayo mambo ya udini ni kichaka cha wadhaifu wasio think beyond something tangu juu nimeshasema
And you will still brag kuwa "una jielewa" with all these childish tantrums display?Lizararu you called my man half man, basi ka ni half man mpe hicho kijambio chako halafu ulete mrejesho hapa ka ni half man, siunajua kashfa wewe, mpe kijambio hicho
Kwenye Wanaume kuna Wanaume.Lizararu you called my man half man, basi ka ni half man mpe hicho kijambio chako halafu ulete mrejesho hapa ka ni half man, siunajua kashfa wewe, mpe kijambio hicho
And you will still brag kuwa "una jielewa" with all these childish tantrums display?
Hii nukta kwa ukubwa wake unaweza kuandika vitabu na vitabu. Inaonekana umeitaja bila kujua ukubwa wake.
Naomba nikuulize maswali yafuatayo juu ya nukta hii.
1. Mipaka ya utii wa mwanamke kwa mumewe ni ipi ?
2. Kwanini umelinganisha utii na kutokuwa na upendo kwa Mwanaume kwa mke wake ?
3. Wakati gani Mwanamke huitwa si mtiifu kwa mumewe ?
4. Wakati gani Mwanaume huambiwa hana upendo na mkewe ?
Hii nukta ukiiacha hivi inaitwa upotofu au unapotosha,kwanini nasema hivyo ? Hapa ulitakiwa kusema isipokuwa kwa sababu zinazopelekea ulazima wa kuachana.
Je huko kuachana hakuna sababu ? Bila shaka zipo,hapa ulitakiwa uzitaje japo kwa uchache.
Unajua hata maana ya kashifa kwanza?Lizararu you called my man half man, basi ka ni half man mpe hicho kijambio chako halafu ulete mrejesho hapa ka ni half man, siunajua kashfa wewe, mpe kijambio hicho