Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

mi najua comment za mtu hulingana na experience alizopitia. inaonekana wewe umefanyiwa uchafu mwingi sana na wanaume. unaongea kwa uchungu sana. pole
Kama wewe unachukulia serious kila kinachoandikwa humu basi unahitaji msaada wa kisaikolojia mkuu watu humu wana fake kuanzia identities hadi personalities kwa sababu hakuna haja ya mtu kujiweka real humu ila ukijifanya unataka kuwajua watu kupitia wanayoyaandika humu basi utaingia chaka
 
Toa mfano,acha uoga.

Pili,kuwa mama unabaguliwa vipi na unasumbuliwa vipi ? Hujui kama suala la wewe kuwa mama ni jambo ambalo liko nje ya uwezi wetu sisi binadamu ?
Mbona umeongelea hapo kwenye kuwa mama tu hayo mengine haujayaona??
 
Hahahaha tunajitahidi tu hivyo hivyo mamaangu wataelewa tu mdo mdo
Kanipa jibu nikasome mwanzo nikitulia ntaenda nisome na ntaandika hicho kifungu kwenye reply yake ntakutag usijali

Pole kwa shughuli nzito hii mi nilivyo mvivu kutype ooooooh hiki kikombe sikiwezi aisee
 
Yani more than 15 hukui kiakili unakuwa umri tu wewe una tatizo lakutokujiamini na kuna mwanamke mjanja alikutenda basi umekuwa na chuki na wote. Mpenzi wangu ni muelewa hata mambo yake anayofanya makubwa Kwa nchi kuliko nyie mnaoumizwa na mambo ya wanawake Kwa kutokujiamini

Kutokujiamini..... Kitokujiamini.... Kutokujiamini... Blah blah blah!! Another line please this one is getting boring!!

Hakuna mwanamke mjanja mbele yangu hasa kwa nyie wa zama hizi mnaojiona sijui mmeelimika na mnazitambua haki zenu.

Wengi wenu mimi nawaona ni wajinga sana na vithibitisho vipo ukitaka nakupa kwanini nawaita nyie wanawake wa millennials ni wajinga na elimu zenu ndio zimezidi kuwatia ujinga.

Huyo jamaa yako tayari umesha mmanipulate basi kwa akili yako unatamani kila mwanaume awe manipulated kama yeye.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Yeah cariha naye yuko vizuri
Leo umewakalia sawasawa na cariha nae kuna mwingine nimemuona nimesahau ID yake mi kazi yangu kutembeza like tu na kusoma comment kwa comment
 
Kutokujiamini..... Kitokujiamini.... Kutokujiamini... Blah blah blah!! Another line please this one is getting boring!!

Hakuna mwanamke mjanja mbele yangu hasa kwa nyie wa zama hizi mnaojiona sijui mmeelimika na mnazitambua haki zenu.

Wengi wenu mimi nawaona ni wajinga sana na vithibitisho vipo ukitaka nakupa kwanini nawaita nyie wanawake wa millennials ni wajinga na elimu zenu ndio zimezidi kuwatia ujinga.

Huyo jamaa yako tayari umesha mmanipulate basi kwa akili yako unatamani kila mwanaume awe manipulated kama yeye.
Ukalale Sasa jamani.
Tufanye umeshinda.
 
Uzi unakimbia ni hatari,nilitamani niongee lakini roho inaniuma
Anyway siku ikitokea nikaoa mwanamke mwenye mrengo kama wa mleta mada nitaua! Mungu anisaidie uwa sipendi ujinga kabisa
Ni kwa sababu unataka ukifanya maovu mkeo akuchekee tu ndiyo maana unataka kuoa mke mpumbavu asiyejua kuhoji chochote sikushangai
 
Maandishi marefu halafu nonsense. Kuandika pumba Kwa urefu haikufanyi uwe na hoja
Saying something is nonsense without even confuting how that nonsense is nonsense, it just makes you to look nonsensical creature.

Hivi kuna hoja gani kwanza ya maana uliyoitoa hapa wewe tangu umeanza kuchangia huu uzi?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani upande wa upinzani wapo wawili tu wanaoweza kubishana.

Huku Kuna Marianah na cariha..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marianah akiwa tu pekeyake Ni shida..Sasa wapo wawili[emoji3526][emoji3526][emoji3526]

Bado wengine hatujaingia..tupo benchi bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ninyi ni kina nani na asili ni nini??
Daah,huyu mdau amenipa simanzi sana,yaani anaonekana anakubali kuacha asili na kubadilishwa na mazingira.

Sisi ndio tunatakiwa kuyapeleka mazingira na mabadiliko tunavyotaka sisi na inavyotaka asili.
 
Sawa ..ukalale Basi Lizarazu.
Huyu dada hutaweza kubishana nae...imutaishia tu kumuattack kama unavyofanya.
Naona mnatambishiana Hadi wapenzi wenu.
Wewe Lizarazu hujui kuelewesha mtu rafiki yangu..unachofanya hapa ni kumuattack...na ndio mtindo wako siku zote.
@SAINTANNE I am fvcking sick and tired of your incessant biased diplomatic game. Hope you read this comment below .. You better stay on the sidelines from now.
Lizararu you called my man half man, basi ka ni half man mpe hicho kijambio chako halafu ulete mrejesho hapa ka ni half man, siunajua kashfa wewe, mpe kijambio hicho
 
Mkikosa hoja ndiyo huwa mnakuja na kauli kama hizi sasa nani kasema anataka kuolewa na wewe?? Kwa taarifa yako mimi nilishaolewa na mume wangu anajielewa sana hivyo nampa heshima yake!!
Na muonea huruma jamaa atakaye kuoa
Mpe Pole yake
Mimi tungegawana nyumba za serikali
Mapema Sana
 
Back
Top Bottom