Kama wewe unachukulia serious kila kinachoandikwa humu basi unahitaji msaada wa kisaikolojia mkuu watu humu wana fake kuanzia identities hadi personalities kwa sababu hakuna haja ya mtu kujiweka real humu ila ukijifanya unataka kuwajua watu kupitia wanayoyaandika humu basi utaingia chakami najua comment za mtu hulingana na experience alizopitia. inaonekana wewe umefanyiwa uchafu mwingi sana na wanaume. unaongea kwa uchungu sana. pole
Mbona umeongelea hapo kwenye kuwa mama tu hayo mengine haujayaona??Toa mfano,acha uoga.
Pili,kuwa mama unabaguliwa vipi na unasumbuliwa vipi ? Hujui kama suala la wewe kuwa mama ni jambo ambalo liko nje ya uwezi wetu sisi binadamu ?
Muache jembe aendelee kushusha dhana..Lizarazu ukalale Sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wewe Ni mbishi mno
Kanipa jibu nikasome mwanzo nikitulia ntaenda nisome na ntaandika hicho kifungu kwenye reply yake ntakutag usijali
Pole kwa shughuli nzito hii mi nilivyo mvivu kutype ooooooh hiki kikombe sikiwezi aisee
Usilete kitu hapa kama huwezi kukitetea. Halafu amna anaebishana hapa isipokuwa watu wanapimisha hoja..Ndugu mimi sio bingwa wa kubishana hiyo fact nimeandika chaguo ni lako ukubali ama la.
Yani more than 15 hukui kiakili unakuwa umri tu wewe una tatizo lakutokujiamini na kuna mwanamke mjanja alikutenda basi umekuwa na chuki na wote. Mpenzi wangu ni muelewa hata mambo yake anayofanya makubwa Kwa nchi kuliko nyie mnaoumizwa na mambo ya wanawake Kwa kutokujiamini
Akalale.Muache jembe aendelee kushusha dhana..
Ukalale Sasa jamani.Kutokujiamini..... Kitokujiamini.... Kutokujiamini... Blah blah blah!! Another line please this one is getting boring!!
Hakuna mwanamke mjanja mbele yangu hasa kwa nyie wa zama hizi mnaojiona sijui mmeelimika na mnazitambua haki zenu.
Wengi wenu mimi nawaona ni wajinga sana na vithibitisho vipo ukitaka nakupa kwanini nawaita nyie wanawake wa millennials ni wajinga na elimu zenu ndio zimezidi kuwatia ujinga.
Huyo jamaa yako tayari umesha mmanipulate basi kwa akili yako unatamani kila mwanaume awe manipulated kama yeye.
Ni kwa sababu unataka ukifanya maovu mkeo akuchekee tu ndiyo maana unataka kuoa mke mpumbavu asiyejua kuhoji chochote sikushangaiUzi unakimbia ni hatari,nilitamani niongee lakini roho inaniuma
Anyway siku ikitokea nikaoa mwanamke mwenye mrengo kama wa mleta mada nitaua! Mungu anisaidie uwa sipendi ujinga kabisa
Huyu dada hata wewe nahisi humfikii.Yeah cariha naye yuko vizuri
Saying something is nonsense without even confuting how that nonsense is nonsense, it just makes you to look nonsensical creature.Maandishi marefu halafu nonsense. Kuandika pumba Kwa urefu haikufanyi uwe na hoja
Yaani upande wa upinzani wapo wawili tu wanaoweza kubishana.
Huku Kuna Marianah na cariha..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marianah akiwa tu pekeyake Ni shida..Sasa wapo wawili[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Bado wengine hatujaingia..tupo benchi bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah,huyu mdau amenipa simanzi sana,yaani anaonekana anakubali kuacha asili na kubadilishwa na mazingira.
Sisi ndio tunatakiwa kuyapeleka mazingira na mabadiliko tunavyotaka sisi na inavyotaka asili.
Sawa ..ukalale Basi Lizarazu.
Huyu dada hutaweza kubishana nae...imutaishia tu kumuattack kama unavyofanya.
@SAINTANNE I am fvcking sick and tired of your incessant biased diplomatic game. Hope you read this comment below .. You better stay on the sidelines from now.Naona mnatambishiana Hadi wapenzi wenu.
Wewe Lizarazu hujui kuelewesha mtu rafiki yangu..unachofanya hapa ni kumuattack...na ndio mtindo wako siku zote.
Lizararu you called my man half man, basi ka ni half man mpe hicho kijambio chako halafu ulete mrejesho hapa ka ni half man, siunajua kashfa wewe, mpe kijambio hicho
Mkuu aliyeanza hizo ad hominem attacks ni yeye na wala siyo lizarazu..Naona mnatambishiana Hadi wapenzi wenu.
Wewe Lizarazu hujui kuelewesha mtu rafiki yangu..unachofanya hapa ni kumuattack...na ndio mtindo wako siku zote.
Na muonea huruma jamaa atakaye kuoa
Mpe Pole yake
Mimi tungegawana nyumba za serikali
Mapema Sana