Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Haya MLEVi Mmoja na wewe njoo hapa ujione ulivyo hauna akili
 
Kwahiyo ni kwamba haujui ni kwanini siyo?? Au unanijaribu ujinga tu??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na kauli kama hizi ndiyo zinajustify maovu ya wanaume kwenye jamii
Hii comment yako kwa ukiingilia kwa jicho la tatu ina mdharirisha sana mwanamke,

inaonesha kuwa mwanamke ni kiumbe kisichojielewa na hakina maamuzi juu ya mwili wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila huyu Lizarazu Ni jeshi la mtu mmoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kumbe Hadi Nyenyere hamfikii..
Kwani Nyenyere kaingia lini??
 
Tofautisha kati ya kuwa dominated na kuwa downgraded tunapenda kuwa dominated lakini wanaume wengi wa kiafrika mnatu downgrade
mwanamke mwenzenu huyo nimetoa hii comment kwenye uzi mwingine.. mtabishana ila mwisho wa siku ukweli ni kwamba deep inside mnapenda kuwa dominated.
Karma
 
[emoji23][emoji23]mmhh Saint anne mbona sijawahi kuambiwa haya yote directly mimi jamani?? Kweli ujio wa huyu dada ume unleash mambo mengi yaliyojificha!![emoji1787][emoji1787]
 
sasa kuna mwenzako anapinga hadi hio dominance.
na hilo swala la kukandamizwa em lifafanue vizuri. em nipe mfano
Mfano kumpiga mwanamke na kumdharau anapofanya makosa ila wewe ukifanya makosa unajiona uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…