Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
- Thread starter
- #921
Haya MLEVi Mmoja na wewe njoo hapa ujione ulivyo hauna akili
Nani alikwambia kwamba IQ ni kipimo cha kumjua mtu mwenye akili ?
IQ na mtu mwenye akili,ni vitu viwili tofauti,mtu mwenye akili hapimwi kwa kuulizwa maswali na kwa kutumia taratibu za kijinga,mtu mwenye akili anapimwa au tunamjua kwa :
1. Kujizuia na yale yote yenye kuzuru afya ya akili yake.
2. Kujizuia na yale yote yenye kuzuru afya ya mwili wake.
3. Kujizuia na yale yote yenye kuharibu mali yake.
4. Kujizuia na yale yote yenye kuzuru au kuharibu nasaba/kizazi chake.
Kinyume na hapo wewe huna akili,hata kama ukiwa na IQ zote,wewe kama una IQ kubwa halafu ni mlevi wewe huna akili,wewe ukiwa na IQ kubwa unavuta sigara wewe huna akili,ukiwa una IQ kubwa halafu unaenda kinyume na Dini inavyotaka wewe huna akili.