Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
- Thread starter
- #1,201
Usifananishe ngono na vitu kama chakula na maji mtu asipopata chakula na maji hata ajizuie vipi atakufa tu ila sijawahi kusikia mtu amekufa kwa sababu ya kukosa ngono hayo mateso mnayosema mnayapata ni visingizio tu vya kuhalalisha maovu yenu!!
Na kama kweli hamuwezi kuvumilia je kwanini muumba alikataza uzinzi na uasherati kwa jinsia zote kwahiyo ninyi mnajijua sana kuliko yeye aliyewaumba anavyowajua kiasi kwamba akaamua kuweka sheria na amri zake na kutaka zifuatwe na watu wote bila kujali jinsia??

ha ha ha ukiona unahitaji kitu halafu huwezi kukipata au unajizuia usipate ni mateso.Ni sawa na upate kiu ya kunywa maji halafu ujizuie.....nadhani umenisoma mkuu.