Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Kwahiyo wanaume hakuna dhambi mnayoisababisha hata moja??
Ipo mkuu zipo.
Sio kama hakuna zipo ila mm nimetolea mifano hapo.Lakini sisi tunazungumzia makosa uliotaja ww ambayo ndiyo yanafanyika kwa wingi kwa dunia ya sasa ambayo most of them vyanzo ninyi.
 
Sasa mkuu kama ninyi mnaona ni vigumu kuacha maovu yenu kwa sababu ya vishawishi vyao mnadhani wao kwao ndiyo rahisi kuacha maovu yao bila kujali vishawishi vyenu??
Duh dada unaji confuse sasa ebu tuliza mori kwanza.Sisi kuna madhambi kuyaacha yana uwepesi kwetu kama kuua,kupigana,kutukana,wizi n.k n.k.
Haya makosa tukiangalia vyanzo vyake ni rahisi kuviepuka.
Ila masuala uliyozungumza ww Kule juu ninyi ndio chanzo kuyaepuka ni vigumu.
Hivi dada unadhani kitu chepesi mwanamke anakulazimisha anakutega hutegeki anakutilia hadi dawa ilimradi tu alale nawe hiv pasi nanyi kujirekebisha na kujiheshimu yataishaje haya ambayo umeyaorodhesha kule juu???
Dada bhana tuache ubishani tuongee uhalisia basi walau kwa uchache.
 
Ipo mkuu zipo.
Sio kama hakuna zipo ila mm nimetolea mifano hapo.Lakini sisi tunazungumzia makosa uliotaja ww ambayo ndiyo yanafanyika kwa wingi kwa dunia ya sasa ambayo most of them vyanzo ninyi.
Eh Haya
 
Enhe sasa naomba nikuulize swali unadhani kwanini wanawake wanafanya hayo yote?? Tuanzie hapo kwanza!!
 
embu meza mate kwanza bas
 
hii 50/50 imewa pumbaza sawa wanawake wa siku hizi kiasi wanataka kupigana na Nature... something which is impossible.
 
*Mwanamke ndio anae jua baba halali wa mtoto*..... hii fact vp nayo?
 
Denmark imefikaje apa sasa? uzi ni wa Ke na Me we unaleta location
Shaur yenu mimi Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu Pambaneni na hali zenu

Endelea kufanya uhanarakati wa usawa
Mtanyooka tuu

Mwanaume Sio Sawa na mwanamke
 
Enhe sasa naomba nikuulize swali unadhani kwanini wanawake wanafanya hayo yote?? Tuanzie hapo kwanza!!
Kuna sababu tofauti tofauti.
1)Tamaa ya kila mwanaume mzuri mathalan wamachame ama warangi kila mtu mzuri wanamtaka wao inawafanya waweke mitego ya kila aina hadi ukaaji uchi na kutokana na uzuri wao kidume unajikuta unategeka.
2)Ugumu wa maisha hupelekea baadhi ya wanawake kuuza nyuchi zao.
3)Poor mindset ya kutaka kuwa na mahusiano na mwanaume mwenye hela mwishowe inapelekea mwanamke kutumika na kuachika.
Hizi ni sababu kuu hupelekea kutokea yale uliyoelezea kule juu.Na humu ndani ya hizo sababu huzaliana mambo mengi sana kiasi ya kuathiri saikolojia ya mtu na kupelekea mtu mazoea kujenga tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…