Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Duuh hapa kweli kazi ipo ndugu yangu mimi naona turudi tu kwenye mada hapa kwa kweli nimeona napoteza muda tu kukuelewesha maana nimejitahidi kukuelewesha ila bado unarudi kule kule nahisi tutabishana hadi mwakani na tusifikie muafaka cha msingi kila mtu abaki na anachokijua tu kwa kweli
 
Yaani hata mimi kwa upande wangu nimekuona wewe mgumu kuelewa kwahiyo sijui nikusaidiaje ila ninachoweza kuhitimisha ni kwamba tu kila mtu aamini anachoamini tu mkuu
 
Ndivyo dunia ilivyo ili maisha yabalance lazima kila kitu kiwe na kinyume chake wanawake lazima wawepo wabaya na wazuri na wanaume pia lazima wawepo wabaya na wazuri siyo kila mwanamke ni wife material na vile vile siyo kila mwanaume ni husband material!!

Lakini pia hata kwenye ndoa wapo wanaume wanaooa wanawake magalasa na wapo wanawake wanaoolewa na wanaume magalasa sasa sijui wewe mwenzangu ulitaka kila mwanamke awe mzuri kusiwepo na mbaya hata mmoja au sijui ulitakaje??
Sio kila mwanamke ni wife material.
 
Nithibitishe vipi kuhusu uongo wakati sijasema kama hayo ni uongo zaidi ya mimi kutaka unithibitishie tu.

Au kuna sehemu umeona nimekanusha hapo bibie ?
Kama haujasema kuwa ni uongo basi hauhitaji kuthibitishiwa chochote!!
 
Ndiyo neno Uajemi najua kuwa limetokana na neno la kiarabu na siyo ajabu maana maneno mengi ya kiswahili yametokana na maneno mengi ya kiarabu

Ila hapo uliposema kwamba hadi mimi na wewe ni waajemi ndiyo nimegoma
 
Kama haujasema kuwa ni uongo basi hauhitaji kuthibitishiwa chochote!!
Nahitaji kuthibitishiwa kutokana na chanzo ukichokitumia kuleta habari hiyo.

Ithibati iko pale pale bibie,na swali langu lako pale pale,wewe ukicho kileta kutoka google una uhakika gani kama ni cha kweli ?.Hili ndio swali la msingi na ni lazima unithibitishie sababu sijakanusha hilo bali natak kuoata uhakika wake.
 
Hahahaha wewe mark hebu acha utani bwana hivi ina maana haujawahi hata kuwaona wale wanawake wanaofanya mazoezi ya kunyanyua vyuma hadi wanakuwa na mamisuli makubwa kama mabondia wa kiume sasa wewe wale unadhani wanashindwa kunyanyua engine kweli??
Kunyimwa tu hayo mabavu inaonesha otafauti na inaondoa hiyo kauli yako ya hakuna kazi mwanaume anaweza fanya mwanamke akashindwa..
 
Mimi nina uhakika nacho na ninajua kwanini nimekiamini hicho chanzo ila kwa sababu wewe ni mbishi hata nikuthibitishie vipi utabisha tu so forget about that and let's call it a day!!
 
Nimegoma kwa sababu umenidanganya na wala sitaki unithibitishie chochote hapo
Umegoma kwamba nimekudanganya au umegoma kwamba unaujua Ukweli au umegoma sababu hutaki tu ?
 
Mimi nina uhakika nacho na ninajua kwanini nimekiamini hicho chanzo ila kwa sababu wewe ni mbishi hata nikuthibitishie vipi utabisha tu so forget about that and let's call it a day!!
Huu sasa ndio ubishi wenyewe,umejuaje kama ukinithibitishia nitakataa ?

Hapa unaonekana huna uwezo wa kuthibitishia ndio maana umekimbilia kichaka cha kuniambia mimi mbishi.

Siku nyingine usiwe muoga namna hii.
 
Nimegoma kwa sababu umenidanganya na wala sitaki unithibitishie chochote hapo
Nimecheka sana. Kwenye Elimu huwa sidanganyi bibie,sababu najua Elimu ni amana,na amana huwa inarudishwa kwa watu wake.

Hili la uajemi nimeshalithibitisha huko nyuma,ndio maana nikauuliza maswali hayo.

Hapa umeonekana kituko sababu umeukataa ukweli kwa makusudi na hii ndio sifa yako anuai,yaani umeathiriwa na oga na kutaka kujitutumua kwa kila jambo,mengine ukijitutumua unaonekana mjinga hili ulilo ligomea ni sawa na wewe leo hii uukatae uanamke wako ukweli wewe ni mwanamke.
 
Hahahaha unadhani ukisema hivyo ndiyo nitaogopa kwamba eti utaniona sijui?? Hata mimi kuna mambo google huwa siiamini ila kwenye mambo mengine hadi niiamini nakuwa nimeshafuatilia vya kutosha kwenye sources nyingine nyingi tu

Ila nisingeweza kumletea huyo zote hapa kwa sababu angejichanganya bure sasa kama wewe eti unadhani kwa vile sijakuthibitishia basi ndiyo sijui pole na endelea kuwaza hivyo hivyo ila msimamo wangu uko pale pale kwamba sikuthibitishii chochote kwa huo ubishi wako usio na mantiki unadhani nitapoteza muda wangu?? Nahi Karungi, Kabhi Nahi.
Huu sasa ndio ubishi wenyewe,umejuaje kama ukinithibitishia nitakataa ?

Hapa unaonekana huna uwezo wa kuthibitishia ndio maana umekimbilia kichaka cha kuniambia mimi mbishi.

Siku nyingine usiwe muoga namna hii.
 
Dada angu una asili ya ubishi.
Nimekuletea article ya world atlas bado unapingana nayo we dada mbishi Mungu anakuona.
Duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Unachokataa ndicho kila mwanafunzi amesoma na mm nimesoma na kulifundisha hili 2014 kama mwalim wa kukodiwa dada angu japo nilikua sina cheti cha ualimu ktk shule ya Almustaqim kwa uweledi tu.
Utakua unapingana na world atlas sio mm.
 
Yaani hata mimi kwa upande wangu nimekuona wewe mgumu kuelewa kwahiyo sijui nikusaidiaje ila ninachoweza kuhitimisha ni kwamba tu kila mtu aamini anachoamini tu mkuu
Sawa lakini nakupa tu hint.
Kasome history of persia and related ethnic groups of persia.
Utaja nambia mwenyewe.
Na unachokipinga ndicho students wanasoma huko mashuleni.
 
Kwahiyo Zurri wewe mtu akikataa chochote ulichomwambia basi maana yake hataki ukweli?? Yaani kwamba wewe mwenzetu unataka tuamini kila unachotuambia siyo??
 
Kwahiyo wewe unachosema ni kwamba watu wote wa hizo nchi ulizozitaja ni wapersia si ndiyo??
 
Sawa mwaya mimi sijaenda shule na wala hata sijui what is geography wala atlas yaani sijui chochote!!

Yaani wanaume kukubali ukweli kutoka kwa wanawake ni kama Shetani kutubu na kurudi kwa Mungu!!
Sawa lakini nakupa tu hint.
Kasome history of persia and related ethnic groups of persia.
Utaja nambia mwenyewe.
Na unachokipinga ndicho students wanasoma huko mashuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…