Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Dhambi ni ya mwanamke ila sio kwao, ingekuwa hivyo basi wasingelaaniwa na wao pale EdenHawa wanaume bana wanaharibu jukwaa na mambo yao ya kale kutwa kutukalia kooni kah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi ni ya mwanamke ila sio kwao, ingekuwa hivyo basi wasingelaaniwa na wao pale EdenHawa wanaume bana wanaharibu jukwaa na mambo yao ya kale kutwa kutukalia kooni kah
Umesoma historia ya Suleiman yote?? Unajua mwishoni ilikuwaje baada ya yeye kufanya yote yale?? Halafu kumbuka Suleiman alitenda hadi dhambi ya kuua na bado Mungu alimbariki kwahiyo utasema kuua siyo dhambi tena kwa sababu Suleiman aliua na Mungu alizidi kumbariki?? Halafu na hili la Suleiman itabidi nilianzishie uzi kuwaelewesha watu ili wale wanaomtumia Suleiman kama mfano waumbuke na wajione walivyo wajinga!!
Wanaume siyo bora kuliko wanawake. Bali ni watendaji bora kuliko wanawake.Nimejibu point yako nikakwambia kuna vtu huwezi kujiona bora au kuhukumu nikakupa mfano wa fish. So hzo zote ni perception ya mtu anayoona that's why nikasema kwangu me na ke tofauti ni maumbile tu basi aisee
Mkuu hivi Stockholm ni mji wa Sweden au Denmark?
mi najua comment za mtu hulingana na experience alizopitia. inaonekana wewe umefanyiwa uchafu mwingi sana na wanaume. unaongea kwa uchungu sana. pole
kapeace bana [emoji23]
Mi nafikiri angesimamia upande mmoja. Aidha usawa na kuyakataa hayo yanayoitwa maandiko matakatifu au kufuata hayo maandiko na kuachana na habari za usawa. Tatizo she wants to eat her cake and have it at the same time..
Naona sasa hauna hoja zaidi ya kuja na mihemko na 'fyoko fyoko' zako hivi hiyo amri ya mwanaume kumtawala mwanamke Mungu aliitoa kabla au baada ya tunda kuliwa?? Halafu uwe unajibu maswali basi!!Ni sawa ndio.
Hata huko utakapoenda ndio hali halisi hii Mkuu.
Omba Mungu ukienda ulimwengu mwingine uwe tabaka tawala.
Hata Shetani aliwaza kama wewe. Aliona kila siku anapiga tizi kusujudu kwa Mungu akaona sio sawa. Akasahau yeye ni mtawaliwa.
Akaleta fyoko fyoko akatimuliwa.
Huyo Hawa aliona sio sawa awe vile alivyo akataka kuwa sawa na Mungu. Akasahau yeye ni mtawaliwa. Akaleta fyoko fyoko akiwa na mumewe akatimuliwa.
Hata wewe ukileta fyoko fyoko kwenye nyumba yako. Ukasahau wewe ni mtawaliwa unafukuzwa tuu.
hii ndio dunia. Kuna mambo huwezi yabadili hata ungefanya nini.
Hao wazungu walianza mambo unayofikiri karne ye 18 huko yaani miaka 1700 lakini mpaka leo hii hakuna lolote lililofanyika.
Najua fyoko fyoko zako zitaishia humu JF lakini ukizipeleka nyumbani mumeo atakutimua.Ili ujue maana ya Mtawala na mtawaliwa.
Ni hayo tuu.
Hata huko mitaani wanachangamsha magenge tuu. Hakuna aliye serious. Ndio maana wanaume hawaachi kufanya wanayoyafanya na nyie pia hamuachi.
Unforgetable
Mkuu mimi wala sijalikataa hilo. Lakini ni ukweli usiopingika kuwa hayo maandiko yamegubikwa na stori nyingi zinazomshusha mwanamke kuliko zinazoakisi usawa. Yani ukitumia biblia kudai usawa wa kijinsia lazima utakwama tu...Mkuu hata maandiko nayo kuna sehemu yametaka usawa kati ya mwanaume na mwanamke hasa kwenye dhambi ila wanaume wengi wanajifanya hawaoni hili mfano kuna andiko linasema "aziniye na mwanamke hana akili kabisa afanya jambo litakalomuangamiza nafsi yake mwenyewe"
Probably anayeongelewa hapo ni mwanaume sasa sijui wanaume wana nini la kusema kuhusu hilo andiko maana ukilitaja wengi wao wanalikwepa yaani linapokuja kwenye maswala ya utawala maandiko wanayaamini ila linapokuja kwenye swala la umalaya wanakuwa wapagani ghafla
Ndiyo msubiri tujirekebishe endeleeni kusubiri hiyo meli itie nanga kwenye uwanja wa ndege!!Nyie Ndiyo mnatakiwa kujirekebisha
Mbona Mke wangu hana Haya mambo ya kijinga hivi??
Hahahaha masikini kwahiyo wewe kwa akili yako Mungu anavyowaacha wanadamu wafanye maovu unadhani karidhika?? Ukisema hivyo basi unamaanisha pia hata wanawake Mungu karidhika na maovu yao maana wapo makahaba wanaobarikiwa na wapo single mothers wanaobarikiwa sasa ninyi wanaume ni kina nani hata mshupalie maovu yao??
Na ninyi endeleeni kupiga kelele kuhusu maovu ya wanawake tuone kama mtafanikiwa hasa kama wewe ulivyoshupalia kuhusu maswala ya bikira nakuapia siku jamii ikibadilika wanawake wote wakianza kujitunza na kuolewa wakiwa na bikira basi nitafute nikujengee nyumba nikununulie na magari ila tofauti na hapo wote tukae kimya tu kila jinsia iendelee na maisha yake
mamaangu kwa huo ufeminist ulionao hata ukipita na bikini sishtuki.Nambie king we nae unafanana na Suleiman kwa kipi nianze kujipitisha
Bibie naona unakimbia kivuli chako na kukimbia swali la msingi. Nakusaidia sasa na naendelea kufanya hivyo.Uonevu wowote Kwa mwanamke kwangu ni marufuku na sisi tunataka kuwa huru sio nyie kujiona mnauhuru Kwa kuhangaika sisi tukitafta wakuturidhisha mtuonee never on earth
Kama mnalijua hilo kwanini mnahangaika na wanawake waliobaki?? Kwani wema si wapo basi hao hao wanatosha!!Tatizo lenu mnatembea na wavulana mnasema ni wanaume
Ngoja wawanyooshe
Mtapiga kwata za kutosha tuu
Mwanaume halisi na mwanamke halisi hawafanyi huu ujinga unafanyika hapa
Hahahaha hata hivyo huna la kufanana na huyu mfalme siwezi kujipitishamamaangu kwa huo ufeminist ulionao hata ukipita na bikini sishtuki.