Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

From beggining hata sikuwa Kwa imani ni nyie mlikimbilia kujifanya wadini ili kujidefend kuliko waliotuletea hizo dini zenyewe, yani nyie mna uchungu kuliko waliotuletea sio. So design mnakwepa uhalisia na sasa waniuliza definition ya ukweli does it mean hujui kweli?
Dini inatuhusu sisi binadamu na ni kwa ajili ya mustakabali wetu pia.

Hapa ulitakiwa uchunguze dini sio kwa hisia na kusikia bali kwa kusoma na kuelewa na kutafakari kwa kina.

Akili iliyo salama haiwezi kukataa juu ya dini.

Lazima turudi kwenye dini sababu dini imetuelekeza ni ipi haki na haki nini na kina nani wenye haki. Swali hili nje ya dini hakuna anae weza kulijibu,ndio maana wewe umeshindwa kulijibu pia.
 
Yaani nimeshawajua wabishi kama woteee kwa nyuzi mbili tu! Kuna watu wana kipaji jameni!

Na wewe umeamini kwamba kweli mimi ni mbishi ?

Tatizo lenu mnaposhindwa kujibu hoja na maswali yetu ndio mnakimbilia kwenye kututuhumu sisi wabishi.
 
Umeshaniambia hunielewi kwanini sasa tuendelee kujadili hii kitu hapa aisee, umebase sana hoja yako Kwa mwanaume kuyumba na responsibilities mbona hata nyie mnapenda kulelewa sana sikuhizi, pia hyo ya makonda hao ni wanawake wachache waliojitokeza wewe mwanaume ka ulikata viuno ni lazima kushiriki kwenye kulea mtoto hata nikiwa bilionea haikuruhusu kukwepa majukumu yako ya mtoto wako

Umetoa hoja halafu umeshindwa kuitetea kwa mantiki umebaki unacheza kiliwansenza tu hapa.

Mwenyewe umatwambia hapa eti kwa mujibu wa World Bank nyie wanawake sasa hivi ndio mmeishika sekta ya ujasiriamali kwa hapa bongo na ndio mna uchumi mkubwa kuliko hata wanaume.

Sasa mimi nilichokifanya ni kuja na concrete evidences ambazo zinaonesha kuwa hiki ulichokisema sio cha kweli.

Sio kweli hata kidogo kuwa nyinyi wanawake ndio mna uchumi mkubwa.

Ni kweli wanawake mmepiga hatua kiuchumi tena sana, lakini sio kiasi cha kuwazidi wanaume.
 
Sio Zurri peke yake wanaume wote wanaopinga mada hii wapo kwenye maumivu makali ya 50 kwa 50.

Yaani sisi kila kitu kipo wazi. Na nilivyo huku ndio nilivyo kwa wife.

Wewe muislamu nina uhakika unajua kila kitu kipo wazi,na majukumu ya mume na majukumu ya mke na haki ya mume na haki ya mke vyote viko wazi,ni kuchukua tu.
 
Kweli kabisa lakini je umeshaona mchana na usiku vinashindana au vinakomoana?? Na zaidi ndiyo kwanza mwezi unategemea mwanga wa jua ili nao uangaze usiku lakini wanaume wa siku hizi sasa mambo wanayoyafanya kwa wanawake mengine hayaelezeki!!
Namaanisha mwanga una outdo giza[emoji2][emoji2] japo vyote ni muhimu.
 
Hakuna mtu anayeweza kuanzisha biashara isiyo na soko labda awe kichaa siku zote soko ndiyo linaanza kuwepo halafu mtu ndiyo anaanzisha biashara hivyo soko likifa biashara nayo itajikuta inakufa yenyewe kama haujasoma uchumi hauwezi kuelewa hili na kama umesoma basi nina mashaka na uelewa uliokuwa nao darasani
Unafungua duka sehemu ukitegema wateja waje, wasipokuja unafunga. Unafungua kampuni sehemu kama biashara inakufa.....wanaume tunahitaji mbunye lakini kama hakuna wa kununua i think tutaoa
 
Kutetemeka sio jambo la ajabu,kama nimemkosea lazima nitetemeke tena mimi ambae ni msimazi wake lazima nimchunge,na nimlinde sababu nitakuja kuukizwa kwanini sikumfanyia wema.

Kwani wewe hujui kama mimi natetemeka kwa mke wangu ?
Najua kwamba unatetemeka kwa wifi yangu namfahamisha Fragaria afahamu pia
 
Umetoa hoja halafu umeshindwa kuitetea kwa mantiki umebaki unacheza kiliwansenza tu hapa.

Mwenyewe umatwambia hapa eti kwa mujibu wa World Bank nyie wanawake sasa hivi ndio mmeishika sekta ya ujasiriamali kwa hapa bongo na ndio mna uchumi mkubwa kuliko hata wanaume.

Sasa mimi nilichokifanya ni kuja na concrete evidences ambazo zinaonesha kuwa hiki ulichokisema sio cha kweli.

Sio kweli hata kidogo kuwa nyinyi wanawake ndio mna uchumi mkubwa.

Ni kweli wanawake mmepiga hatua kiuchumi tena sana, lakini sio kiasi cha kuwazidi wanaume.
Mimi nimesoma long time sasa kuanza kutafta nilipo dowmlod ili nikufuraushe wewe au kushindana sina huo mda pia msijifiche kwenye concrete evidence au blah blah, why should I lay kuhusu issue ili nipate nini. Pia hii ni forum ndo mana nikawaambia for more clarification google it ili uprove wrong mana mnageuza mashindano vitu simple tu. Acha uvivu google tena hyo report hata humu JF ilipostiwa mbona kuhusu ya uchumi aisee.
 
Sasa ujasiriamali wa kuuza juice, kupost viatu mitandaoni, kwa hela za kudanga ndo mnajiita wajasiriamali... Mnapoteza muda
Huyo Cariha itakuwa sample yake ni wale madada wanaopost bidhaa zao za biashara Instagram huko, kisha akajiaminisha kuwa wanawake wameamka kibiashara kuwashinda hata wanaume, sasa akaone aje atuzuge hapa eti WB wamesema nchini Tanzania sasa hivi wanawake ndio wamtakeover sekta ya ujasiri![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]!

Anafurahisha kweli huyu mwana mama.
 
Mimi nachunguza neno maana dini ni mfumo uliowekwa na binadamu, mie naamini neno na nimfuasi wa Kristo ya yeye hakuachi dini yoyote pia siishi chini ya sheria yoyote kandamizi kabisa loh

Back
Top Bottom