Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Mimi IG hata huwa sifatilii hizo biashara ila kwangu mjasiriamali yoyote namweshimu, ninapoishi naona hali halisi ilivo so sihitaji kuambiwa na akili timamu naona a,b,c, d
Huyo Cariha itakuwa sample yake ni wale madada wanaopost bidhaa zao za biashara Instagram huko, kisha akajiaminisha kuwa wanawake wameamka kibiashara kuwashinda hata wanaume, sasa akaone aje atuzuge hapa eti WB wamesema nchini Tanzania sasa hivi wanawake ndio wamtakeover sekta ya ujasiri![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]!

Anafurahisha kweli huyu mwana mama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu mwanamama ana vituko sana yan anakuja na hoja za kisekondari huku kwa MA big thinker km sisi... Me nadhani hata maana ya ya ujasiriamali hajui.. Andelee kupost viatu na nguo mitandaoni huku akijifariji naye n mjasiriamali
 
Usijal Mamii hapa tunachangamsha genge tuu, Ila tunatambua mchango wenu kwenye Jamiii, tunawaheshimu na tunawapenda, Kikubwa n kila mmoja atambue nafas ya mwenzake ndo maisha yataenda.
 
Nimeelewa point yako maana unajificha Kwa wanaume walio successfully Ku hide agenda yako ya discrimination Mara unajikita Kwa wanawake Ku bleed sijui pedi bleeding is normal Kwa kiumbe hai chochote cha kike bila bleeding sio ukimilifu Kwa kiumbe cha kike pia hii ya wanawake kwenda vitani naskia kwako maana najua hawaendagi kwenye battle field pia bleed huwa haichuruziki ka bomba umedaganya kabisa. Before pedi people were using vitambaa ambazo nguo zimegunduliwa siku nyingi. So point yako hapa ilikuwa ni bias towards women's bleeding and not invention iliyofanywa na huyo mtu uliyo mtaja hapa.

Pia kusema hao ma engineer nishakujibu huko juu no need of repetition sijui 80% and blah blah maana mabadiliko hayo hayajafikia miaka 100 kujilinganisha na wanaume waliopewa first priorities miaka na miaka.
Pamoja na kutumia nguvu nyingi na udadavuzi yakinifu niliyokupa kwa kuzingatia mpangilio wa hoja zako lakini bado hatuelewani kabisa.

Sitaki kuutilia shaka uwezo wako wa kuelewa bali acha nijipe tu benefit of doubt kuwa yawezekana unanielewa ila unafanya makusudi kwa kutoa majibu yasiokuwa na mfanano wa kimantiki na hoja zangu ninazo kupa.

Pia pamoja na ujuaji wako Lakin unaonekana wewe ni mchache wa maarifa na hata kwenye hiyo mitazamo yako ya kifeminist bado unayumba yumba tu, umejaa self contradictions tu.

Mimi nimemtaja Franklin Benjamin kuwa yeye ni mgunduzi wa sanitary pad unayoitumia leo hii unapokuwa MP kama mfano mdogo tu wa kuonesha jinsi gani wanaume walivyo so much creative kiasi cha kubuni vitu ambavyo ni kwa ajili ya faida yenu nyie wanawake tangu enzi na enzi, Na wala sikuwa na maana nyingine zaidi ya hii. Ila sasa angalia wewe ulivyoipokea hata mtoto mdogo akiona ulivyo respond hapa atakushangaa sana.

Pengine nilitegemea labda katika ku-counter hii argument yangu uniambie na wewe tangu mpate huo ukombozi wenu na nyie wanawake mmegundua hiki na hiki na kile ambacho ni kwa ajili ya faida ya mwanaume hili kuonesha kwamba kweli hata nyie mnaweza kufanya mambo makubwa mkipewa ulingo sawa na wanaume . Sasa wewe unaanza kuleta sijui masuala ya bleeding ni wapi nimeongelea bleeding mimi?

Yaani tangu mwanzo una bwabwaja tu na kuji contradict mwenyewe badala ya kujibu hoja.

Umesema sasa hivi nyie tayari hamko tena kwenye mfumo kandamizi uliokuwa unawanyima fursa za kufanya mambo makubwa hasa kwenye academic arena, haya sasa hivi nyie mna access sawa na wanaume kwenye huduma zote ikiwemo elimu.

Nimekuuliza kwanini bado taaluma nyingi za kisayansi ziko dominated na wanaume na hatuna hiyo 50/50, wewe unajibu eti tangu mpate huo ukombozi hamjafikisha hata miaka 100 wakati hapo mwanzo umesema kwamba hamko tena kwenye ukandamizi, sasa hapa niikueleweje?

Nakuulize tena kwanini ukiingia kwenye darasa la PCB kwenye shule yoyote ile mchanganyiko lazima utakuwa wanafunzi wa kiume ndio wwngi kuliko wakike!? Je hii nayo tusubiri baada ya miaka 100 ndio tuliulize?

Unakubali kuwa men are intellectually superior than women??
 
Huyo Cariha itakuwa sample yake ni wale madada wanaopost bidhaa zao za biashara Instagram huko, kisha akajiaminisha kuwa wanawake wameamka kibiashara kuwashinda hata wanaume, sasa akaone aje atuzuge hapa eti WB wamesema nchini Tanzania sasa hivi wanawake ndio wamtakeover sekta ya ujasiri![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]!

Anafurahisha kweli huyu mwana mama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu mwanamama ana vituko sana yan anakuja na hoja za kisekondari huku kwa MA big thinker km sisi... Me nadhani hata maana ya ya ujasiriamali hajui.. Andelee kupost viatu na nguo mitandaoni huku akijifariji naye n mjasiriamali
Naona mmeanza kumu attack yeye mwenyewe sasa
 
Inaonekana hata wewe mwenyewe kwa dhati yako hujijui,na kupingana na ukweli ni kupoteza muda.

Unajua kwanini ilikuwepo mipaka ? Na kwanini na wewe unamipaka yako ? Na kwanini na wewe uwekewe mipaka ?

Kupitia mipaka ndio maana leo hii kila jambo limekuwa.

Nyinyi ndio wale tunao waita mmeyafanya matamanio yenu kuwa Miungu yenu.

Na majibu yako yanaonyesha ni namna umekata tamaa katika kujenga hoja.

Sijatoa maana ya furaha,bali nimeweka yale ambayo watu wanapata furaha kwayo. Unatakiwa uwe makini katika kusoma maneno.

Sasa hayo ndio yanayowapa raha watu,swali langu wewe unajuaje haki yako ?

Uoga wenu na kukaririshwa mambo ndio manona anapangiwa mtu furaha.

Hakuna zama ambazo zimemuondoa mwanamke katika thamani yake na heshima yale kuliko zama za hizi ziitwazo utandawazi,leo hii mwanamke amekuwa mtumwa wa matamanio ya watu na yake na amekuwa bidhaa,hilo hamlioni bali walio waanzishia wamewatia upofu.

Leo biashara kubwa haziendi bila kudhalilishwa mwanamke na mlivyokuwa mazwa zwa mnapiga vigeregere na kuweka kampeni na kauli mbiu zilizo kufa. Rudini katika asili mpate hadhi zenu.

Unaposema kuna dini,bila kuonyesha huo ukandamizaji wewe unabaki kuwa muongo. Weka huo ukandamizaji kisha nikuonyeshe haki iko wapi,kisha uchague kuifata au kuiacha.

Naona na kauli zenu,kwa vikao na kura za veto.
Wewe unakwepa hoja ya misingi Kwa Ku stick eti najuaje haki yangu mbona shakueleza tangu mwanzo a to z.

Mana unanichanganyia tu madesa hapa kurukia kila jambo Mara uzalilishaji Mara sina dini stick Kwa hoja yako please
 
Pamoja na kutumia nguvu nyingi na udadavuzi yakinifu niliyokupa kwa kuzingagia mpangilio wa hoja zako lakini bado hatuelewani kabisa.

Sitaki kuutilia shaka uwezo wako wa kuelewa bali acha nijipe tu benefit of doubt kuwa yawezekana unanielewa ila unafanya makusudi kwa kutoa majibu yasiokuwa na mfanano wa kimantiki na hoja zangu ninazo kupa.

Pia pamoja na ujuaji wako Lakin unaonekana wewe ni mchache wa maarifa na hata kwenye hiyo mitazamo yako ya kifeminist bado unayumba yumba tu, umejaa self contradictions tu.

Mimi nimemtaja Franklin Benjamin kuwa yeye ni mgunduzi wa pad unayoitumia leo hii unapokuwa MP kama mfano mdogo tu wa kuonesha jinsi gani wanaume walivyo so much creative kiasi cha kubuni vitu ambavyo ni kwa ajili ya faida yenu nyie wanawake tangu enzi na enzi, Na wala sikuwa na maana nyingine zaidi ya hii. Ila sasa angalia sasa wewe ulivyoipokea hata mtoto mdogo akiona ulivyo respond hapa atakushangaa sana.

Pengine nilitegemea labda katika ku-counter hii argument yangu uniambie na wewe tangu mpate huo ukombozi wetu na nyie wanawake mmegundua hiki na hiki na kile ambacho ni kwa ajili ya faida ya nwanaume. Sasa wewe unaanza kuleta sijui masuala ya bleeding ni wapi nimeongelea bleeding mimi?

Yaani tangu mwanzo una bwabwaja tu na kuji contradict mwenyewe badala ya kujibu hoja.

Umesema sasa hivi nyio tayari hamko tena kwenye mfumo kandamizi uliokuwa unawanyima fursa za kufanya mambo makubwa hasa kwenye academic arena, haya sasa hivi nyie mna access sawa na wanaume kwenye huduma zote ikiwemo elimu.

Nimekuuliza kwanini bado taaluma nyingi za kisayansi bado ziko dominated na wanaume na hatuna hiyo 50/50, wewe unanibu eti tangu mpate huo ukombozi hamjafikisha hata miaka 100 wakati hapo mwanzo umesema kwamba hamko tena kwenye ukandamizi, sasa hapa niikueleweje?

Nakuulize tena kwanini ukiingia kwenye darasa la PCB kwenye shule yoyote ile mchanganyiko lazima utakuwa wanafunzi wa kiume ndio wwngi kuliko wakike!? Je hii nayo tusubiri baada ya miaka 100 ndio tuliulize?

Unakubali kuwa men are intellectually superior than women??
Lizarazu ukalale Sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wewe Ni mbishi mno
 
Mimi nimesoma long time sasa kuanza kutafta nilipo dowmlod ili nikufuraushe wewe au kushindana sina huo mda pia msijifiche kwenye concrete evidence au blah blah, why should I lay kuhusu issue ili nipate nini. Pia hii ni forum ndo mana nikawaambia for more clarification google it ili uprove wrong mana mnageuza mashindano vitu simple tu. Acha uvivu google tena hyo report hata humu JF ilipostiwa mbona kuhusu ya uchumi aisee.
1.Aliko Dangote – Net worth $10.3 billion
2.Mike Adenuga- Net worth $9.2 billion
3. Nicky Oppenheimer & family- Net worth $7.3 billion.
4.Nassef Sawiris- Net worth $6.3 billion
5.Johann Rupert & family – Net worth $5.3 billion
6.Issad Rebrab & Family – Net worth $3.7 billion
7. Naguib Sawiris – Net worth $2.9 billion
8. Koos Bekker - Net worth $2.3 billion
9. Isabel dos Santos- Net worth $2.3 billion
10. Mohamed Mansour- Net worth $2.3 billion
11. Strive Masiyiwa- Net worth $2.3 billion
12.Patrice Motsepe- Net worth $2.3 billion
13. Aziz Akhannouch & family – Net worth $2.1 billion
14. Mohammed Dewji - Net worth $1.9 billion
15. Othman Benjelloun & family- Net worth $1.7 billion

Hiyo ni list ya forbes ya top 15 richest in Africa mwanamke mmoja tu na yupo nafasi ya tisa.
Eti dada mnaongoza ktk nini??
 
Mimi IG hata huwa sifatilii hizo biashara ila kwangu mjasiriamali yoyote namweshimu, ninapoishi naona hali halisi ilivo so sihitaji kuambiwa na akili timamu naona a,b,c, d
Kwa hiyo huko unapoishi ulivyoona biashara nyingi wanao zi run ni wanawake basi ndio ukahitimisha kwamba Wanawake wamewapiga bao wanaume kwenye ujasiriamali hapa nchini?
 
Wewe unakwepa hoja ya misingi Kwa Ku stick eti najuaje haki yangu mbona shakueleza tangu mwanzo a to z.

Mana unanichanganyia tu madesa hapa kurukia kila jambo Mara uzalilishaji Mara sina dini stick Kwa hoja yako please
Zurri hajawahi kuwa na hoja inayoeleweka
 
Pamoja na kutumia nguvu nyingi na udadavuzi yakinifu niliyokupa kwa kuzingatia mpangilio wa hoja zako lakini bado hatuelewani kabisa.

Sitaki kuutilia shaka uwezo wako wa kuelewa bali acha nijipe tu benefit of doubt kuwa yawezekana unanielewa ila unafanya makusudi kwa kutoa majibu yasiokuwa na mfanano wa kimantiki na hoja zangu ninazo kupa.

Pia pamoja na ujuaji wako Lakin unaonekana wewe ni mchache wa maarifa na hata kwenye hiyo mitazamo yako ya kifeminist bado unayumba yumba tu, umejaa self contradictions tu.

Mimi nimemtaja Franklin Benjamin kuwa yeye ni mgunduzi wa sanitary pad unayoitumia leo hii unapokuwa MP kama mfano mdogo tu wa kuonesha jinsi gani wanaume walivyo so much creative kiasi cha kubuni vitu ambavyo ni kwa ajili ya faida yenu nyie wanawake tangu enzi na enzi, Na wala sikuwa na maana nyingine zaidi ya hii. Ila sasa angalia wewe ulivyoipokea hata mtoto mdogo akiona ulivyo respond hapa atakushangaa sana.

Pengine nilitegemea labda katika ku-counter hii argument yangu uniambie na wewe tangu mpate huo ukombozi wenu na nyie wanawake mmegundua hiki na hiki na kile ambacho ni kwa ajili ya faida ya mwanaume hili kuonesha kwamba kweli hata nyie mnaweza kufanya mambo makubwa mkipewa ulingo sawa na wanaume . Sasa wewe unaanza kuleta sijui masuala ya bleeding ni wapi nimeongelea bleeding mimi?

Yaani tangu mwanzo una bwabwaja tu na kuji contradict mwenyewe badala ya kujibu hoja.

Umesema sasa hivi nyie tayari hamko tena kwenye mfumo kandamizi uliokuwa unawanyima fursa za kufanya mambo makubwa hasa kwenye academic arena, haya sasa hivi nyie mna access sawa na wanaume kwenye huduma zote ikiwemo elimu.

Nimekuuliza kwanini bado taaluma nyingi za kisayansi ziko dominated na wanaume na hatuna hiyo 50/50, wewe unajibu eti tangu mpate huo ukombozi hamjafikisha hata miaka 100 wakati hapo mwanzo umesema kwamba hamko tena kwenye ukandamizi, sasa hapa niikueleweje?

Nakuulize tena kwanini ukiingia kwenye darasa la PCB kwenye shule yoyote ile mchanganyiko lazima utakuwa wanafunzi wa kiume ndio wwngi kuliko wakike!? Je hii nayo tusubiri baada ya miaka 100 ndio tuliulize?

Unakubali kuwa men are intellectually superior than women??
Kaka utaniulia mrembo wangu aisee siyo kwa hizi point konki duuuh!!!!!!!
 
Lizarazu dada hataki kubishana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usimtafutie ligi..Maana huchelewi wewe
Kwanza sio muelewa yaani tayari kwenye ubongo wake katengeneza ubishi usiokuwa na lazima ya nini niumize mikono yangu kuandika maandishi kama gazeti.
 
Bibie,weka akilini hili,kwenye Wanaume kuna Wanaume.

Mwanaume kamili huyu wa pili,hawezi kumwambia Mwanamke alete hela nyumbani,kwanza anatoka katika maumbile na ni aibu kwetu sisi na hivyo ndivyo nilivyo mimi.
Amen....... Ongeza sauti Kuna wavaa suruwali hawajasikia vizuri
 
Kumbe huyu Lizarazu ulikuwa unamuongelea ni huyu jamaa mbona sio mbabe kiivyo wa point(joke) [emoji2][emoji2][emoji2]
Huwa anatumia nguvu..
Ukimshinda point atakuattack mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].atakuita majina yote...
Wewe jaribu kubishana nae..mwisho utaona ..atakuambia wewe Ni old cargo ohoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu
 
Back
Top Bottom