Nimeelewa point yako maana unajificha Kwa wanaume walio successfully Ku hide agenda yako ya discrimination Mara unajikita Kwa wanawake Ku bleed sijui pedi bleeding is normal Kwa kiumbe hai chochote cha kike bila bleeding sio ukimilifu Kwa kiumbe cha kike pia hii ya wanawake kwenda vitani naskia kwako maana najua hawaendagi kwenye battle field pia bleed huwa haichuruziki ka bomba umedaganya kabisa. Before pedi people were using vitambaa ambazo nguo zimegunduliwa siku nyingi. So point yako hapa ilikuwa ni bias towards women's bleeding and not invention iliyofanywa na huyo mtu uliyo mtaja hapa.
Pia kusema hao ma engineer nishakujibu huko juu no need of repetition sijui 80% and blah blah maana mabadiliko hayo hayajafikia miaka 100 kujilinganisha na wanaume waliopewa first priorities miaka na miaka.
Pamoja na kutumia nguvu nyingi na udadavuzi yakinifu niliyokupa kwa kuzingatia mpangilio wa hoja zako lakini bado hatuelewani kabisa.
Sitaki kuutilia shaka uwezo wako wa kuelewa bali acha nijipe tu benefit of doubt kuwa yawezekana unanielewa ila unafanya makusudi kwa kutoa majibu yasiokuwa na mfanano wa kimantiki na hoja zangu ninazo kupa.
Pia pamoja na ujuaji wako Lakin unaonekana wewe ni mchache wa maarifa na hata kwenye hiyo mitazamo yako ya kifeminist bado unayumba yumba tu, umejaa self contradictions tu.
Mimi nimemtaja Franklin Benjamin kuwa yeye ni mgunduzi wa sanitary pad unayoitumia leo hii unapokuwa MP kama mfano mdogo tu wa kuonesha jinsi gani wanaume walivyo so much creative kiasi cha kubuni vitu ambavyo ni kwa ajili ya faida yenu nyie wanawake tangu enzi na enzi, Na wala sikuwa na maana nyingine zaidi ya hii. Ila sasa angalia wewe ulivyoipokea hata mtoto mdogo akiona ulivyo respond hapa atakushangaa sana.
Pengine nilitegemea labda katika ku-counter hii argument yangu uniambie na wewe tangu mpate huo ukombozi wenu na nyie wanawake mmegundua hiki na hiki na kile ambacho ni kwa ajili ya faida ya mwanaume hili kuonesha kwamba kweli hata nyie mnaweza kufanya mambo makubwa mkipewa ulingo sawa na wanaume . Sasa wewe unaanza kuleta sijui masuala ya bleeding ni wapi nimeongelea bleeding mimi?
Yaani tangu mwanzo una bwabwaja tu na kuji contradict mwenyewe badala ya kujibu hoja.
Umesema sasa hivi nyie tayari hamko tena kwenye mfumo kandamizi uliokuwa unawanyima fursa za kufanya mambo makubwa hasa kwenye academic arena, haya sasa hivi nyie mna access sawa na wanaume kwenye huduma zote ikiwemo elimu.
Nimekuuliza kwanini bado taaluma nyingi za kisayansi ziko dominated na wanaume na hatuna hiyo 50/50, wewe unajibu eti tangu mpate huo ukombozi hamjafikisha hata miaka 100 wakati hapo mwanzo umesema kwamba hamko tena kwenye ukandamizi, sasa hapa niikueleweje?
Nakuulize tena kwanini ukiingia kwenye darasa la PCB kwenye shule yoyote ile mchanganyiko lazima utakuwa wanafunzi wa kiume ndio wwngi kuliko wakike!? Je hii nayo tusubiri baada ya miaka 100 ndio tuliulize?
Unakubali kuwa men are intellectually superior than women??