Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Unaona unavyokua mbishi??
Kwani hapa Karma si ameelezea kuwa jinsia zote zinatenda dhambi hvyo zina makosa kiusawa na zitaadhibiwa kiusawa??
Ina tofauti gan na gender equality ??
Au hufaham maana ya gender equality mkuu??%
Gender equality ni pana mkuu. Kinachodiskasiwa hapa ni upande dhambi pekee. Jikite hapo na uache ubishi
 
Unaona unavyokua mbishi??
Kwani hapa Karma si ameelezea kuwa jinsia zote zinatenda dhambi hvyo zina makosa kiusawa na zitaadhibiwa kiusawa??
Ina tofauti gan na gender equality ??
Au hufaham maana ya gender equality mkuu??%
Actually mada yangu inasema wanaume muache kushupalia maovu ya wanawake kama ambavyo wanawake tumeacha kushupalia maovu ya wanaume haya mengine yamekuja baada ya watu kubishana sana na kukosa hoja tu
 
Mkuu Persia ni Iran tu na haijumuishi hayo mataifa mengine hayo mataifa kuwepo kwenye Persian Gulf siyo kwamba raia wake ni wapersia hapana mbona Asia kwa Kiswahili linaitwa Bara la Hindi je ina maana nchi zote zilizo Asia raia wake ni wahindi na wakati tunajua kuwa wahindi wanapatikana India na baadhi Pakistan ambapo ndiyo umenidanganya kuwa kuna wapersia??

Halafu hapo uliposema kwamba bongo HAKUNA wanawake mabikira huo ni uongo wa kiwango cha SGR mkuu wewe kupata hao wanawake siyo kigezo cha kusema kuwa wanawake wa Asia wanajitunza kuliko wanawake wa bongo na kwamba eti bongo wanawake wote siyo mabikira no research no right to speak sioni haja ya kujionesha kwamba nimesafiri sana lakini nikikutajia idadi ya nchi nilizoishi na nilizotembelea huko Asia hautaamini ila itoshe tu kusema kwamba I think I've got more exposure and knowledge than you when it comes to these issues na ninarudia tena usilolijua ni sawa na usiku wa giza!!
Duh aisee unatoka nje ya mada na hukuelewa nn nazungumzia bado.
Hv unajua persian gulf inajumuisha mataifa mangapi??
Hata Afghanistan,Pakistan na Turkmenistan ni wapersi.
Wewe unawazungumzia wapersi wa iran na iraq tu.
Hujaona wapersi wengine pia???
Halafu mm sijasema kuwa ya mbele muhimu ya nyuma shauri yake.
Hukunielewa.Nilichomaanisha mataifa ya asia wanawake wanatunzika yani unaweza muoa mwanamke hamjui mwanaume hatta kidogo aisee.Mimi nimeopoa jiko limekaa kufungiwa ndan tu yani nimefanyiwa kuwekewa picha nichague nayemtaka na hao hawamjui mwanaume wala nn.
Je utaweza kupata hao Bongo???
Kuhusu Saudia haukuizuru ile nchi fanya uende uone watu walivyo wakabi.
Hao wanaofanyiwa ulawiti wengi wao ni wale ambao wameolewa Halafu wame zao wakawataka huo ushenzi ama wengine ni wale kunguru wasiofugika ili kuziba ya mbele anatoa nyuma na vipimo vipo kugundua hiyo michezo kwahyo sikuuziwa mbuzi ktk gunia maana mm mwenyewe daktari.

Kuhusu suala la kuuana ama kuchinjana ktk hayo mataifa unahama mada kabbisa.Unaingia ktk geopolitical issues.
Maana hujui kwann wanachinjana wala hujui sababisho ni nini.
Na nikisema nizame huko nitatoka nje ya mada.
 
Mkuu Persia ni Iran tu na haijumuishi hayo mataifa mengine hayo mataifa kuwepo kwenye Persian Gulf siyo kwamba raia wake ni wapersia hapana mbona Asia kwa Kiswahili linaitwa Bara la Hindi je ina maana nchi zote zilizo Asia raia wake ni wahindi na wakati tunajua kuwa wahindi wanapatikana India na baadhi Pakistan ambapo ndiyo umenidanganya kuwa kuna wapersia??

Halafu hapo uliposema kwamba bongo HAKUNA wanawake mabikira huo ni uongo wa kiwango cha SGR mkuu wewe kupata hao wanawake siyo kigezo cha kusema kuwa wanawake wa Asia wanajitunza kuliko wanawake wa bongo na kwamba eti bongo wanawake wote siyo mabikira no research no right to speak sioni haja ya kujionesha kwamba nimesafiri sana lakini nikikutajia idadi ya nchi nilizoishi na nilizotembelea huko Asia hautaamini ila itoshe tu kusema kwamba I think I've got more exposure and knowledge than you when it comes to these issues na ninarudia tena usilolijua ni sawa na usiku wa giza!!
Mkuu unataka nikufunze geography sasa.
Persia inajumuisha Iran,Iraq,Pakistan na Afghanistan na Turkemistan inaingia.
Fuatilia hata matini ya lugha ya hayo mataifa uone km hayafanani.
Bara hindi wala sio Asia umekosea pakubwa kabbisa tena sana.
Neno bara hindi limetokana na sehem mbili;Ukubwa wa india mpk nusu ya ramani yake kuingia ktk bahari kukaifanya India iitwe india sub continent na mataifa mengi jumuishi ya India kama India yenyewe,Uzbekistan,Tajikistan,Sri Lanka na kuifanya hzo sehem kuitwa bara hindi.
Lakini sio km Asia ndio inajulikana ndio bara hindi.Maana kuna bara arab pia utasemaje??Asia bara arab ama bara hindi???
Pakistan sio kisa Kashmir imepakana na India ukasema Pakistan wahindi umefeli bi dada.
Lugha zao zinaingiliana kwa kiasi flan watu wa Pakistan na India waliopakana hayo maeneo ya kashmir.
Lakini asilimia kubwa takriban 85 ya pakistan ni wapersi iliyobaki ndio ya wahindi.
Ebu nenda katizame lugha watumiayo Iran,Iraq na Pakistan ni lugha ambayo maandishi yake km ya Kiarabu lakn ni lugha ya kihajem.
Lastly kamuite Mpakistan muhindi uone kichapo kitachofuata na kaiangalie Persian gulf kiumakini.

Dada hukunielewa nn nazungumzia kama kawaida yako unasoma pasi na kuzingatia ulichosoma.Sitaki kuweka hapa wapi nimetembea wapi sijatembea.
Haitamnufaisha mtu.
Ila mm nilichosema ni kwamba kumpata bikra Tz ni uache kaz ufanye kazi acha ubishi.
Tofauti na nchi km suudia tulipoenda kufanya umrah.
Kule watoto wanachungwa vilivyo ndio maana ukitaka sealed ni rahisi kuliko huku Tz.
Tz watoto wanachezewa sana kumpata bikra ufanye kaz uache kazi.
Siongei tu kwa kukurupuka mama.
Naongea na vivid proof kwa research zangu.
Mfano mzuri fanya tafiti hapa hapa Tz.
Nenda shule ya kayumba katongoze mwajuma,mwantumu,shamila,mwasiti na maisala hutakuta bikra hata mmoja hapo labda ktk hilo darasa utapata 10 kwa wanafunzi 60.
Halafu nenda Yemen school ama Almuntazir tongoza Samaah,Samiya,Antisha,Alliyah,Narman,Nawal,Talha,Sally n.k n.k mabikra utawakuta wengi na wasio bikra wachache.
Nimewahi fanya hvyo ujanani mwangu na kuligundua hilo kuwa sisi wabongo hatutunzi watoto wetu ipasavyo.
Sijui utakua umenielewa nini namaanisha?????
Ndio maana nikakwambia pia suala la kupenda michezo ya nyuma lipo kwa waarabu lakin hiyo inatokana na mambo mawili;
Kwa asilimia kubwa wengi wao hufanyiwa hizo mambo wakiwa na wame zao kwa kushawishiwa na sababu nyingine wengine huwa ktk kipindi cha baleghe ili kulinda ubikra hutoa nyuma na kutunza mbele.
Asa vipimo vipo unapima tu ili usiuziwe mbuzi ktk gunia.
Asa sijui utakua umenielewa nachomaanisha???
 
Sasa mbona mwishoni umerudi pale pale kwamba wanatoa nyuma ili watunze bikira za mbele?? Na hiyo ndiyo key point kwamba wanawake wengi wa kiarabu wanakuwaga na bikira za mbele ila za nyuma zimetolewa

Na hapa sijawaongelea wale walioolewa na wanafanyiwa na waume zao hao ndiyo usiwaguse kabisa maana wako wengi ila mimi hapa naongelea hao hao mabinti wanaosoma na wasioolewa wanatoa nyuma ili watunze mbele kwahiyo kumbe kujitunza ni kutunza bikira ya mbele tu??

Tukirudi kwenye hiyo aya yako ya kwanza my friend let me just say WOW maana hadi nimeishiwa nguvu kwa sababu ya hiyo 'geography' yako hasa uliposema kwamba Asia linaitwa bara la Arab hapa mimi sina tena la kuongeza ila naomba nikutumie hizi screenshots kutoka google labda zitakusaidia kujua vizuri

Daah hebu naomba usome kwenye hizo picha na ujione jinsia gani ulivyo muongo hiyo picha ya kwanza nimegoogle neno persia ikaniletea iran na hiyo picha ya pili nimegoogle what countries are in the persian gulf ikaniletea nchi za kiarabu saba ambazo nyingi ni tofauti kabisa na hizo ulizonitajia wewe yaani hizo afghanistan, pakistan, uzbekistan na tajikistan sijui turkmenistan hazipo kwenye persian gulf mkuu
Screenshot_20190917-225523.jpeg
Screenshot_20190917-225548.jpeg
 
Sasa mbona mwishoni umerudi pale pale kwamba wanatoa nyuma ili watunze bikira za mbele?? Na hiyo ndiyo key point kwamba wanawake wengi wa kiarabu wanakuwaga na bikira za mbele ila za nyuma zimetolewa

Na hapa sijawaongelea wale walioolewa na wanafanyiwa na waume zao hao ndiyo usiwaguse kabisa maana wako wengi ila mimi hapa naongelea hao hao mabinti wanaosoma na wasioolewa wanatoa nyuma ili watunze mbele kwahiyo kumbe kujitunza ni kutunza bikira ya mbele tu??

Tukirudi kwenye hiyo aya yako ya kwanza my friend let me just say WOW maana hadi nimeishiwa nguvu kwa sababu ya hiyo 'geography' yako hasa uliposema kwamba Asia linaitwa bara la Arab hapa mimi sina tena la kuongeza ila naomba nikutumie hizi screenshots kutoka google labda zitakusaidia kujua vizuri

Daah hebu naomba usome kwenye hizo picha na ujione jinsia gani ulivyo muongo hiyo picha ya kwanza nimegoogle neno persia ikaniletea iran na hiyo picha ya pili nimegoogle what countries are in the persian gulf ikaniletea nchi za kiarabu saba ambazo nyingi ni tofauti kabisa na hizo ulizonitajia wewe yaani hizo afghanistan, pakistan, uzbekistan na tajikistan sijui turkmenistan hazipo kwenye persian gulf mkuuView attachment 1210160View attachment 1210161
Una uhakika kama Google walioweka humo wako sahihi ?
 
Unajua karma kuna kusoma na kuelewa.
Ebu soma na uelewe rafiki yangu.
Nimekuambia wapo ambao.
Unaelewa neno la wapo ambao???
Nimesema wapo ambao wanatunza mbele na wanatoa nyuma.Na wapo wanaojitunza wasomjua mwanaume tena sana tuuu.
Hii iishie hapa maana hata Tz huu mtindo upo.
Hii kitu iishe hapa maana huelewi nn nalenga.

Kuhusu suala la Asia.
Nimekwambia Asia maana yake sio bara hindi.
Na nikakwambia kuwa humo humo asia kuna bara arab.Maanake asia ndan yake kuna bara arab.Ukisema Asia inaitwa bara hindi bara arab litakaa wapi????
Sijui umenielewa????

Halafu ukitaja kujua karma unasoma hukizingatii ulichokisoma ramani uliyoleta imeshikamana na mataifa matatu hapo pamoja na iran.kuna Iran hapo Pakistan,Afghanistan na Turkimenistan.Na nilikutajia hizi nchi kuwa ni za upersi na wala hukuwa unanisikiza.Asa hapa si utakuwa umejiumbua mwenyewe????
Kwann hiyo bendera ya upersi iwepo pamoja na mataifa ya Afghanistan,Pakistan na Turkimenistan ikiambatana na Iran???
Ebu tizama hiyo ramani ya juu ya kwanza vema.
Halafu hiyo ramani ya chini inazungumzia countries along the coast of persian gulf sio countries of persian gulf ama persian countries dada.
Yani unaleta evidence ya kujiumbua mwenyewe dada angu.Ramani ya kwanza ishakuumbua mwenyewe dada kwa kukuletea kuwa Tajikistan,Afghanistan na Pakistan ni nchi za upersi kwa kuambatanishwa na Iran.
Ramani ya pili umeleta countries along persian gulf coast umetoka nje ya mada.

SOMA CHINI KUTOKA WIKIPEDIA UWAFAHAM PERSIANS NI KINA NANI;

The ancient Persians were originally an ancient Iranian people who migrated to the region of Persis , corresponding to the modern province of Fars in southwestern Iran, by the ninth century BC. [7][8] Together with their compatriot allies, they established and ruled some of the world's most powerful empires, [9][8] well-recognized for their massive cultural, political, and social influence covering much of the territory and population of the ancient world. [10][11][12] Throughout history, Persians have contributed greatly to
art and science. [13][14][15] Persian literature is one of the world's most prominent literary traditions. [16]
In contemporary terminology, people of Persian heritage native specifically to present-day Afghanistan, Tajikistan, and Uzbekistan are referred to as Tajiks , whereas those in the Caucasus (primarily in the present-day Republic of Azerbaijan and the Russian federal subject of Dagestan ), albeit heavily assimilated, are referred to as Tats . [17][18] However, historically, the terms Tajik and Tat were used as synonymous and interchangeable with Persian. [17] Many influential Persian figures hailed from outside Iran's present-day borders to the northeast in Central Asia and Afghanistan and to a lesser extent to the northwest in the Caucasus proper. [19][20] In historical contexts, especially in English, "Persians" may be defined more loosely to cover all subjects of the ancient Persian polities, regardless of ethnic background.
Ethnonym
Etymology
See also: Perseus
The term Persian, meaning "from Persia",
Niliwahi kuwa mwalimu wa kukodiwa usipoelewa nitakufahamisha Dada angu mpendwa Karma.
 
Hata mimi nimemaanisha hao wanawake wanaotoa nyuma na kutunza mbele wako wengi na siyo wote na wapo kwenye kila nchi na vile vile mabikira wanaojitunza hadi ndoa wapo kwenye kila nchi hapa duniani unachotakiwa kuelewa ni kwamba hakuna tabia ambayo ipo common kwa watu wote wa jinsia fulani au jamii fulani na nimekwambia kwamba in every general rule there is always an exception!!

Sasa mkuu hapo kwenye aya ya pili naona unanifanyia makusudi kabisa sasa hapo kati ya mimi na wewe nani mgumu kuelewa?? Hivi kweli badala ya kusoma maelezo umeenda kuangalia ramani kweli?? Kwahiyo wewe hapo kwa sababu umeona kwenye ramani hizo nchi ulizozitaja zimewekwa basi maana yake ndiyo zipo kwenye persian gulf?? Mbona naona pia nchi kama Turkey na Egypt kwahiyo nazo zipo kwenye persian gulf kwa sababu zimewekwa kwenye hiyo ramani siyo?? Daah kweli kazi ipo!!
 
Sasa kama huyo hadi ameuliza hivyo maana yake ni ukweli ila tu anabisha kwa sababu hawaamini wanaoweka hizo data kule google
Kuna mahali dada yetu ka copy na paste pasi na kupatizama na kupaelewa ilhali anapinga anachokikubali.
 
Hahahahahhah dada Mbona Unanichekesha ?????
Ramani ulizoleta kuna ya juu ile iloonesha mataifa manne yenye asili ya uhajemi ambayo yameshikanishwa pamoja Iran,Afghanistan,Pakistan na Turkmenistan.
Turkey na Egypt zimetenganishwa pemben km umeona vema.Inamaana Turkimenistan,Iran,Pakistan na Afghanistan ni persian nations.Lakin Egypt na Turkey zipo maeneo ama ukanda wa Persian gulf coasts.
Raman ya pili na maelezo ukaleta nchi zilizopo maeneo ya coast of persian gulf sijui unaelewa ulichokileta?????
Ama umesahau namna ya map interpretation mkuu???
Umejikanganya mwenyewe katizame vema.
Ila natumai article nilokupa imekuelewesha.
Persian gulf ni ghuba ya uhajemi iliyozungukwa kwa kiasi kikubwa na mataifa ya kihajemi na Mataifa ya arab kwenye Mediterranean sea.
Katika ghuba ya uhajemi kuna mataifa ya kihajemi yanayounda hiyo ghuba na kuna mataifa ya arab yaliyopakana na hiyo ghuba.Sijui umenielewa dada angu mpendwa???

Back
Top Bottom