Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
- Thread starter
- #1,301
Kumbuka hata pale Eden Evah ndiye aliyemshawishi Adam kula tunda lakini Mungu aliwapa adhabu wote wawili kwanini?? Kwa sababu Adam alikuwa ana uwezo wa kulikataa lile tunda sasa hata ninyi msisingizie kwamba eti wanawake ndiyo wanaowashawishi wakati Mungu amewapa uwezo wa kukataa vishawishi!!Ahhahahahahha unanichekesha sana.
Kwa jinsi mnavyo behave ndivyo mnafanya uzinzi uendelee hapa duniani na ukithiri.
Ktk masuala haya mwanaume ni mdhaifu sana ktk kwa mwanamke.Na hata asilimia za uhemko kwa mwanaume ni kubwa kuzishinda za kike.Ndio maana ninyi mwatakiwa muwe mwajiheshimu ilimradi ukahaba upungue.
Chukulia mathalan mataifa kama Iran,kuna kujistiri kwingi na sheria kali zinazomzuia mwanamke kukaa kaa uchi hovyo na wanawake wanajiheshimu ndio maana hukuti ukahaba mwingi kama Tz.
Ila ninyi wapenda utandawazi wapenda ukaaji uchi ndio mnatutamanisha sisi.
Jiheshimuni Halafu muone km sisi tutawanyanyasa kingono.
Kwahiyo hapo wanaoshawishi na wanaoshawishiwa wakashawishika wote wana dhambi sawa kumbuka hata Shetani naye kaletwa na Mungu kutujaribu na watakaoshindwa watahukumiwa naye kwanini?? Kwa sababu alimleta shetani lakini alitupa uwezo wa kumshinda na hivyo kwenye hukumu mtu atakayesema eti Shetani ndiye aliyemshawishi kufanya dhambi hatasikilizwa na atahukumiwa!!