Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Ahhahahahahha unanichekesha sana.
Kwa jinsi mnavyo behave ndivyo mnafanya uzinzi uendelee hapa duniani na ukithiri.
Ktk masuala haya mwanaume ni mdhaifu sana ktk kwa mwanamke.Na hata asilimia za uhemko kwa mwanaume ni kubwa kuzishinda za kike.Ndio maana ninyi mwatakiwa muwe mwajiheshimu ilimradi ukahaba upungue.
Chukulia mathalan mataifa kama Iran,kuna kujistiri kwingi na sheria kali zinazomzuia mwanamke kukaa kaa uchi hovyo na wanawake wanajiheshimu ndio maana hukuti ukahaba mwingi kama Tz.
Ila ninyi wapenda utandawazi wapenda ukaaji uchi ndio mnatutamanisha sisi.
Jiheshimuni Halafu muone km sisi tutawanyanyasa kingono.
Kumbuka hata pale Eden Evah ndiye aliyemshawishi Adam kula tunda lakini Mungu aliwapa adhabu wote wawili kwanini?? Kwa sababu Adam alikuwa ana uwezo wa kulikataa lile tunda sasa hata ninyi msisingizie kwamba eti wanawake ndiyo wanaowashawishi wakati Mungu amewapa uwezo wa kukataa vishawishi!!

Kwahiyo hapo wanaoshawishi na wanaoshawishiwa wakashawishika wote wana dhambi sawa kumbuka hata Shetani naye kaletwa na Mungu kutujaribu na watakaoshindwa watahukumiwa naye kwanini?? Kwa sababu alimleta shetani lakini alitupa uwezo wa kumshinda na hivyo kwenye hukumu mtu atakayesema eti Shetani ndiye aliyemshawishi kufanya dhambi hatasikilizwa na atahukumiwa!!
 
Yaani Jokajeusi na Kosugi ni wabishi balaa ila siyo mbaya tuko hapa kuwaelewesha na kuwaambia ukweli
Mbishi gani wa jinsia ya kiume ambaye bado hajaelewa na kukubaliana na OP?
Nimekunywa chai nimeshiba nina nguvu ya kumwelewesha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Yaani hata mimi nashangaa wameingiaje kwenye 50/50 wakati kichwa cha mada tu kinajieleza hata kama mtu atakuwa hajasoma uzi
Nami nimejibu kutokana na comment ya niliyemquote. Hakuna niliposema tumewazidi bali nasema hivi kwenye upande wa kazi hakuna mnaloweza ambalo mwanamke anashindwa ukiacha kazi ambazo hutumia mabavu, Ni kwasababu hatujaumbwa na mabavu.
Hayo mabavu yenu ndo yamewafanya mjione miungu yatu kubagua dhambi, kuona hii ni sawa kwa mwanaume lkn kwa mwanamke si sawa.
Nadhani mada inaelezea kujihalalishia dhambi hayo mengine ya 50/50 ni mada nyingine.
 
Hakuna mke asiyetaka kuwa chini ya mume wake ila mume kuwa juu ya mke wake haimaanishi kwamba ndiyo afanye maovu anavyojisikia na asitegemee kurekebishwa na hicho ndicho kiini cha mada huko kwingine mmelazimisha kufika ila mpate pa kubishania tu
Ukiambiwa wewe ni kilaza sidhani kama utapinga.

Hujui kuwa Utawala unangazi zake.

Ipo ngazi ya Kiulimwengu.
Ipo ngazi ya kidunia
Ipo ngazi ya kibara.
Ngazi ya Kitaifa
Ngazi ya kikanda
ngazi ya Kimkoa, kiwilaya mpaka ngazi ya familia.

Bado hujui kuhusu maana ya utawala ndio maana umekurupuka.

Wewe utakuwa mtawala kwa watoto wako na Wanyama utakaokuwa unawafuga.

Utakuwa chini ya mume wako mpaka unaingia kuzimu.

Najua naongea na Mtu asiye na akili kubwa lakini yanipasa kuwa mvumilivu kukufunza.
 
Mtu kubishana na Mke wake ni kawaida.

Wewe ni kama mke wangu. Hapa tutabishana mpaka kesho. Tukichoka tukalale.
Hapana kwa kweli siwezi kubishana na mume wangu kiasi hiki kwa sababu yeye kwanza ni muelewa na pili hanaga muda wa kuhangaika na maovu ya wanawake wengine wakati yeye tayari ana mke

Ni wazi kwamba ninyi wanaume mnaohangaika na maovu ya wanawake ndiyo mnatafuta wanawake wa kuwaoa sasa mnaona wanawake wengi wameharibika mnataka kuwarekebisha ili mpate wake wa kuwaoa hahahaha oeni hivyo hivyo tu hakuna namna ninyi si hamtaki kubadilika kwa sababu ni watawala bwana basi endeleeni
 
Kumbuka hata pale Eden Evah ndiye aliyemshawishi Adam kula tunda lakini Mungu aliwapa adhabu wote wawili kwanini?? Kwa sababu Adam alikuwa ana uwezo wa kulikataa lile tunda sasa hata ninyi msisingizie kwamba eti wanawake ndiyo wanaowashawishi wakati Mungu amewapa uwezo wa kukataa vishawishi!!

Kwahiyo hapo wanaoshawishi na wanaoshawishiwa wakashawishika wote wana dhambi sawa kumbuka hata Shetani naye kaletwa na Mungu kutujaribu na watakaoshindwa watahukumiwa naye kwanini?? Kwa sababu alimleta shetani lakini alitupa uwezo wa kumshinda na hivyo kwenye hukumu mtu atakayesema eti Shetani ndiye aliyemshawishi kufanya dhambi hatasikilizwa na atahukumiwa!!
We mwanamke mbishi dyuuuuuuh!!!!!!!!!
Yan sijui wapi unashindwa kunimanya!!??
Sijakataa km wote tunastahili kuyaepuka kwa namna zetu tofauti tofauti.
Na Sijakataa km wote tutaadhibiwa kwa hayo makosa.
Ila km utakua muislam Muhammad alivyoenda israa alikuta wanawake wengi wanateketea motoni.
Aliuliza na akajibiwa na malaika kuwa "hawa ndiyo wale wakaaji uchi sana na wapambizi wa zinaa".
Hvyo ndio ujue kwamba wanawake mnachangia kwa kiasi kikubwa ulioyataja ww yan ninyi ni km marafiki wa shetani aisee.
Mkibadilika jamii itasalimika kiujumla japokua nasi tunatakiwa tubadilike lakn kila jinsia icheze nafasi yake.
Jiheshimuni nasi tutajichunga na kujiheshimu kwenu kutaleta motisha ya sisi pia kuacha tunayowafanyia huku tukiwakandamiza pia.
Sijui umenielewa hapo dada angu??
 
Hapana kwa kweli siwezi kubishana na mume wangu kiasi hiki kwa sababu yeye kwanza ni muelewa na pili hanaga muda wa kuhangaika na maovu ya wanawake wengine wakati yeye tayari ana mke
Ni wazi kwamba ninyi wanaume mnaohangaika na maovu ya wanawake ndiyo mnatafuta wanawake wa kuwaoa sasa mnaona wanawake wengi wameharibika mnataka kuwarekebisha ili mpate wake wa kuwaoa hahahaha oeni hivyo hivyo tu hakuna namna ninyi si hamtaki kubadilika kwa sababu ni watawala bwana basi endeleeni

Hata mimi sina muda wa kuhangaika na maovu ya wanawake zaidi ya humu mtandaoni.

Nilikuja PM nikakupa mawasiliano naona ukaja kunianika humu. Yote ya yote sikulaumu wala siingilii uhuru wako.
 
Hakuna mke asiyetaka kuwa chini ya mume wake ila mume kuwa juu ya mke wake haimaanishi kwamba ndiyo afanye maovu anavyojisikia na asitegemee kurekebishwa na hicho ndicho kiini cha mada huko kwingine mmelazimisha kufika ila mpate pa kubishania tu

Labda nikuambie tuu.

Mimi kamwe siwezi Mnyanyasa mwanamke wala kumbagua. Nitampa haki yake kulingana na kile anachostahili.

Sisemi mimi ni mtu mwema lakini hakika najiona ninaafadhali kubwa katika kuwatreat wanawake wanaonizunguka.

Khantwe njoo huku umuelezee Marianah nikoje.
 
Hapana kwa kweli siwezi kubishana na mume wangu kiasi hiki kwa sababu yeye kwanza ni muelewa na pili hanaga muda wa kuhangaika na maovu ya wanawake wengine wakati yeye tayari ana mke

Ni wazi kwamba ninyi wanaume mnaohangaika na maovu ya wanawake ndiyo mnatafuta wanawake wa kuwaoa sasa mnaona wanawake wengi wameharibika mnataka kuwarekebisha ili mpate wake wa kuwaoa hahahaha oeni hivyo hivyo tu hakuna namna ninyi si hamtaki kubadilika kwa sababu ni watawala bwana basi endeleeni
Karma ebu andamaneni kifikra mjiheshimu,mujitunze,mujihifadhi na mujielewe uone km sisi hatutawaheshimu na kutengeneza kizazi bora nanyi.
Ndio maana Africa kumtafuta bikra ngumu kwann Asia iwe rahisi???
Kwann Asia hawahagaiki na maovu ya wanawake wakitaka kuoa mara moja wanaoa km mm mama watoto mara moja nimempata akiwa sealed kafungashwa???
Ni kwasababu wanawake wa kiafrica mnapenda kuiga umagharibi ama utandawazi kiasi hufanya ninyi musiwe bora kama mnavyotakiwa kuwa bora.Nasi sasa mwishowe tunaenda na mwendo huo huo mlo nao ninyi wa mpute mpute.Mwishowe mnaharibikiwa hata wa kuoa hatupati tena hii ni kwasababu vyanzo ni ninyi.Ndio maana mwanaume wa Africa anasema aah dem wa kiafrica au wa kibongo hela yako tu unamfanya utakacho unasepa.
Yani hata tukiwaoa hatujiamini amini.
Asa kwa mtazamo huu nani kajitakia sisi ama ninyi???
 
Khaa hivi umelielewa swali langu kweli?? Mbona kama unajifanya umejifyatua akili?? Kuhusu swali lako niseme tu wanaume wengi ni wapumbavu hivi kwani DNA hamna??

Yaani ujue ndiyo nimeamini kwamba wanaume wengi mnapenda kulalamikia tu kila kitu sasa kwanini watoto wenu wanapozaliwa msiende kupima nao DNA kimya kimya mkajua kama hao watoto ni wenu au si wenu??
Acha kupaka Upepo rangi nyau ww
 
Sasa kati ya mimi na wewe ni nani anayetakiwa kwenda kusoma maandiko??

Hebu wewe unayeyajua maandiko niletee andiko lililoruhusu wanaume kutenda dhambi!!
Maandiko haya ruhusu mtu yoyote kutenda dhambi maana unavyo kusema maandiko yameruhusu mtu mume kutenda dhambi kwana naona huelewi unacho zungumzia apa...kwani yemeruhusu mtu mke kutenda dhambi? mbona mnatenda? achana na iyo pumba yako kabisa

Unaonekana hujaelewa point yangu ya maandiko na ishu za Wanawake

Mimi sijasema maandiko yamemruhusu mtu kutenda dhambi
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Ukiambiwa wewe ni kilaza sidhani kama utapinga.

Hujui kuwa Utawala unangazi zake.

Ipo ngazi ya Kiulimwengu.
Ipo ngazi ya kidunia
Ipo ngazi ya kibara.
Ngazi ya Kitaifa
Ngazi ya kikanda
ngazi ya Kimkoa, kiwilaya mpaka ngazi ya familia.

Bado hujui kuhusu maana ya utawala ndio maana umekurupuka.

Wewe utakuwa mtawala kwa watoto wako na Wanyama utakaokuwa unawafuga.

Utakuwa chini ya mume wako mpaka unaingia kuzimu.

Najua naongea na Mtu asiye na akili kubwa lakini yanipasa kuwa mvumilivu kukufunza.
Kilaza mwenyewe, pumba tu umeandika hapo
 
Yaani hata mimi nashangaa wameingiaje kwenye 50/50 wakati kichwa cha mada tu kinajieleza hata kama mtu atakuwa hajasoma uzi
Halafu wanawake mna nature ya kutokukubali ukosevu wenu.
Kuhusu masuala ya 50/50 alianzisha CARIHA mara hii mnatutupia sisi hapa.
Ebu kasome posts za cariha utaona yeye ndiye aliyeanza kuipeleka mada nje nasi tukamchabanga huko huko.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Duh,ila dada ww ni mbishi wa asili na hupendi kukubali ukweli dyuuuuuuh !!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mi hata sio mbishi napenda kujibizana kwa hoja tatizo mmeingiza mambo ambayo hata hayapo kwenye mada, mihemko imezidi weledi wa kutoa hoja
 
Back
Top Bottom