Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Kwahiyo Mungu aliweka hiyo tofauti hadi kwenye dhambi siyo??
wanawake mnakosea mnapotaka kujiweka level moja na mwanaume. Kama mwenyezi mungu aliweka tofauti hiyo wewe ni nani wa kushindana na ukweli huo.
 
Wapo nyoro nyorooo
Acheni kujipa moyo ninyi.
Tuanzeni kuchambua sekta moja moja tuone wapi mnatuzidi blaa bla blaa za kidracular hazina maana.
Leteni takwimu tuzichambue.
Hao wanaume mlowazidi sijui kina nan.
 
Ndo uone kuwa plan ya wanaume kukandamiza wanawake tangu mwanzo. Umteketeze kahaba kwa Moto kwani huo ukahaba kafanya na nani Kama sio mwanaume?
Nani chanzo cha huo ukahaba???
Ukijiheshimu na kuficha tupu yako nani atakayekufata na kukuzini???
 
Acheni kujipa moyo ninyi.
Tuanzeni kuchambua sekta moja moja tuone wapi mnatuzidi blaa bla blaa za kidracular hazina maana.
Leteni takwimu tuzichambue.
Hao wanaume mlowazidi sijui kina nan.
Umesoma mada lakini?
 
Nani chanzo cha huo ukahaba???
Ukijiheshimu na kuficha tupu yako nani atakayekufata na kukuzini???
Sasa bila ukahaba huo uzinzi wenu mliojihakikishia mtaufanyaje? Kama mtu kaamua kuwa kahaba let her be.
Huwezi kutokomeza ukahaba kwenye dunia hii, hata wanaume wenye tabia za kikahaba wapo wamejaa tele
 
Umesoma mada lakini?
Nimeisoma vizuri mm nime qoute kwa mujibu wa point yako na cariha ya kusema wanawake mmetuzidi kwa sana.
Nimeilenga point yako na cariha ila mada nimeisoma.
According to you and cariha's point toeni vivid evidence kusapoti kauli yenu.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Sasa bila ukahaba huo uzinzi wenu mliojihakikishia mtaufanyaje? Kama mtu kaamua kuwa kahaba let her be.
Huwezi kutokomeza ukahaba kwenye dunia hii, hata wanaume wenye tabia za kikahaba wapo wamejaa tele
Ahhahahahahha unanichekesha sana.
Kwa jinsi mnavyo behave ndivyo mnafanya uzinzi uendelee hapa duniani na ukithiri.
Ktk masuala haya mwanaume ni mdhaifu sana ktk kwa mwanamke.Na hata asilimia za uhemko kwa mwanaume ni kubwa kuzishinda za kike.Ndio maana ninyi mwatakiwa muwe mwajiheshimu ilimradi ukahaba upungue.
Chukulia mathalan mataifa kama Iran,kuna kujistiri kwingi na sheria kali zinazomzuia mwanamke kukaa kaa uchi hovyo na wanawake wanajiheshimu ndio maana hukuti ukahaba mwingi kama Tz.
Ila ninyi wapenda utandawazi wapenda ukaaji uchi ndio mnatutamanisha sisi.
Jiheshimuni Halafu muone km sisi tutawanyanyasa kingono.
 
Mbishi gani wa jinsia ya kiume ambaye bado hajaelewa na kukubaliana na OP?
Nimekunywa chai nimeshiba nina nguvu ya kumwelewesha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nimeisoma vizuri mm nime qoute kwa mujibu wa point yako na cariha ya kusema wanawake mmetuzidi kwa sana.
Nimeilenga point yako na cariha ila mada nimeisoma.
According to you and cariha's point toeni vivid evidence kusapoti kauli yenu.
Nami nimejibu kutokana na comment ya niliyemquote. Hakuna niliposema tumewazidi bali nasema hivi kwenye upande wa kazi hakuna mnaloweza ambalo mwanamke anashindwa ukiacha kazi ambazo hutumia mabavu, Ni kwasababu hatujaumbwa na mabavu.
Hayo mabavu yenu ndo yamewafanya mjione miungu yatu kubagua dhambi, kuona hii ni sawa kwa mwanaume lkn kwa mwanamke si sawa.
Nadhani mada inaelezea kujihalalishia dhambi hayo mengine ya 50/50 ni mada nyingine.
 
Ahhahahahahha unanichekesha sana.
Kwa jinsi mnavyo behave ndivyo mnafanya uzinzi uendelee hapa duniani na ukithiri.
Ktk masuala haya mwanaume ni mdhaifu sana ktk kwa mwanamke.Na hata asilimia za uhemko kwa mwanaume ni kubwa kuzishinda za kike.Ndio maana ninyi mwatakiwa muwe mwajiheshimu ilimradi ukahaba upungue.
Chukulia mathalan mataifa kama Iran,kuna kujistiri kwingi na sheria kali zinazomzuia mwanamke kukaa kaa uchi hovyo na wanawake wanajiheshimu ndio maana hukuti ukahaba mwingi kama Tz.
Ila ninyi wapenda utandawazi wapenda ukaaji uchi ndio mnatutamanisha sisi.
Jiheshimuni Halafu muone km sisi tutawanyanyasa kingono.
Ukahaba hautapungua ndugu ndo kwanza unaongezeka, mikao ya uchi utazidi kuiona utajua mwenyewe uliyeumbwa dhaifu. Turudi kwenye mada
 
Hebu sasa acha kuzunguka twende direct maana naona unazuga nijibu hili swali kwahiyo wewe unasema Evah alipoumbwa tu kabla hajala tunda aliambiwa kwamba Adam ndiyo atamtawala si ndiyo??

Jibu ni ndio.
 
Nani umeweza kumuongoza utakavyo ndugu? Hapo unaongozwa na uncle magu jinsi apendavyo huna tofauti na unaowazungumzia

Ukiambiwa wewe ni kilaza sidhani kama utapinga.

Hujui kuwa Utawala unangazi zake.

Ipo ngazi ya Kiulimwengu.
Ipo ngazi ya kidunia
Ipo ngazi ya kibara.
Ngazi ya Kitaifa
Ngazi ya kikanda
ngazi ya Kimkoa, kiwilaya mpaka ngazi ya familia.

Bado hujui kuhusu maana ya utawala ndio maana umekurupuka.

Wewe utakuwa mtawala kwa watoto wako na Wanyama utakaokuwa unawafuga.

Utakuwa chini ya mume wako mpaka unaingia kuzimu.

Najua naongea na Mtu asiye na akili kubwa lakini yanipasa kuwa mvumilivu kukufunza.
 
Back
Top Bottom