Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Level ipi? Mada haizungumzii levelswanawake mnakosea mnapotaka kujiweka level moja na mwanaume. Kama mwenyezi mungu aliweka tofauti hiyo wewe ni nani wa kushindana na ukweli huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Level ipi? Mada haizungumzii levelswanawake mnakosea mnapotaka kujiweka level moja na mwanaume. Kama mwenyezi mungu aliweka tofauti hiyo wewe ni nani wa kushindana na ukweli huo.
Acheni kujipa moyo ninyi.Wapo nyoro nyorooo
Nani chanzo cha huo ukahaba???Ndo uone kuwa plan ya wanaume kukandamiza wanawake tangu mwanzo. Umteketeze kahaba kwa Moto kwani huo ukahaba kafanya na nani Kama sio mwanaume?
Umesoma mada lakini?Acheni kujipa moyo ninyi.
Tuanzeni kuchambua sekta moja moja tuone wapi mnatuzidi blaa bla blaa za kidracular hazina maana.
Leteni takwimu tuzichambue.
Hao wanaume mlowazidi sijui kina nan.
Poor fact siasa na gender superiority and inferiority ni vitu viwili tofauti.Nani umeweza kumuongoza utakavyo ndugu? Hapo unaongozwa na uncle magu jinsi apendavyo huna tofauti na unaowazungumzia
Sasa bila ukahaba huo uzinzi wenu mliojihakikishia mtaufanyaje? Kama mtu kaamua kuwa kahaba let her be.Nani chanzo cha huo ukahaba???
Ukijiheshimu na kuficha tupu yako nani atakayekufata na kukuzini???
Nahisi hata wewe upo nje ya mada.Poor fact siasa na gender superiority and inferiority ni vitu viwili tofauti.
Nimeisoma vizuri mm nime qoute kwa mujibu wa point yako na cariha ya kusema wanawake mmetuzidi kwa sana.Umesoma mada lakini?
Ahhahahahahha unanichekesha sana.Sasa bila ukahaba huo uzinzi wenu mliojihakikishia mtaufanyaje? Kama mtu kaamua kuwa kahaba let her be.
Huwezi kutokomeza ukahaba kwenye dunia hii, hata wanaume wenye tabia za kikahaba wapo wamejaa tele
Mh KWAHERI hata point hukuielewa.Nahisi hata wewe upo nje ya mada.
Nami nimejibu kutokana na comment ya niliyemquote. Hakuna niliposema tumewazidi bali nasema hivi kwenye upande wa kazi hakuna mnaloweza ambalo mwanamke anashindwa ukiacha kazi ambazo hutumia mabavu, Ni kwasababu hatujaumbwa na mabavu.Nimeisoma vizuri mm nime qoute kwa mujibu wa point yako na cariha ya kusema wanawake mmetuzidi kwa sana.
Nimeilenga point yako na cariha ila mada nimeisoma.
According to you and cariha's point toeni vivid evidence kusapoti kauli yenu.
Ukahaba hautapungua ndugu ndo kwanza unaongezeka, mikao ya uchi utazidi kuiona utajua mwenyewe uliyeumbwa dhaifu. Turudi kwenye madaAhhahahahahha unanichekesha sana.
Kwa jinsi mnavyo behave ndivyo mnafanya uzinzi uendelee hapa duniani na ukithiri.
Ktk masuala haya mwanaume ni mdhaifu sana ktk kwa mwanamke.Na hata asilimia za uhemko kwa mwanaume ni kubwa kuzishinda za kike.Ndio maana ninyi mwatakiwa muwe mwajiheshimu ilimradi ukahaba upungue.
Chukulia mathalan mataifa kama Iran,kuna kujistiri kwingi na sheria kali zinazomzuia mwanamke kukaa kaa uchi hovyo na wanawake wanajiheshimu ndio maana hukuti ukahaba mwingi kama Tz.
Ila ninyi wapenda utandawazi wapenda ukaaji uchi ndio mnatutamanisha sisi.
Jiheshimuni Halafu muone km sisi tutawanyanyasa kingono.
Unachanganya mambo. Haya nendaMh KWAHERI hata point hukuielewa.
Hebu sasa acha kuzunguka twende direct maana naona unazuga nijibu hili swali kwahiyo wewe unasema Evah alipoumbwa tu kabla hajala tunda aliambiwa kwamba Adam ndiyo atamtawala si ndiyo??
Nani umeweza kumuongoza utakavyo ndugu? Hapo unaongozwa na uncle magu jinsi apendavyo huna tofauti na unaowazungumzia
Subiri aje Lizarazu...chai yako yote itapukutika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbishi gani wa jinsia ya kiume ambaye bado hajaelewa na kukubaliana na OP?
Nimekunywa chai nimeshiba nina nguvu ya kumwelewesha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Na vile Jana hajaja kwenye huu Uzi[emoji28][emoji28][emoji28]atakuwa anakusanya material.Subiri aje Lizarazu...chai yako yote itapukutika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]