Pole sana dada, ila daima huwezi kufanana na mwanaume. Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanaume na mwanamke kihisia na kifikra.
Umegusia zaidi mahusiano wacha nikujibu kwa mlengo huo pia;
1. Wanawake wanaochepuka wanaendana na Wanaume wanaochepuka
Hii sio sawa kabisa, mwanaume atachepuka na atahudumia familia kama kawaida, ni nadra sana kwa mwanamke kuchepuka na kuendelea na mumewe. Kama wewe ni mwana MMU basi utakua umeona shuhuda nyingi za wadau wakivunja mahusiano na wanawake waliohamisha mapenzi yao kwa michepuko.
3. Wanawake wanaojiuza wanaendana na Wanaume wanaowanunua
Kuendana kivipi hapo. Muuzaji ndie kaanza ndipo kaja mnunuzi na hapo utaona kua anaefanya ujuha ni anaeuza. Hebu fikiria mtu analala na zaidi ya watu 2 kwa siku utamfananisha na anaepita kwa mala moja tu. Tena huyo ni ajira yake kabisa jama jama unamfananishaje na mteja wa mala moja moja.
4. Wanawake wasagaji wanaendana na Wanaume mashoga
Hapa sijui kwasababu mashoga wanaonekana lakini wasagaji kuwagundua ni kazi wote mnaitana mpenzi na majina ka hayo.
6. Wanawake wanaopenda kutoka na mijibaba alias sugardaddies kwa ajili ya pesa wanaendana na Wanaume wanaopenda kutoka na mijimama alias sugarmummies kwa ajili ya pesa
Idadi haifanani mkuu wewe pia unaweza kua shahidi wa hili.
Na hili pia linadhihirisha jinsi wanaume walivyo juu ya wanawake. Wanawake wakishafika utu uzima sio rahisi kujihusisha na mahusiano tofauti na sisi hata vibahu vinashuulika. Ndio maana wanawake wengi wanapapatika huko, tofauti na wanaume na hao masuggar mamy unaowaongelea wengi wao hawajazidi 50 years, lakini kwa wanawake wengi wa hao mababa wamezidi 50 years.
7. Wanawake waliopo kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tu wanaendana na Wanaume waliopo kwenye mahusiano kwa sababu ya mbunye tu
Hawaendabi hata kidogo, mwanamke atataka pesa na penzi, ndivyo mlivyoumwa. Na sisi tunataka mbunye coz huna cha kutoa ukiacha mbunye utatoa nini sasa, labda uwe mke lakini kama ni mpenzi tu nasikitika kusema kua girls wengi hamna cha kuoffer zaidi ya mbunye.
8. Wanawake wanaopenda kuhudumiwa (kupewa pesa, kununuliwa vitu et al) na wapenzi wao wanaendana na Wanaume wanaopenda kulelewa (kupikiwa, kufuliwa et al) na wapenzi wao
Ni nature hiyo mkuu, mwanaume kumhudumia mwanamke na mwanamke kufanya izo kazi hapo ulizotaja. Ndio maana kwenye jamii zetu wanawake wanajua mambo ya mapishi kuliko wanaume, wanajua mambo ya usafi kuliko wanaume, ndivyo walivyoumbwa na izo hulka wala sio jambo la kustaabisha hilo.
10. Wanawake wanaowaacha wanaume waliowasomesha wanaendana na Wanaume wanaowaacha wanawake walioanza nao kwenye umasikini
Daah yaani hata hii umeona iko sawa kabisa.
Aliesomesha katumia gharama zake bila kusaidiana na aliesomeshwa na hizo gharama hawezi kurudishiwa ila huyo alieachwa na alieanza nae umaskini anaweza kudai haki zake na akapata huo usawa hapo umeuweka kihisia au ni kwa namna gani umeweka huo usawa.
Tusivilaumu vitabu vya dini kua vimeleta hizi mambo za mwanaume kua juu kimaamuzi. Hebu fikiria tu zamani huku kwetu kabla ya ujio wa hizi dini si kulikua na mila zetu ??, Kulikua na wafalme ambao kila leo tunawasoma vitabuni lakini katika hao ni nadra kukuta kua kulikua na mtawala/shujaa wa kipindi iko mwanamke.
Nawasilisha.