Jamani tatizo wanawake wengi kwenye uchumba wanakuhawapendi chakula cha usiku kama wanaume ila wakiolewa ndo wanadai kila siku....Wanaume wakishaoa ni wavivu sana kwenye mapenzi kuliko awali kabla hawajaoa.unakuta zamani kabla hajaingia kwenye ndoa dume lilikuwa linajituma mpaka mtoto wa kike anakolea,ila akiingia kwenye kiapo anakuwa mzito sana.hasa wanaume hawa waliooa wakishikwa hamu hakuna tena maandalizi kwa wenzi wao,huishia kuwaparamia kama vile wamehesabiwa muda wa mechi.nimejaribu kuwauliza wanawake kadhaa walioolewa na baadhi ya nyumba ndogo za wanaume kadhaa, wote wamelikiri hili. Wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie kujua sababu ili nami nikiolewa nsikutane na mwanaume mzembemzembe.pia hao waliooa wajifunze wajue mahitaji ya wake zao na maInfii wao
Ila wanaume walioa wanapiga mechi kama wapo wold cup final wakiwa kwa makoloni yao.....