bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
Kulikoni Bacha.... mzima wewe?
mzima dear, naona wivu tu................lol....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikoni Bacha.... mzima wewe?
Mkuu mwambie sisi huwa hatujaribiwi kabisaYaani wewe mpaka unakuja kumuanzishia sredi ina maana hawajibiki, lete hapa uone kama hujamsahau huyo sharobaro.
The Finest utamfananishaje na sharobaro??? Huyo anatoa finest tu, mjaribu uone lakin anzia CPU kwanza :wink2:
bacha si nakumbuka uliniambia kuwa wewe huwa hauna wivu kabisamzima dear, naona wivu tu................lol....
Kuna free GPU wacha CPU
bacha si nakumbuka uliniambia kuwa wewe huwa hauna wivu kabisa
Kheeeee Kheeeeee Kheeee Babu eti wewe ni Mvuvi ooppsss sorry eti wewe ni MvivuNimepita tu mara moja kuwasalimuni.
Mungu awabariki na kuwalinda. Awasamehe dhambi mlizotenda jana, mtakazotenda baadaye na mtakazotenda usiku.
Narudi wodini!:rain::rain:
Nimepita tu mara moja kuwasalimuni.
Mungu awabariki na kuwalinda. Awasamehe dhambi mlizotenda jana, mtakazotenda baadaye na mtakazotenda usiku.
Narudi wodini!:rain::rain:
Ahaaaa ahaaaaa unaanza moyo kuwa dhaifu halafu ndio mwili au mwili unaanza kuwa dhaifu halafu ndio moyoFinest, huwa najaribu kuushinda moyo,
lakini mwili ni dhaifu!!!!!!!!
Nimepita tu mara moja kuwasalimuni.
Mungu awabariki na kuwalinda. Awasamehe dhambi mlizotenda jana, mtakazotenda baadaye na mtakazotenda usiku.
Narudi wodini!:rain::rain:
why are you confused? Do your choice!
Nimepita tu mara moja kuwasalimuni.
Mungu awabariki na kuwalinda. Awasamehe dhambi mlizotenda jana, mtakazotenda baadaye na mtakazotenda usiku.
Narudi wodini!:rain::rain:
mzima dear, naona wivu tu................lol....
Kamata hii hapa chini..............!! Ngoja nifanye Fina touch kabla sijapita hapo...!! BTW Keren hivi hii topic ya FL ni kweli anachokisema?I think ukikuja, nitakuwa nimefanya uamuzi tayari..worry not!
Mambo Karen,katika smile nazopenda kuziona hapa yako na ya Pauline ni bomba sana.Hivi huwa wanasemaje vile? Mwenye wivu............!!! POLE BACHA!
:a s 13::a s 13::a s 13::a s 13:i think ukikuja, nitakuwa nimefanya uamuzi tayari..worry not!
uporoto01 unamaanisha yule Karen mwingine maana umemchanganya na huyu Keren l.o.lMambo Karen,katika smile nazopenda kuziona hapa yako na ya Pauline ni bomba sana.
Kimey si umesema wewe ni mgonjwa una MalariaKamata hii hapa chini..............!! Ngoja nifanye Fina touch kabla sijapita hapo...!! BTW Keren hivi hii topic ya FL ni kweli anachokisema?
The Following User Says Thank You to Keren_Happuch For This Useful Post:
Kimey (Today)
Kamata hii hapa chini..............!! Ngoja nifanye Fina touch kabla sijapita hapo...!! BTW Keren hivi hii topic ya FL ni kweli anachokisema?
The Following User Says Thank You to Keren_Happuch For This Useful Post:
Kimey (Today)
Mimi nafikiri sio tatizo la wanaume peke yao....tuwe tu wakweli! Yaani mkishakaa kwenye ndoa kwa muda, kama hakuna juhudi za makusudi kwa pande zote mbili, basi inakuwa tu "ni bora kushiba", wala sio tena kufurahia chakula! Inabidi wote washirikiane katika mapishi, ili wote wakifurahie chakula!