Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..?

Yaani wewe mpaka unakuja kumuanzishia sredi ina maana hawajibiki, lete hapa uone kama hujamsahau huyo sharobaro.
The Finest utamfananishaje na sharobaro??? Huyo anatoa finest tu, mjaribu uone lakin anzia CPU kwanza :wink2:
Mkuu mwambie sisi huwa hatujaribiwi kabisa
 
Nimepita tu mara moja kuwasalimuni.

Mungu awabariki na kuwalinda. Awasamehe dhambi mlizotenda jana, mtakazotenda baadaye na mtakazotenda usiku.

Narudi wodini!:rain::rain:
 
Kheeeee Kheeeeee Kheeee Babu eti wewe ni Mvuvi ooppsss sorry eti wewe ni Mvivu
 
Single ni ileile jitahidini mtoe album. Meaning mapenzi ni sanaa na sanaa ni ubunifu so kama hamuwezi kutunga verse mpya single inachuja! Jitahidini kutoa album ili nyimbo zisichuje!
 
Nimepita tu mara moja kuwasalimuni.

Mungu awabariki na kuwalinda. Awasamehe dhambi mlizotenda jana, mtakazotenda baadaye na mtakazotenda usiku.

Narudi wodini!:rain::rain:

Amen, endelea kuugua taratibu!!!!!!!!!!!
 
Nimepita tu mara moja kuwasalimuni.

Mungu awabariki na kuwalinda. Awasamehe dhambi mlizotenda jana, mtakazotenda baadaye na mtakazotenda usiku.

Narudi wodini!:rain::rain:

mkuu nimeipenda hii,,lolz!
 
I think ukikuja, nitakuwa nimefanya uamuzi tayari..worry not!
Kamata hii hapa chini..............!! Ngoja nifanye Fina touch kabla sijapita hapo...!! BTW Keren hivi hii topic ya FL ni kweli anachokisema?
The Following User Says Thank You to Keren_Happuch For This Useful Post:

Kimey (Today)​
 
Kimey si umesema wewe ni mgonjwa una Malaria
 
Kamata hii hapa chini..............!! Ngoja nifanye Fina touch kabla sijapita hapo...!! BTW Keren hivi hii topic ya FL ni kweli anachokisema?
The Following User Says Thank You to Keren_Happuch For This Useful Post:

Kimey (Today)​

Kuhusu my opinion juu ya hili suala, hebu angalia hapa:

Mimi nafikiri sio tatizo la wanaume peke yao....tuwe tu wakweli! Yaani mkishakaa kwenye ndoa kwa muda, kama hakuna juhudi za makusudi kwa pande zote mbili, basi inakuwa tu "ni bora kushiba", wala sio tena kufurahia chakula! Inabidi wote washirikiane katika mapishi, ili wote wakifurahie chakula!
 
Back
Top Bottom