Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..?

Jamani tatizo wanawake wengi kwenye uchumba wanakuhawapendi chakula cha usiku kama wanaume ila wakiolewa ndo wanadai kila siku....
Ila wanaume walioa wanapiga mechi kama wapo wold cup final wakiwa kwa makoloni yao.....

Hivi Kimey umeacha uvivu eheeee namaanisha uvivu wa kuamka asubuhi l.o.l
 
Mi na wewe wala tusichekane Liz karudi kwa Rev. na AF ka-elope na mcheza rugby wa NZ lol!
Mkuu acha tu ila mimi naendelea kuvumilia tu, nasubiri kula mbivu sasa wewe hauna Plan b baada ya Plan A ku-fail
 
Homu boyi naona umeanza fitna ka za FL, Ila najua Keren ameshafanya maamuzi hata useme vp! lol.
Kimey kumbe hujamfahamu bado TF hapendi wengine wapate akiona unakaribia kufanikiwa lazima amwage sumu.
 
Hivi Kimey umeacha uvivu eheeee namaanisha uvivu wa kuamka asubuhi l.o.l
Hommie tatizo nimeshafanya reservation ya table for two people (Me & Keren only) otherwise ningekualika!!
 
khe khe kheeeeeeeeeeeeee....

Ati hujaolewa halafu umefanya uchunguzi halafu unaprevent, kweli dunia ina mambo!!!! haya bana nawaachia ambao hawajaoa wajifunze kuzuia uvivu wetu

Inawezekana ni yeye hajaolewa lakini kwa sasa ni "small house" ya wanaume kadhaa waliooa.
 
Kimey kumbe hujamfahamu bado TF hapendi wengine wapate akiona unakaribia kufanikiwa lazima amwage sumu.
Tatizo La TF ananiangalia huku amepanda baiskeli ngoja siku ashuke na kunitizama vizuri ndo atakapo jua kua kumpiga chura teke ni kumwongezea mwendo..lol
 
Hommie tatizo nimeshafanya reservation ya table for two people (Me & Keren only) otherwise ningekualika!!
:A S 13::A S 13::A S 13: Keren yatakayokukuta huko dont tell me i didn't warn you
 
Mkuu acha tu ila mimi naendelea kuvumilia tu, nasubiri kula mbivu sasa wewe hauna Plan b baada ya Plan A ku-fail
Mwenyewe si unazipata habari zangu utaniona nimeandikwa kwenye signature ya dada 1 hapa next few days.
 
Nimekuja nagonga hautaki kufungua sijui Kimey yuko ndani ndio maana unagoma kufungua mlango

Pole TF...mie nimeshatoka tayari, namsubiria Kimey kwa nje....twende counter!!! Siku nyingine usichelewe bana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…