Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..?

Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..?

Sasa FL mydia akianza uvivu asubuhi si utamdampu?? Just like what we always do when we are on probation mydia. And believe me sio wanaume tu hata sie............. but hebu jaribu kumwamsha sasa..mpanie, mpe mambo mazito, mkimbize mchakamchaka ..mara mbili tu ataamka maana atahisi kuwa unamtoa knockout na hakuridhishi ataogopa kutafutiwa msaidizi.

(By the way uwage unasema kama hujaridhika......kukaa kimya au kudanganya hakusaidii we mwambie ....Bwana mie mwenzio bado.....tena kwa hasira)

dah.. tofauti ya makamanda na ngwilulupi iko very clear maskini ya Mungu!!! n'toto wa watu kaona atoe ya moyoni, keshageuzwa form four na training ya ukweli na nyakanga

i love this post... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee heheheeeeeeeeeeeee
FL... nakuaminia mazee
 
Dawa iko dogo sana hiyo mjombaaaa
Mimi kata fyuzi tu, iyo tabilaiza na soketi iko no kazi, uliza komredi Teamo aka Cofee-Mo iko ambia veve
By the way niko na AD hapa anakuangalia tu ndio maana nakwambia DONT TRY THAT ANYWHERE
 
khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee... ukiona hivyo huyo kalalana na mmoja halafu mvivu basi mihasira ya nusu/thumni imemfanya abutue sredi, kweli FL mkareeee
Hahaha we Mkareee
 
Hivi humu JF hakuna walio olewa? Hebu jamani semeni kama anayosema FL ni kweli ama la? Tupate sample na humu!

kimei wanaume wameshathibitisha humu labda hao wanawake wajazie tu.kwan kimei we umeshaoa?perfomance yako kabla na sasa ikoje?yaweke humu jamvini
 
Wanawake nasi tunachangia!Maintain mwili..pendeza..kua msafi..kua mtundu..maneno matamu kwa sana hapo sidhani kama atakuangusha!Labda kama hisia hamna!
 
FESTILEDI,
kutuambia tuliooa tuna mapenzi ya kizee ni kutuonea

TUNAOMBA UTUTAKE RADHI!.....

personally nakupa ruhusa umuulize LD kama nina mapenzi ya kizee...(anausoma mtiti wangu huyo):wink2::wink2:

mmh,ndio maana LD amepinga sana hapa jamvini.ila yawezekana na yeye ni mzee vilevile kwahiyo mmekutana mnaofanana.angalizo,nsipewe ban na LD
 
khe khe kheeeeeeeeeeeeee....

Ati hujaolewa halafu umefanya uchunguzi halafu unaprevent, kweli dunia ina mambo!!!! haya bana nawaachia ambao hawajaoa wajifunze kuzuia uvivu wetu
siku zote nilijua mamito kaolewa ati!!
 
Wanaume wakishaoa si wavivu kama unavyosema uvivu kwenye mapenzi unatokana na sababu zifuatazo.
Kwanza wanawake wanapoolewa wanabweteka na kujisahau
halafu wanawake wanaanza kubadilika kitabia. kwa mfano kushindana na waume zao,kujibishana,kutoheshimu,ukali,kukosa utii nk. Hii inashusha mhemko wa kimapenzi tofauti na awali kabla hawajaoana. Kabla ya kuingia kwenye ndoa mwanaume alijituma kwa kuwa yote hayo hayakuepo.
 
Wanawake nasi tunachangia!Maintain mwili..pendeza..kua msafi..kua mtundu..maneno matamu kwa sana hapo sidhani kama atakuangusha!Labda kama hisia hamna!
Hewaaa Mama Mchungaji umelonga
 
Mimi nafikiri sio tatizo la wanaume peke yao....tuwe tu wakweli! Yaani mkishakaa kwenye ndoa kwa muda, kama hakuna juhudi za makusudi kwa pande zote mbili, basi inakuwa tu "ni bora kushiba", wala sio tena kufurahia chakula! Inabidi wote washirikiane katika mapishi, ili wote wakifurahie chakula!
 
Aiseee hebu pata hii kitu chini hapa

The Following User Says Thank You to Keren_Happuch For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
aiseee mkishaoana mnakua na uhakika wa kupata hiyo kitu wakati wowote bana.. mbona manazunguka sana?
 
Komredi umefanya nicheke kwa sauti...lol,
Leo mi nakua mpole tu nna unfinished business na Keren!

Bora bana, tena naombea iwe unfinished milele, maana ikiwa finished utarudi
 
Wanawake nasi tunachangia!Maintain mwili..pendeza..kua msafi..kua mtundu..maneno matamu kwa sana hapo sidhani kama atakuangusha!Labda kama hisia hamna!

Siku moja nikikosea njia nikikutaka usinikatae, maana umezidi kuwa mjizi wa mambo
The Following 2 Users Say Thank You to Lizzy For This Useful Post:

bacha (Today), CPU (Today)

Wanawake nasi tunachangia!Maintain mwili..pendeza..kua msafi..kua mtundu..maneno matamu kwa sana hapo sidhani kama atakuangusha!Labda kama hisia hamna!

there u are... what took u so long?
 
Back
Top Bottom