Hivi ni kwanini wanawake hawapendi wanaume walio single?

Alicho kiongea ni sahihi. . .hata mimi ninaushahidi.

. . Ila ukifuatilia kwa umakini . . Huyo anae pendwa ni mwepesi. . .au kwalugha nyepesi anachezewa.

. . Usifikiri kunalingine bora kwahuyo mtu.

. .NOTE.

. . .#ila na wewe kama huyo demu wako ulikua haumtombi na kumsumbua hata kwamiguso tu hapo ndo ulipo jiharibia.

. . Daima Epuka kuleta ulokole kwa mpenzi wako . . Ulifeli apo tu. . . Uwage msumbufu.
 
Hahaha
 
Cha
Chai
 
Mtaani hapa kuna jamaa ni jobless na ana manzi ake huwa anakuja almost kila siku kumtembelea jamaa so mtaani watu wanajua kabisa jamaa ana mtu wake na wana muona huyo mtu ila cha ajabu kila demu kapita nae na wengine hujilengesha wenyewe kwa jamaa.
Ajabu zaidi sasa mimi nilie single sijawahi hata onekana na demu kila ninaemtongoza natolewa nje yaani kama waanmbizana vile wasinikubalie.
 
Pole sana mkuu
 
Hahaha pole mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee hii siyo kweli acha kutupiga kamba. β€œWe unapenda micharuko ?” Kama jibu hapana basi hakuna anapenda micharuko, kama jibu ni ndyo basi ukikuwa utapokuwa unataka kutulia utaacha micharuko nakurudi kwenye vitu tulivu. Ushauri wa bure achana na micharuko itakuwa mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…