Hivi ni kwanini Wanawake ndio wanaongoza kuanzisha Mahusiano Mapya ndani ya Mda mfupi tu baada ya kuachana na Mpenzi wake?

Pole mkuu utampata mtu sahihi, ila ji mix na watu labda jumuia, hang out na marafiki, popote kweny watu potential humu weng wanakuchora tu pengine wana stress kuliko zako wengine wanatembea na waume za watu usijione una kasoro kama huniamini usikose kwenye white party yao uone unavowakalisha matembo...
 
WAGONGA NYUNDO ME, MKO WAPIII? YAMEANZA KUJISIFIA YANA MSULULU WA OPTIONS HUKU MUWAHII KUKATA NGEBEE

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jokes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…