Hivi ni kwanini Wanawake ndio wanaongoza kuanzisha Mahusiano Mapya ndani ya Mda mfupi tu baada ya kuachana na Mpenzi wake?

Hivi ni kwanini Wanawake ndio wanaongoza kuanzisha Mahusiano Mapya ndani ya Mda mfupi tu baada ya kuachana na Mpenzi wake?

Kwa Afrika ajira namba moja ya mtoto wa kike ni kubanduliwa au kuwa mpenzi wa mtu.😂

Kupitia hio ajira ndio anapatamo vichenchi vya viwalo na kutambia mjini😁 ndio maana wanakuwa wakali sana wakipata waajiri ambao ni bahili au hawakati pochi!
Wee komah wee!!
Wengine tutoe hapo nyie sio ajira zetu…!! Ushindwreee kwa jina la Yesu 😂😂😂
 
Kua na mpenzi mmoja ni ufala sitakaa rudia kuufanya. Back 2021 niliweuka kisa kumpenda Mpogoro peke yake. Sahivi nina kikosi wanajaa kwenye Shabiby. No hard feelings
Kumekucha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na Hao wapenzi ulionao nawao wana wapenzi wao etii[emoji848] na wapenzi wao nao wana wapenzi wao akii[emoji3]...
 
Kumekucha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na Hao wapenzi ulionao nawao wana wapenzi wao etii[emoji848] na wapenzi wao nao wana wapenzi wao akii[emoji3]...
Sahivi me ata sielewi.. Na wao kweli wako ivo ivo.. tunatafutana muda wa genye
 
Fanya hivi nilichitwa 2013 hadi 2019 nilimpata mjibababa for 4 month akataka niwe second wife nikakataa akaja mmoja nasijadumu naye wala tokea hapo 2019 hadi now sina uhusiano mzuri na mtu kweli hadi sasa. Miaka 12 sina wa kwenda msikitini wala wa kwenda kanisani
Ongeza mapenzi Kwa Yesu uende Mbinguni,hao wa kwenda msikitini au kanisani ni binadamu tu
 
Kwa ufupi social net work ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume na ndo maana wanaishi longer
Waweza mwona amezama kwa mahusiano fulani ... bu behind the scene ana namba kadhaa zinazomtaka akiwajibu subiri subiri kidogooo ... siku ya siku anaafiki na maisha yanaendelea
 
Wakati tukiwa kwenye mahusiano kuna ambao huwa wanaendelea kurusha nyavu hawaelewi hata kama una mahusiano. Sasa tukiachwa tunaangalia kati ya wale warusha nyavu yupi ni bora zaidi unaanza kum-entertain.
Na walivyo maharage ya mbeya Sasa😁😁😁😁
 
Mwanamke aliye kata mahusiano ya kingono na mwanaume A , akitokea B, C, D mpaka Z na akatongozwa hawezi sema hapana bali atasema nitakjibu ..

Mwanaume A akimwacha anaenda kwa B na cheni inaendelea na mwisho itakuja kujirudia rudia huko mbeleni.

Kiufupi hao viumbe wana plan mahusiano yao kuliko hata Serikali.
 
Sisi tuna mitongozo mingi, hivyo ukiniacha nafungua file naangalia yupi anaweza kuwa mbadala wako. Basi nitakayeona anafaa nampachika…. nafasi ya mkuu wa majeshi haiwezi kuwa wazi muda mrefu.. nchi inaweza kuvamiwa 😜
Kwa hiyo ni sualala kuvuta tu phonebook unaona unatafuta a shoulder to cry unakabidhi goli
 
Hi Mjuni, nipo mkuu za siku?
Za siku ni njema sana.

Najua kule sayari ya Venus mlifundishwa kuwa mahusiano ndio kila kitu, Lakini sasa mko kwny planet earth!,

Ni ngumu kiasi gani kubadili mtazamo na kuona kwamba mahusiano ni sehemu tu ya maisha na siyo ya lazima kiasi hicho?
 
Wanawake unapokua nao kwenye mahusiano anakua ana baby wake wa pembeni kama lilivyo spare tyre. Ukizingia anachomeka spare tyre gari inatembea
 
Mwanamke aliye kata mahusiano ya kingono na mwanaume A , akitokea B, C, D mpaka Z na akatongozwa hawezi sema hapana bali atasema nitakjibu ..

Mwanaume A akimwacha anaenda kwa B na cheni inaendelea na mwisho itakuja kujirudia rudia huko mbeleni.

Kiufupi hao viumbe wana plan mahusiano yao kuliko hata Serikali.
Duuuh kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom