Sure.
Na hiyo ni mindset tu ambayo tumemjengea. Tangu utoto
Tangu utoto binti anaambiwa her ultimate goal is to get a man and get married.
Hivyo, muda wote wa maisha binti anajiandaa kwa jambo hilo tu, ndio lengo kuu la maisha, regardless amesoma hadi wapi ama ana cheo gani.
Mila, tamaduni na dini zote xinamwambia hivyo, kwa sababu ya moral decay anashindwa kummantain mmoja,
Akiachana na huyu anatafuta replacement haraka.
Leejay49 alifurahi sana hadi kuanzisha uzi baada ya kupata replacement, na alisema hakuwa na furaha wala amani bila kuwa kwny mahusiano.