Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

Kati ya wanawake na wanaume ni akina nani huwakinai wenzao mapema? Angalia hata malalamiko ya kunyimwa unyumba ni ya upande upi zidi. Ni kawaida kwa binadamu kukinai alichonacho na kutamani asichokuwa nacho.
Uko delusional sana
 
Am walahi wewe dada, mbingu na ardhi zitaandamana kwa mashtaka yako siku ya kiama.

Na kuhakikisha mwisho mbaya katika maisha yako, maana hatua uliyofikia ni mbaya sana
Mbingu na ardhi ziache kuandamana kwa mauaji ya binadamu yaliyokothiri, yaje kuandamana kwangu kwa kukupa ukweli wa maisha ulivyo?

Wewe mwisho wako ushaujua mpaka utabiri wangu? 😹
 
Shida haipo kwa hao wanawake shida ipo kwako. Nafsi yako haina speed governor!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…