Haswaa, maana wanawake wengi wanajisahaulisha, na wajuba wanadhani kukinai mtu ni tendo pekee bali nyanja zingine zikishazoeleka zina affect koteMtoa mada hajaegemea upande mmoja(sex) pekee.
Kagusia upendo wa pamoja, akili na ubunifu.
Je hao Makonde wamebeba sifa zote za kumfanya mwanaume asichoke?
Nawe unavyomwaga laana?Huyo anaongea shit hata usizingatie sana
Kweli mkuu.Haswaa, maana wanawake wengi wanajisahaulisha, na wajuba wanadhani kukinai mtu ni tendo pekee bali nyanja zingine zikishazoeleka zina affect kote
Akinyumbulika sana hamtakosa la kusema piaWanawake wanachokwa mapema kwasababu wanawake wengi hawana vya kwao, wanataka hata kama ana kazi awe yeye tu ndo wa kupewa kila kitu, na bado kitandani ajilaze kama gogo.
Ndo maana watu Wanachepuka, maana mtu mwishowe anachoka.
Mh huelewwki unachokitaka ukishindwa kuwa na demu wewe nenda kawe demu wa mtu, fambasticMnapaswa kujitunza na kuhakikisha familia iko stable
sifahamuSio kwa nia mbaya,
Yaani mwanamke wa kibongo(average one) anacho offer mara nyingi ni ngono tu.. Kinacho weka mahusiano sio ngonopekee bali ni mutual love and responsibilities.
Si semi kubeza watu ama kuanzisha makundi ya ku bully watu,
Ila naongelea uhalisia uliopo nje na tumeweza ku experience tulio wengi.
Ni kwanini wanawake wa kibongo wanakinai mapema, yaani sijui niseme je ili mnielewe.
Unaweza kuleta pisi ndani ukaioa ila ukashangaa umeshaichoka na kutaka ukachaoe nyingine
Hawana kabisa craetivtiy kusema kwamba leo nimfanyie surprise baba fulani, kila siku yeye ndo umfanyie surprise.
Ndo maana watu Wanachepuka kila kukicha. Mimi naona utamaduni wa kiafrica umefanya mwanamke awe gugu maji, yaani awe mtu wa kupeleka na upepo tu na asiweze kuwa na maamuzi yake katika ndoa.. Wanawake wapo wapo tu.. Sisemi kuwabeza wala kuwaongelea vibaya.
Ni mtazamo wangu tu ndugu zangu, au mnasemaje?
Wanawake wanachokwa mapema kwasababu wanawake wengi hawana vya kwao, wanataka hata kama ana kazi awe yeye tu ndo wa kupewa kila kitu, na bado kitandani ajilaze kama gogo.
Ndo maana watu Wanachepuka, maana mtu mwishowe anachoka.
Punguani wewe?Mh huelewwki unachokitaka ukishindwa kuwa na demu wewe nenda kawe demu wa mtu, fambastic
Hiki ndo kitu ambacho tu nawaambia kila siku ila hawataki kusikia ndo maana wanaishia kula shaba tuKweli mkuu.
Hasa tabia za kishenzi msizoendana, pamoja na uchafu dah!
Hata angelikuwa na sura rembo kama Cleopatra, hauwezi ishi naye na kama utaforce, utaishi naye bila furaha.
Nagongea na nyundo kabisa huu ujumbeWanapoteza mvuto kwa sababu hawazingatii nafasi zao pamoja na majukumu yao ya kijinsia, ni either wanataka kujaliwa sana pasipo ku reciprocate ama wanataka kujifanya ‘super women’ wazee wa 50/50.
Mwanamke akisimama kwenye nafasi yake ki sawa sawa hata mwanaume utaona kukaa baa ni kupoteza muda.
Asilimia 90 ya wanawake wa sikuhizi akili zao ni kama za marehemu Jane Urassa
Sio kwa kilio hiki, nimegusa mfupaPunguani wewe?
Inamaana hujui kuwa mwanamke mshenzi ndiye anaharibu ndoa kwa ujinga na ujuha wake yeye mwenyewe?
A cha udwanzi wa kukataa the fact that vyanzo vya matatizo ni nyie wenyewe na ujinga wa akili zenu?
Katika maisha in general.. Hata kwenye ndoa ukipata mchaga mwaminifu Uta enjoy sana