Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

Mi sijaelewa hapa hivyo ukichepuka ndo hivi unavyovilalamikia hapa unaenda kupewa huko au ndo hizo tamaa tu ambazo baadhi yenu mnazo?
 
Na wewe unataka kuwa kichwa ngumu kama Jadda? Ama ndo umekuwa traumatized na bandiko langu
. Wanaume hatuoeoesi macho tunasema ukweli, kawa tafuteni hao hao goi goi ukawa attack na ujinga wenu
...wewe unahisigi kuwa attacked siku zote ndio maana uko kny defensive mode siku zote...niku attack wewe ili iweje???umeshindwa kujibu WANAWAKE WA WAPI/NCHI gani unafanya comparison na wanawake wa kibongo....hii ndilo swali la msingi and so far unrlemba unalemba kuonyesha machuki yako dhidi ya wanawake tu!

Eti wanaume hampepesi macho?! Wangapi wenu?? Wewe na nani? Hujioni ni wewe peke yako ndio kila siku wanawake wa kibongo this,that, ? Proof kwamba uko traumatised na wanawake...

Wake up! You can be relevant in JF, you can be heard, feeling visible without udhalilishaji wako wa wanawake kila siku!!!!!
 
Mi sijaelewa hapa hivyo ukichepuka ndo hivi unavyovilalamikia hapa unaenda kupewa huko au ndo hizo tamaa tu ambazo baadhi yenu mnazo?
Ni kwamba nyie mnatumia ndoa kama sehemu ya kupata mnachodhani mnataka
 
Sko traumatized wala nini niko hapa kuwapa vidonge vyenu muache ujinga wa kutumia ndoa kama sehemu yakutaka kutumia wanaume

Acheni huo ujinga, kama unadhani unaweza kuingia kwenye ndoa na hii akili sahau

Maana wanaume wako so keen na hawatanii kabisa, ni kuwa chapa risasi tu hakuna huruma.

Yaani niiulishe, nikuvishe nikujengee alafu mwisho wa siku uanze drama?

Ni risasi tu, tena bila huruma kabisa
 
Endelea 'kuwabamiza' wanawake online, unapata relief labda....bye I'm out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…