Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote ana haki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Zanzibar inakiu ya kutawaliwa na rais mkristo ili aweze kunyoosha mapito na kuwasha mwanga
Zanzibar bado kuna giza inahitaji mwanga
Nawaambia mkristo akitawala Zanzibar huu muungano itaimarika sana kwasababu atapanda mbegu ya muungano huko,hata hizo sheria zao za kibaguzi dhidi ya watu wa bara zitatoweka kama sio kupungua.