Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond siyo mkubwa yule bdo mdogo cna tena huenda kazidisha mwaka 1 mbele! ila mtoa mada umezidisha chumvi anakimbilia 35 na Prf j tuseme anakimbiza 80? na le mutuz tuseme anakimbiza 120!
hajafika... Diamond kwa ile sura aliyonayo akifika 30 utamsingizia keshafika 40!Thubutu labda 30
Hata mimi nina wasiwasi kwamba huenda ameongoza mmoja kwa maelekezo ya Wema ili isionekane anambemenda! Hivyo tu 25 kwa 26 inaonekana anambemenda, je ikiwa 24/26... si ndo basi tena! Shilole anayembemenda Mziwanda hawasemi... wao ni Wema tu!Diamond siyo mkubwa yule bdo mdogo cna tena huenda kazidisha mwaka 1 mbele! ila mtoa mada umezidisha chumvi anakimbilia 35 na Prf j tuseme anakimbiza 80? na le mutuz tuseme anakimbiza 120!
Diamond siyo mkubwa yule bdo mdogo cna tena huenda kazidisha mwaka 1 mbele! ila mtoa mada umezidisha chumvi anakimbilia 35 na Prf j tuseme anakimbiza 80? na le mutuz tuseme anakimbiza 120!
Nimeckia juzi diamond ametimiza miaka 25 ya kuzaliwa kwake!me nilijua anakimbilia 35,kumbe ndo kwanza bado anakua?hongera kwa kuwa mdogo diamond..