Hivi ni kweli Diamond ana miaka 25?

Hivi ni kweli Diamond ana miaka 25?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Nimesikia juzi Diamond ametimiza miaka 25 ya kuzaliwa kwake!Mimi nilijua anakimbilia 35,kumbe ndo kwanza bado anakua?

Hongera kwa kuwa mdogo Diamond.
 
Hapo kuna miaka kama mitatu imefichwa,siku hizi imekua jambo la kawaida watoto wa mjini kujishusha umri
 
Hata hivyo naona 25 mingi sana. Wakongwe wengi katika Bongo Flava ni 30-36.
 
Aisee mmezidi kumchimba mtoto wa watu, sasa kama ana hiyo 25 au zaidi wewe itakusaidia nini labda. Diamond yupo juu na anazidi kukamua na jana ameperform kwenye ufunguzi big brother afrika. Mmemponda kijana wa watu lakini yupo kimya anawaonyesha vitendo tu. Mtabaki kuhesabu maneno mwenzenu anahesabu chapaa. Mbona huulizi miaka ya Daz Nunda au Dogo janja. Goo goo goo Diamond ni wakati wako huu.
 
Iangalie vizuri video yake ya Kamwambie na vile anavyoonekana kisha linganisha na mtu mwenye miaka 30.
 
Diamond siyo mkubwa yule bdo mdogo cna tena huenda kazidisha mwaka 1 mbele! ila mtoa mada umezidisha chumvi anakimbilia 35 na Prf j tuseme anakimbiza 80? na le mutuz tuseme anakimbiza 120!
Hata mimi nina wasiwasi kwamba huenda ameongoza mmoja kwa maelekezo ya Wema ili isionekane anambemenda! Hivyo tu 25 kwa 26 inaonekana anambemenda, je ikiwa 24/26... si ndo basi tena! Shilole anayembemenda Mziwanda hawasemi... wao ni Wema tu!
 
Ndomondi hawezi kuwa na miaka 25 sasa hivi, atakuwa anachezea 34 hukoo! sura tuu ukimwangalia vizr utaona!
 
Diamond siyo mkubwa yule bdo mdogo cna tena huenda kazidisha mwaka 1 mbele! ila mtoa mada umezidisha chumvi anakimbilia 35 na Prf j tuseme anakimbiza 80? na le mutuz tuseme anakimbiza 120!

Nimecheka sana dahh!
 
kafikisha 25 ??? kajitahidi..nilifikiri dogo sana
 
Diamond ni janki tu sio mkubwa kivile mcheki kwenye kamwambie video uone alivyokuwa mdogo na ilikuwa 2009.
 
nisijilizeni mimi kazaliwa mwaka 1996 ila wadau wenye wakili ya music ambao wana mnage walim,uambia azidishe miaka ila kiukweli Diamond dangote bill gates platinum ana miaka 18...that's it
 
Back
Top Bottom