Hivi ni kweli friji halitakiwi kuzimwa?

Hivi ni kweli friji halitakiwi kuzimwa?

Osei Tz

Senior Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
143
Reaction score
149
Mfano unafanya biashara ya duka dogo unauza vinywaji, kuna mda friji linakua limepoa sana kiasi kwamba wateja wanalalamika vinywaji vyabaridi sana.

Namatan kulizima friji lkn nakumbuka watu wengi wanasema friji hua halizimwi, kama unakua natabia ya kulizima kila unapofunga duka linaharibika compresor mapema, Je ni kweli hii kitu?

Sasa nikajaribu kusoma kile kijitabu kinachotoa mwongozo matumiz mazuri ya friji, hakuna sehem wamesem friji hua halizimwi.

Wameshauri; tumia friji guard, usiache mlango wa friji wazi kwa muda mrefu, na mengineyo ila sio friji hua halizimwi.

Je, ni kweli friji hua halizimwi? assuming hakuna kitu kinachowez kuoza ndan ya friji.

Na kama hua linazimwa ni kwa interval ipi au walau marangap kwa wiki ili lisije ua compresor.

Asanteni.
 
Kuwasha na kuzima mara kwa mara kunafanya compressor lisidumu kama inavyotakiwa. Kwa nini usi-adjust temperature? Fridge za siku hizi zina sehemu ya kuchagua ubaridi uwe wa kiasi gani.
 
Mfano unafanya biashara ya duka dogo unauza vinywaji, kuna mda friji linakua limepoa sana kiasi kwamba wateja wanalalamika vinywaji vyabaridi sana.

Namatan kulizima friji lkn nakumbuka watu wengi wanasema friji hua halizimwi, kama unakua natabia ya kulizima kila unapofunga duka linaharibika compresor mapema, Je ni kweli hii kitu?

Sasa nikajaribu kusoma kile kijitabu kinachotoa mwongozo matumiz mazuri ya friji, hakuna sehem wamesem friji hua halizimwi.

Wameshauri; tumia friji guard, usiache mlango wa friji wazi kwa muda mrefu, na mengineyo ila sio friji hua halizimwi.

Je, ni kweli friji hua halizimwi? assuming hakuna kitu kinachowez kuoza ndan ya friji.

Na kama hua linazimwa ni kwa interval ipi au walau marangap kwa wiki ili lisije ua compresor.

Asanteni.
IShu ni kwamba ukizima friji ule ubaridi unaondoka.
Ukija kuiwasha, inabidi compressor ifanye kazi tena kurejesha ubaridi.

Maana yake kama unazima na kuwasha mara kwa mara unaipa compressor kazi zaidi.
Matokeo yake inawahi kuchoka
 
Mfano unafanya biashara ya duka dogo unauza vinywaji, kuna mda friji linakua limepoa sana kiasi kwamba wateja wanalalamika vinywaji vyabaridi sana.

Namatan kulizima friji lkn nakumbuka watu wengi wanasema friji hua halizimwi, kama unakua natabia ya kulizima kila unapofunga duka linaharibika compresor mapema, Je ni kweli hii kitu?

Sasa nikajaribu kusoma kile kijitabu kinachotoa mwongozo matumiz mazuri ya friji, hakuna sehem wamesem friji hua halizimwi.

Wameshauri; tumia friji guard, usiache mlango wa friji wazi kwa muda mrefu, na mengineyo ila sio friji hua halizimwi.

Je, ni kweli friji hua halizimwi? assuming hakuna kitu kinachowez kuoza ndan ya friji.

Na kama hua linazimwa ni kwa interval ipi au walau marangap kwa wiki ili lisije ua compresor.

Asanteni.
Hahahah, wabongo huwa wana maelekezo yao ambayo hayako proved.
 
Ukinunua frij mpya hakuna haja ya kuzima japo kuzima hakuna madhara, ila frij ina themostart huwa inajizima na kujiwasha yenyewe
 
Back
Top Bottom