Hivi ni kweli friji halitakiwi kuzimwa?

Hivi ni kweli friji halitakiwi kuzimwa?

Sina vitu vinavyohitajika kuweka kwenye friji, mara kwa mara hivyo friji inaweza kaa hata wuki haina cha kuwekwa. Hivyo siwezi kuiacha inawaka ikiwa ndani hamna kitu.
 
kunakua na kijitabu ndan ya friji au freezer
HIyo menu instructuons pamoja na maelekeze mengine ndiyo inaelekeza friji lizimwe, bila kujali umeme wa Tanzania maeneo mengine Umeme tunapata Low voltage, na hukatika zaidi ya mara kwa kutwa.
.
.Ha mimi ya kwangu natumia ksma AC ya gari au nyuma ukihitajika inawashwa, ispohitajika inazimwa.
 
Kuna mmoja kasema vipi friji ikiwa haina kitu?!?! Sasa najiuluza ulinunua la nn?😂
😂
Any way usizime friji adjust jotoridi tu, hakikisha thermostart ya friji yako ni nzima
 
Kuna mmoja kasema vipi friji ikiwa haina kitu?!?! Sasa najiuluza ulinunua la nn?😂
😂
Any way usizime friji adjust jotoridi tu, hakikisha thermostart ya friji yako ni nzima
Sio kuwa halitumiki, linatumika, ila sina tabia ya kununua bidha za kulundika ndani ya friji.
Sababu ya kununua ninapohitaji kupoza kitu nisimpelekee jirani, nawasha ftiji yangu alafu natumia ninatumia ninachokipoza kwa wakati wangu.
 
Canada miaka 2.5 sijawahi zima wala kuona friji limezimwa, na unapoenda kununua wanakwambia usizime frji bila sababu
 
Canada miaka 2.5 sijawahi zima wala kuona friji limezimwa, na unapoenda kununua wanakwambia usizime frji bila sababu
Mimi yaani hivi ninavyoandika friji lishazimwa, leo nimewasha nimewasha nikapooza grand Malt zangu mbili baasi, ninalo mwaka wa 8 sasa sijawahi hata kuongeza gesi na iko faster cooling.
 
Kuna mmoja kasema vipi friji ikiwa haina kitu?!?! Sasa najiuluza ulinunua la nn?😂
😂
Any way usizime friji adjust jotoridi tu, hakikisha thermostart ya friji yako ni nzima
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom