duuh yaani minimum level 1 ndio vinywaji vinakuwa baridi mno.. hadi vinaumiza meno hadi mapafu sio duuh.! una friji la aina gani na umelinunua bei gani hilo linanifaa sana nami nikalinunue kama hilo lako kama level 1 kinywaji kinachoma hadi mapafu vp ukiweka level 3.!Nime-adjust to minimum level no. 1 lkn ukija kesho asubuh vinywaj ni baridii mno.
boss 1.3Mduuh yaani minimum level 1 ndio vinywaji vinakuwa baridi mno.. hadi vinaumiza meno hadi mapafu sio duuh.! una friji la aina gani na umelinunua bei gani hilo linanifaa sana nami nikalinunue kama hilo lako kama level 1 kinywaji kinachoma hadi mapafu vp ukiweka level 3.!
Huu ni upuuzi mbona kitu kidogo sana unasumbuka?Nime-adjust to minimum level no. 1 lkn ukija kesho asubuh vinywaj ni baridii mno.
kwa uzoefu wangu toka baba yangu anatumia kwa miaka zaid kum huwa alikuwa anazmaMfano unafanya biashara ya duka dogo unauza vinywaji, kuna mda friji linakua limepoa sana kiasi kwamba wateja wanalalamika vinywaji vyabaridi sana.
Namatan kulizima friji lkn nakumbuka watu wengi wanasema friji hua halizimwi, kama unakua natabia ya kulizima kila unapofunga duka linaharibika compresor mapema, Je ni kweli hii kitu?
Sasa nikajaribu kusoma kile kijitabu kinachotoa mwongozo matumiz mazuri ya friji, hakuna sehem wamesem friji hua halizimwi.
Wameshauri; tumia friji guard, usiache mlango wa friji wazi kwa muda mrefu, na mengineyo ila sio friji hua halizimwi.
Je, ni kweli friji hua halizimwi? assuming hakuna kitu kinachowez kuoza ndan ya friji.
Na kama hua linazimwa ni kwa interval ipi au walau marangap kwa wiki ili lisije ua compresor.
Asanteni.
Jibu sahihi ndiyo hili.Ukinunua frij mpya hakuna haja ya kuzima japo kuzima hakuna madhara, ila frij ina themostart huwa inajizima na kujiwasha yenyewe
🙏🙏Friji linazimwa vizuri tu, kinachotakiwa wewe ni kuweza kulijua friji lako Kwa maana ya kukadiria Linaweza kukaa na baridi Kwa muda gani?, ukishajua hivyo Sasa unazima Kwa interval hiyo, haitakiwi ubaridi upungue mule. Hapa kama thermostat haifanyi kazi, lakini kama inafanya huwa linajizima lenyewe labda kama hujui tu, yaani ubaridi unaofaa ukijaa tu linajizima unakuwa huna haja ya kuzima.
Huwezi kuwasha friji milele bila kulizima lazima compressor ipate moto sanaaa then inakufilia mbali ni mashine ile lazima Kuna muda itulie na ndio maana inabidi ununue feni lile la box la mchina ulifunge pale karibu na compressor Ili lipoze kidogo joto la compressor kwasababu mazingira yetu ni ya joto sana.
Hata hivyo lazima Kuna siku utakuja kubadilisha compressor au kusuka pipes za friji maana friji nyingi tunazotumia ni za mchina na ubora wake si wa hivyooo, pipes na overplater ni aluminum hivyo ni rahisi kuoza, usishangae kuja kuambiwa hamna gesi (usikubali kuongezewa tu peke yake) Friji zilikuwa zamani vyuma muitaliano Hadi Leo tunadunda navyo, zinaungua capacitor au relay tu.
CCM HIYO CHINI YA WASIRA.Na bado kuna watu friji lao haligandishagi
Ndiyo si sahihi kuzima friji mara kwa mara. Kuzima na kuwasha friji mara kwa mara kunaweza:Mfano unafanya biashara ya duka dogo unauza vinywaji, kuna mda friji linakua limepoa sana kiasi kwamba wateja wanalalamika vinywaji vyabaridi sana.
Namatan kulizima friji lkn nakumbuka watu wengi wanasema friji hua halizimwi, kama unakua natabia ya kulizima kila unapofunga duka linaharibika compresor mapema, Je ni kweli hii kitu?
Sasa nikajaribu kusoma kile kijitabu kinachotoa mwongozo matumiz mazuri ya friji, hakuna sehem wamesem friji hua halizimwi.
Wameshauri; tumia friji guard, usiache mlango wa friji wazi kwa muda mrefu, na mengineyo ila sio friji hua halizimwi.
Je, ni kweli friji hua halizimwi? assuming hakuna kitu kinachowez kuoza ndan ya friji.
Na kama hua linazimwa ni kwa interval ipi au walau marangap kwa wiki ili lisije ua compresor.
Asanteni.
Muache mzee wa watu ale maisha mkuuCCM HIYO CHINI YA WASIRA.
Hivi hayo maelekezo unaponujua friji mpya yana bandikwa sehemu jinsi kutumia friji yak9 au ni ubinifu tu wa kibongo.jokofu halipaswi zimwa kabisa
Hivi hayo maelekezo unaponujua friji mpya yana bandikwa sehemu jinsi kutumia friji yak9 au ni ubinifu tu wa kibongo.
kunakua na kijitabu ndan ya friji au freezerHivi hayo maelekezo unaponujua friji mpya yana bandikwa sehemu jinsi kutumia friji yak9 au ni ubinifu tu wa kibongo.