Kuwasha na kuzima mara kwa mara kunafanya compressor lisidumu kama inavyotakiwa. Kwa nini usi-adjust temperature? Fridge za siku hizi zina sehemu ya kuchagua ubaridi uwe wa kiasi gani.Mfano unafanya biashara ya duka dogo unauza vinywaji, kuna mda friji linakua limepoa sana kiasi kwamba wateja wanalalamika vinywaji vyabaridi sana.
Namatan kulizima friji lkn nakumbuka watu wengi wanasema friji hua halizimwi, kama unakua natabia ya kulizima kila unapofunga duka linaharibika compresor mapema, Je ni kweli hii kitu?
Sasa nikajaribu kusoma kile kijitabu kinachotoa mwongozo matumiz mazuri ya friji, hakuna sehem wamesem friji hua halizimwi.
Wameshauri; tumia friji guard, usiache mlango wa friji wazi kwa muda mrefu, na mengineyo ila sio friji hua halizimwi.
Je, ni kweli friji hua halizimwi? assuming hakuna kitu kinachowez kuoza ndan ya friji.
Na kama hua linazimwa ni kwa interval ipi au walau marangap kwa wiki ili lisije ua compresor.
Asanteni.
IShu ni kwamba ukizima friji ule ubaridi unaondoka.Mfano unafanya biashara ya duka dogo unauza vinywaji, kuna mda friji linakua limepoa sana kiasi kwamba wateja wanalalamika vinywaji vyabaridi sana.
Namatan kulizima friji lkn nakumbuka watu wengi wanasema friji hua halizimwi, kama unakua natabia ya kulizima kila unapofunga duka linaharibika compresor mapema, Je ni kweli hii kitu?
Sasa nikajaribu kusoma kile kijitabu kinachotoa mwongozo matumiz mazuri ya friji, hakuna sehem wamesem friji hua halizimwi.
Wameshauri; tumia friji guard, usiache mlango wa friji wazi kwa muda mrefu, na mengineyo ila sio friji hua halizimwi.
Je, ni kweli friji hua halizimwi? assuming hakuna kitu kinachowez kuoza ndan ya friji.
Na kama hua linazimwa ni kwa interval ipi au walau marangap kwa wiki ili lisije ua compresor.
Asanteni.
Nime-adjust to minimum level no. 1 lkn ukija kesho asubuh vinywaj ni baridii mno.Kuwasha na kuzima mara kwa mara kunafanya compressor lisidumu kama inavyotakiwa. Kwa nini usi-adjust temperature? Fridge za siku hizi zina sehemu ya kuchagua ubaridi uwe wa kiasi gani.
Hahahah, wabongo huwa wana maelekezo yao ambayo hayako proved.Mfano unafanya biashara ya duka dogo unauza vinywaji, kuna mda friji linakua limepoa sana kiasi kwamba wateja wanalalamika vinywaji vyabaridi sana.
Namatan kulizima friji lkn nakumbuka watu wengi wanasema friji hua halizimwi, kama unakua natabia ya kulizima kila unapofunga duka linaharibika compresor mapema, Je ni kweli hii kitu?
Sasa nikajaribu kusoma kile kijitabu kinachotoa mwongozo matumiz mazuri ya friji, hakuna sehem wamesem friji hua halizimwi.
Wameshauri; tumia friji guard, usiache mlango wa friji wazi kwa muda mrefu, na mengineyo ila sio friji hua halizimwi.
Je, ni kweli friji hua halizimwi? assuming hakuna kitu kinachowez kuoza ndan ya friji.
Na kama hua linazimwa ni kwa interval ipi au walau marangap kwa wiki ili lisije ua compresor.
Asanteni.
Una uhakika hicho kidude kinafanya kazi yake sawa sawa? Vinywaji vinakuwa vimejaa fridge nzima au vichache?Nime-adjust to minimum level no. 1 lkn ukija kesho asubuh vinywaj ni baridii mno.
Ukinunua frij mpya hakuna haja ya kuzima japo kuzima hakuna madhara, ila frij ina themostart huwa inajizima na kujiwasha yenyeweMfano unafanya biashara ya duka dogo unauza vinywaji, kuna mda friji linakua limepoa sana kiasi kwamba wateja wanalalamika vinywaji vyabaridi sana.
Namatan kulizima friji lkn nakumbuka watu wengi wanasema friji hua halizimwi, kama unakua natabia ya kulizima kila unapofunga duka linaharibika compresor mapema, Je ni kweli hii kitu?
Sasa nikajaribu kusoma kile kijitabu kinachotoa mwongozo matumiz mazuri ya friji, hakuna sehem wamesem friji hua halizimwi.
Wameshauri; tumia friji guard, usiache mlango wa friji wazi kwa muda mrefu, na mengineyo ila sio friji hua halizimwi.
Je, ni kweli friji hua halizimwi? assuming hakuna kitu kinachowez kuoza ndan ya friji.
Na kama hua linazimwa ni kwa interval ipi au walau marangap kwa wiki ili lisije ua compresor.
Asanteni.
Na bado kuna watu friji lao haligandishagi
Huyo ni apaul amakonda sasaNa bado kuna watu friji lao haligandishagi