Hivi ni kweli gari aina ya Nissan zinasumbua sana injini zake?

Fundi mahiri wa Ujenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
5,046
Reaction score
4,447
Wanaseme
Nisan zote ni vimeo, ukweli upo wapi ndugu wa taalam wa magari.

Nisan extrail wanasema zinanock engine.
Nisan dualis wanasema zinaungua
Nisan navala wanaseme zinasumbua geer box

Yaani kila nisan inashida.
Je,kunaukweli au ni habari za kufikirika
 
Nissan Xtrail Engine zake siyo stahimilivu kwenye mazingira yenye joto, pia tumia Engine Oil original zile za Nissan zinakuwa kwenye kopo la Lita 3,4 hadi 5 la bati.

Hizi kwa Dar anauza Kisangani pekee pale Msimbazi
 
Binafsi nliwahi miliki nissan pathfinder kama utakuwa unaifahamu, nliinunua ikiwa imetembea 20k-km mwanzo ilikuwa haina sana shida ila baadae nlijua kuisoma namba mpaka mtu alipojichanganya nkamuuzia. Alafu zinagharama kwenye matengenezo. SIKUSHAURI MKUU
 
Ni aina ya magari yanayohitaji ku handle kwa uangalifu mkubwa Sana.. Zina makosa kibao na kwa Afrika yetu na elimu zetu za magari ni majanga
 
Nissan Xtrail Engine zake siyo stahimilivu kwenye mazingira yenye joto, pia tumia Engine Oil original zile za Nissan zinakuwa kwenye kopo la Lita 3,4 hadi 5 la bati.

Hizi kwa Dar anauza Kisangani pekee pale Msimbazi
MM natumia hii ,niko salama kweli?
IMG_20260108_122752.jpg
 
Binafsi nliwahi miliki nissan pathfinder kama utakuwa unaifahamu, nliinunua ikiwa imetembea 20k-km mwanzo ilikuwa haina sana shida ila baadae nlijua kuisoma namba mpaka mtu alipojichanganya nkamuuzia. Alafu zinagharama kwenye matengenezo. SIKUSHAURI MKUU
Kuhusu gharama ya spare ni kweli,

Kubadilisha makolokolo ya chini tu inakutoka hela ya maana
 
Wanaseme
Nisan zote ni vimeo, ukweli upo wapi ndugu wa taalam wa magari.

Nisan extrail wanasema zinanock engine.
Nisan dualis wanasema zinaungua
Nisan navala wanaseme zinasumbua geer box

Yaani kila nisan inashida.
Je,kunaukweli au ni habari za kufikirika
Nissan Patrol TD 42 ngumu sana na hazina shida kabisa
 
Ni mengi lakini common ni
Lubricants zake ni zake tuu ukibadili umekwisha
Engine zake hazifai kufanyia overhaul baada ya hapo ni msiba
Parts zake sio imara sana
Engines za gari nyingi za kisasa hasa hizi cc ndogo engine overhaul huwa inasumbua. Hata gearbox na mfano mzuri upo nyingi za Toyota CVT ikisumbua unavua unavalisha nyingine.

Nina Nissan toka mwaka 2020 mpaka sasa nafanya service tu za kawaida. Hayo matatizo mbona siyaoni kwangu?
 
Unamiliki nissan aina gani, ya mwaka gani na uliinunua ikiwa mpya au used na kwa sasa imeshatembea km ngapi?
 
Back
Top Bottom