Hivi ni kweli gari aina ya Nissan zinasumbua sana injini zake?

Hivi ni kweli gari aina ya Nissan zinasumbua sana injini zake?

Engines za gari nyingi za kisasa hasa hizi cc ndogo engine overhaul huwa inasumbua. Hata gearbox na mfano mzuri upo nyingi za Toyota CVT ikisumbua unavua unavalisha nyingine.

Nina Nissan toka mwaka 2020 mpaka sasa nafanya service tu za kawaida. Hayo matatizo mbona siyaoni kwangu?
Hongera umeizingatia mahitaji yake kwa usahihi unaotakiwa
 
Transmission za cvt zinahitaji matunzo ya hali ya juu
 
Nissan Xtrail Engine zake siyo stahimilivu kwenye mazingira yenye joto, pia tumia Engine Oil original zile za Nissan zinakuwa kwenye kopo la Lita 3,4 hadi 5 la bati.

Hizi kwa Dar anauza Kisangani pekee pale Msimbazi
Jamaa ana vitu OG tuuuuu
 
Wanaseme
Nisan zote ni vimeo, ukweli upo wapi ndugu wa taalam wa magari.

Nisan extrail wanasema zinanock engine.
Nisan dualis wanasema zinaungua
Nisan navala wanaseme zinasumbua geer box

Yaani kila nisan inashida.
Je,kunaukweli au ni habari za kufikirika
Hapa Tz kila gari ambayo si Toyota ni mbovu.
 
Nissan xtrail ni gari imilivu sana kwenye barabara korofi kikubwa zingatia spare parts original service kwa wakati utojutia
 
Kuna jamaa alikuwa na Nissan Serena Diesel kaiendesha mara ikazingua kuchemsha, ikafanyiwa ovarhaul lakini bado inazingua sasa kampa sahiba wake anahangaika nayo, na mafundi wa kibongo ni miyayusho, wanatengeneza tatizo dogo baadaye linasababisha tatizo kubwa kama vile kutoa thermostat.
 
Back
Top Bottom