Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,046
- 4,447
Wanaseme
Nisan zote ni vimeo, ukweli upo wapi ndugu wa taalam wa magari.
Nisan extrail wanasema zinanock engine.
Nisan dualis wanasema zinaungua
Nisan navala wanaseme zinasumbua geer box
Yaani kila nisan inashida.
Je,kunaukweli au ni habari za kufikirika
Ni aina ya magari yanayohitaji ku handle kwa uangalifu mkubwa Sana.. Zina makosa kibao na kwa Afrika yetu na elimu zetu za magari ni majangaWanaseme
Nisan zote ni vimeo, ukweli upo wapi ndugu wa taalam wa magari.
Nisan extrail wanasema zinanock engine.
Nisan dualis wanasema zinaungua
Nisan navala wanaseme zinasumbua geer box
Yaani kila nisan inashida.
Je,kunaukweli au ni habari za kufikirika
MM natumia hii ,niko salama kweli?Nissan Xtrail Engine zake siyo stahimilivu kwenye mazingira yenye joto, pia tumia Engine Oil original zile za Nissan zinakuwa kwenye kopo la Lita 3,4 hadi 5 la bati.
Hizi kwa Dar anauza Kisangani pekee pale Msimbazi
Basi ngoja nifanye mpango wa kupiga bei, japo sijaona usumbufu wakeNi aina ya magari yanayohitaji ku handle kwa uangalifu mkubwa Sana.. Zina makosa kibao na kwa Afrika yetu na elimu zetu za magari ni majanga
Kuhusu gharama ya spare ni kweli,Binafsi nliwahi miliki nissan pathfinder kama utakuwa unaifahamu, nliinunua ikiwa imetembea 20k-km mwanzo ilikuwa haina sana shida ila baadae nlijua kuisoma namba mpaka mtu alipojichanganya nkamuuzia. Alafu zinagharama kwenye matengenezo. SIKUSHAURI MKUU
MM natumia hii ,niko salama kweli?
View attachment 3527010
Kila kona ukienda unaulizwa kwanini ameamua kununua nisan.Gari hazitaki janja janja,
Ukiizingatia inavyotaka haina usumbufu Ila zina lifespan ndogoBasi ngoja nifanye mpango wa kupiga bei, japo sijaona usumbufu wake
Makosa gani?Ni aina ya magari yanayohitaji ku handle kwa uangalifu mkubwa Sana.. Zina makosa kibao na kwa Afrika yetu na elimu zetu za magari ni majanga
Matatizo ya magari mengi yamachangiwa na wamilikiKila kona ukienda unaulizwa kwanini ameamua kununua nisan.
Unaelezwa shida kibao.
Ni mengi lakini common niMakosa gani?
Nissan Patrol TD 42 ngumu sana na hazina shida kabisaWanaseme
Nisan zote ni vimeo, ukweli upo wapi ndugu wa taalam wa magari.
Nisan extrail wanasema zinanock engine.
Nisan dualis wanasema zinaungua
Nisan navala wanaseme zinasumbua geer box
Yaani kila nisan inashida.
Je,kunaukweli au ni habari za kufikirika
Engines za gari nyingi za kisasa hasa hizi cc ndogo engine overhaul huwa inasumbua. Hata gearbox na mfano mzuri upo nyingi za Toyota CVT ikisumbua unavua unavalisha nyingine.Ni mengi lakini common ni
Lubricants zake ni zake tuu ukibadili umekwisha
Engine zake hazifai kufanyia overhaul baada ya hapo ni msiba
Parts zake sio imara sana
Unamiliki nissan aina gani, ya mwaka gani na uliinunua ikiwa mpya au used na kwa sasa imeshatembea km ngapi?Engines za gari nyingi za kisasa hasa hizi cc ndogo engine overhaul huwa inasumbua. Hata gearbox na mfano mzuri upo nyingi za Toyota CVT ikisumbua unavua unavalisha nyingine.
Nina Nissan toka mwaka 2020 mpaka sasa nafanya service tu za kawaida. Hayo matatizo mbona siyaoni kwangu?
Unamiliki nissan aina gani, ya mwaka gani na uliinunua ikiwa mpya au used na kwa sasa imeshatembea km ngapi?