Hivi ni kweli gari aina ya Nissan zinasumbua sana injini zake?

Hongera umeizingatia mahitaji yake kwa usahihi unaotakiwa
 
Transmission za cvt zinahitaji matunzo ya hali ya juu
 
Nissan Xtrail Engine zake siyo stahimilivu kwenye mazingira yenye joto, pia tumia Engine Oil original zile za Nissan zinakuwa kwenye kopo la Lita 3,4 hadi 5 la bati.

Hizi kwa Dar anauza Kisangani pekee pale Msimbazi
Jamaa ana vitu OG tuuuuu
 
Hapa Tz kila gari ambayo si Toyota ni mbovu.
 
Nissan xtrail ni gari imilivu sana kwenye barabara korofi kikubwa zingatia spare parts original service kwa wakati utojutia
 
Kuna jamaa alikuwa na Nissan Serena Diesel kaiendesha mara ikazingua kuchemsha, ikafanyiwa ovarhaul lakini bado inazingua sasa kampa sahiba wake anahangaika nayo, na mafundi wa kibongo ni miyayusho, wanatengeneza tatizo dogo baadaye linasababisha tatizo kubwa kama vile kutoa thermostat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…