Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Haha we mjinga nani alikuambia Israel ilikuwepo hapo, hio Israel ilitengenezwa hapo na muingereza 1948.Israeli ilikuwepo pale na siyo wakoloni kama unavyodanganywa madrasa.Chambua na fungua mambo uelewe.
Walio kuwepo hapo ni watoto wa Yakobo Qur'an inamtambua kwa jina lingine alitwa Israel si taifa. Nyie wajinga tu mnatakiwa mfundishwe mpate akili.
Mtu si nchi 😄
Watoto wa Israel hao wapalestine pia watoto wa Yakobo.
Hivi we akili kwako unadhani watoto wa Yakobo ni kina Netanyahu hahaha.
Hakuna kwenye bibilia zenu au history zenu mnaweza kuthibitisha Israel ni nchi kama mnaweza leteni?
Mtabaki na ujinga ule ule wakumsingizia Yesu kafa msalabani dalili hamna, Yesu ni Mungu dalili hamna.
Kama mnavyo fananisha mtu na nchi.
Kumbe Yakobo ndio nchi, mimi nilijua ni binadamu kwa kuwa mwenyekevu wa kusali akaitwa Israel.
Mana ya Israel kwa Kiyahudi ni mtu mwenye ukakamavu wa kuabudu Mungu.
Jinga mmoja wewe na wakristo mnao fikiria Israel ni nchi wakatia bibilia zenu. Zina kiri wazi ni Yakobo.