holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 856
- 1,376
Wakuu habarini za mchana.
Ningependa kulifikisha hili swala kwenu hasa wataalam wa afya kama wapo humu. Kuna huu msemo kwamba "kama ina maji mchubuko hauwezi kutokea na huwezi kuunganishwa kwenye gridi ya taifa". Kusema ukweli ile kitu ni tamu sana bila kutumia co.nd.om lakini tunaogopa hili janga ndo maana tunatumia. Sisi ambao bado hatuna mahusiano ya kueleweka tunapita sehemu nyingi sana, hasa sisi wanaume. Muda mwingine unakutana na pisi kali kinoma unatamani kubanjuka bila kuvaa soksi lakini mawazo ya hilo li ugonjwa yanakuja kichwani.
Wataalam tuambieni ukweli basi kama maji yakitosha ni ngumu kupata tuzingatie kuandaana vizuri tu ili tule mema ya nchi bila presha tukiwa bado na nguvu, uzee unakuja kwa kasi sana.