Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Ni mambo mazito haya mkuu kama una roho nyepesi huwezi ku undergo this phenomenaUfafanuzi kidogo mkuu,inakuwaje hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mambo mazito haya mkuu kama una roho nyepesi huwezi ku undergo this phenomenaUfafanuzi kidogo mkuu,inakuwaje hiyo
Jamaaa yupo humu humu aiseeeTwende mbele na kurudi nyuma, ila... au basi tu twende tu mbele.
Ufundi mwingi,hupelekea kujisahau sana ambapo mda mwingine unajikuta ukavu unachikua nafasi yake.🤣 Kwaiyo ufundi mwingi ndo unasababisha kirusi kiingie sio?
Turudi sasa kwenye maji hapo ni ukweli kwamba yakiwepo yakutosha usalama unakuwepo
Kwa maana hii maji muhimuUfundi mwingi,hupelekea kujisahau sana ambapo mda mwingine unajikuta ukavu unachikua nafasi yake.
Maambukizi hutokea pale unakuta mmoja wenu ana michubuko au vidonda.
Ila kama uke upon normal inakuwa ngumu kupata michubuko na maambukizi.
Ufundi peleka kwa unaekuwa na uhakika na afya yake.Ila kule kwingine Mzee baba Bora uonekane kimoja Chali 😂😂😂😂
Ni kweli.Wakuu habarini za mchana.
Ningependa kulifikisha hili swala kwenu hasa wataalam wa afya kama wapo humu. Kuna huu msemo kwamba "kama ina maji mchubuko hauwezi kutokea na huwezi kuunganishwa kwenye gridi ya taifa". Kusema ukweli ile kitu ni tamu sana bila kutumia co.nd.om lakini tunaogopa hili janga ndo maana tunatumia. Sisi ambao bado hatuna mahusiano ya kueleweka tunapita sehemu nyingi sana, hasa sisi wanaume. Muda mwingine unakutana na pisi kali kinoma unatamani kubanjuka bila kuvaa soksi lakini mawazo ya hilo li ugonjwa yanakuja kichwani.
Wataalam tuambieni ukweli basi kama maji yakitosha ni ngumu kupata tuzingatie kuandaana vizuri tu ili tule mema ya nchi bila presha tukiwa bado na nguvu, uzee unakuja kwa kasi sana.
NdioKwa maana hii maji muhimu
Basi ni mwendo wa kupiga slow steady shotsusile mbususu kwa kukomoa bali kula tunda taratibu yaan lioshe na limenye.
lkn no friction no reaction.kula mema ya nchi mkuu
Mjuni uko serious au unanishawishi kwamba nikijikita na mabinti wa Bukona nitakuwa salamaNi kweli.
Mabinti wa Bukona? Ndio kufanyaje?Mjuni uko serious au unanishawishi kwamba nikijikita na mabinti wa Bukona nitakuwa salama
Nilimaanisha bukobaMabinti wa Bukona? Ndio kufanyaje?
Kwenye jamii zetu, wengi wanaamini ugoni ni jinai, na watu wengi wametozwa pesa nyingi kwa matukio ya kutengenezwa.
Mtu akikukamata ugoni, kubali kwamba utalipa pesa, ila utalipia kituoni.
Mkifika kituoni, waambie wakupeleke mahakamani.
Unaweza kumshitaki mgoni wako kwa tresspassing endapo tu umemkuta chumbani kwako.
Nje na hapo labda msingizie ubakaji. Ugoni siyo jinai.
Ok.Nilimaanisha bukoba
NakujaNjoo tujaribu live ,, utakuja na majibu wewe mwenyewe